ndoto

Ndoto Za Elibidi is a 2010 Kenyan film.

View More On Wikipedia.org
  1. LellozWho

    JamiiForums Tanzania Sababu kuu ya umaskini ujanani

    “COMFORT ZONE” sijui niiweke vipi hii kwa kiswahili katika neno moja na likaleta maana. “Anga/wigo/dunia ya mridhiko” (Kama sijakosea). kama hujawahi Kijiuliza Kama ulipo panakutosheleza Au la Basi upo ndani ya “comfort zone” kama unataka maendeleo binafsi na unakwepa mabadiliko basi upo...
  2. Steven kiss

    JamiiForums Tanzania KATIBA MPYA KWA MAENDELEO YA TANZANIA

    KWANINI KATIBA MPYA NDANI YA TANZANIA NI MUHIMU? Tanzania ni nchi ya demokrasia na inaongozwa kwa kufuata sheria na muongozo wa katiba iliyopo ya mwaka 1977 .kwa mda mrefu wananchi wa Tanzania wamekuwa kweny madai ya kupambania upatikanaji wa katiba mpya KATIBA ZA...
  3. ommytk

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mtu anaishi maisha na kazi ya ndoto yake hapa Tanzania

    Hivi kwa Africa kweli kuna mtu anaishi kwenye ndoto zake yaani kama ulikuwa unatamani kuwa pilot ukawa pailot. Sijui hii ipo kweli mimi nilikuwa nandoto kuwa kapteni wa meli daah nikikumbuka hii ndoto wakati namuona mjomba zamani akija nyumbani basi nikawa nasema mimi nitakuwa kama wewe...
  4. Ryzen

    JamiiForums Tanzania Ndoto hii mara kwa mara

    Habari za humu, it has been a while since my last thread here. Majukumu ya hapa na pale nayo yamenishika, nashindwa kushiriki mara kwa mara humu. Anyways iko hivi mie nimehitimu shule ya msingi zaidi ya miaka 15 ilopita na Olevel zaidi ya miaka 12 ilopita. After then nimekwenda advance na...
  5. MWAMUNU

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tafsiri ya ndoto hii

    Heshima kwenu wakubwa zangu, na madogo hamjambo. Niende moja kwa moja kwenye hoja. Asubuhi hii saa 12 nimeota ndoto ambayo inaninyima raha sana, . Katika ndoto hiyo nimeota nimesingiziwa nimeiba box 9 za karatasi nyeupe yaani rim paper na kufungwa miaka miwili jela Nikiwa jela napata taarifa...
  6. Heaven Seeker

    JamiiForums Tanzania Je, una ndoto za kusoma nje ya nchi hususan Sweden? Niulize swali nitakujibu ninachokifahamu

    Amani iwe nanyi Wakuu, Maisha ya sasa imekuwa adimu binadamu kumtendea wema binadamu mwingine. Imekuwa ni nadra sana kumsaidia mtu mwingine hata tu kwa mawazo. Yaani wivu, utapeli, chuki na mambo mengine mabaya yanayofanana na hayo imekuwa ndio sehemu ya walio wengi. Imekuwa ngumu zaidi kupeana...
  7. kufanakupona

    JamiiForums Tanzania Orodha ya ndoto (karibia zote) na maana yake

    NDOTO ZA UTAJIRI 1. 777 -Kuota vitu mafungu 3 kila fungu vipo 7. 2. UNAHIFADHI PESA SEHEMU SALAMA. Sehemu salama kama kwenye kopo, droo, benki n.k 3. Kuokota pesa za sarafu za zamani. 4. Unafanya mtihani na umefaulu kwa alama za juu hadi unasifiwa. 5. Mwanamke kuota amejifungua mtoto wa kike...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kijana pambania ndoto yako, achana na maneno ya kukera

    Vijana mnaoanza maisha hakikisha ndoto yako inatimia mapema iwezekanavyo. Hawa wenza wetu wengi wamejaa maneno ya kukera na kukatisha tamaa sana. Niliwahi kupata demu yeye hataki nifanye mishe za kuingiza pesa (biashara) eti kwa sababu nakutana na wanawake.
  9. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Kuota umebeba maiti kwenye gunia ina maana gani?

    Leo nimeota ndoto kama ifuatavyo. Nimeota nimebeba maiti ya mtu aliyeuliwa nilikuwa nimebeba kwenye gunia. Cha ajabu hiyo maiti sijui hata nani alimuua hata huo mwili siijui cha ajabu nilikuwa nabeba nachoka nilikuwa nimeambatana na rafiki yangu lakini cha ajabu rafiki yangu alikua hataki...
  10. Fene

    JamiiForums Tanzania Nina ndoto ya kuwa Rais, eleza shida zako mapema

    Waungwana mabib na mabwana, Pisi kali, mabishoo, wakulima, wafugaj, wanamugambo, wajasiriamali, wastaarab, wakorofi nyoooote kwa pamoja elezeen shida zenu hapa. Rais ajae anaskliza mojamoja na yote anaahid kuyafanyia kazi. Ni mm hap mweny ndot kubwa, rais nijae WASIFU WANGU Elimu: Darasa la...
  11. Da Vinci XV

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa ndoto anazoota huyu jamaa na mpenzi wake

    Nimekuwa na Jamaa ya ambaye tumeishi wote toka shule ya Msingi , mpaka sekondari. Kwanzia kidato cha tano ndipo mtengano ulipotokea baina yetu kwa kuwa tulipangwa shule tofauti , lakini uswahiba wetu upo hata asa. Tuseme kiubinadamu , kila mtu anakuwa na Yule Rafiki yake ambaye Amejawa Utayari...
  12. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Ndoto yangu ya kufanya kazi Takukuru au Usalama naona imekufa rasmi, nasikia sauti ya kuwa mchungaji ikiniita

    Habari wadau! Wakati nasoma niliwaza sana kuwa mtu wa system au Takukuru coz kipindi hicho nafasi zilikuwa zinatolewa wazi za kuwa Takukuru. Nakumbuka jamaa yangu mmoja nilimpigania akaingia polisi, mwengine akaingia magereza ila mimi niliwaambia nyie nendeni mimi nangoja za Takukuru au...
  13. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo, ndoto yangu ya kuwa rubani itatimia kweli?

    Kwema wadau na wanajamvi wote humu? natanguliza salamu. Ni matamanio yangu kama mwanadamu tokea nikiwa mdogo kuingia kwenye hii career ya kurusha ndege. Nikasema anyway, nikimaliza chuo (nilimaliza mwaka jana B. Degree in Social Science), nikipata kazi nitadunduliza kidogo kidogo ndani ya hata...
  14. May Day

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, unaweza kumwambia Mwenzi wako ukweli kuwa yeye sio Mke/Mume wa ndoto yako?

    Ingawa baadhi yetu twaweza kuleta ubishi juu ya hili lakini ni ukweli unaowakuta zaidi ya asilimia 80 kama sio 90 ya Wanandoa wamejikuta wameoana kutokana na sababu moja au nyingine, wengi ikiwa ni baada ya kuona miaka inasonga bila kupata Mwenza anayekidhi ndoto zake. Binaadamu yeyote mwenye...
  15. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya hii ndoto inayonitesa

    Hapo vip!! Jamani kwa huzuni kubwa sana..naomba niwaeleze ndoto inayonitesa mara kwa mara...ila naamini Mungu(Jehova)ananipigania kila siku. Nimekuwa nikiota ndoto ya kushangaza na imekuwa ikijirudia mara kwa mara ni takriba miaka mitano au zaidi. Ipo hivi najikuta kama natoa uzi kwenye meno...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nimemuota jirani yangu akiwa chumbani kwangu usiku

    Ni tukio la kushangaza kidogo. Majuzi nikiwa usingizini nilimuona jirani yangu akiwa chumbani kwangu ananiangalia akitabasamu! Nilipoamka alitoweka! Ni binti mmoja ameshika Dini yake kwa mwonekano wa kibinadamu. Nimejaribu kulipuuza tukio hili nichukulie kuwa ilikuwa ni ndoto tu, lakini moyo...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Kujirudia kwa ndoto kuna maana gani?!!!

    habarini! wakuu kuna maana gani kwa ndoto hiyohiyo kujirudia rudia? unaota, unaamka na kutulia kidogo. ukilala inakuja tena ndoto ileile. unaamka tena, unaenda chooni kujiweka sawa, unarudi na kulala kidogo tu inakuja tena ndoto ileile.....ina maana gani? kama hiyo haitoshi, siku nyingine tena...
  18. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Naombe tafsiri ya hiyo ndoto. nitafanyaje?

    Hapo vip!! Kama kawaida binadamu huota ndoto mbali mbali lakini hii imetisha kidogo.. Leo nimeota nimesimama nje ya biashara yangu karibia na mlangoni..mara nikamuona nyoka anaingia ndani ya biashara yangu...kiukweli baadaya kushtuka usingizini nimekosa amani sana... Nina imani humu...
  19. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Wenye ndoto za kwenda state pitia hapa

Back
Top Bottom