ndoto

Ndoto Za Elibidi is a 2010 Kenyan film.

View More On Wikipedia.org
  1. Hussein Massanza

    JamiiForums Tanzania Ndoto tunazoota na tafsiri zake

    Umofia kwenu wakuu, Wapo watu ambao wanapenda kujua maana au tafsiri za ndoto kwa kuwa nyingi huwa zinakuja kwa mtindo wa mafumbo. Wapo wanaoamini kuwa ndoto zina taarifa zenye miongozo au kutoa tahadhari kwenye mwenendo wa maisha yao ya kila siku. Hivyo kuzielewa kuna maana kubwa sana kwao...
  2. Countrywide

    JamiiForums Tanzania Nilitumia miaka mitano ya kujenga nyumba ya ndoto yangu, inawezekana vijana tusilale

    .
  3. zagarinojo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tulikuwaga na ndoto za kuoa wazungu ila sasa basi Afrika tuna warembo...

    Hello wana MMU. Ujana bwana una mambo mengi mengine ya kitoto kabisa. Umeshawahi kusikia kuhusu Skin Surgery au Plastic Surgery? Wakati tunaingia ujanani wengine tulikuwa tunakebehi wadada wetu wa Afrika kuwa sio warembo na tulipokuwa tunaona Wazungu wajicream, na wamepiga make up tukajua hawa...
  4. Naja naja

    JamiiForums Tanzania Ipi ni biashara ya ndoto yako?

    Kuna baadhi ya watu wanafanya biashara lakini biashara wanazozifanya si biashara za ndoto zao pengine labda msingi hautoshi au mazingira hayaruhusu kufanya biashara ambayo yeye anaifikiria kuifanya. Sasa wewe ipi ni biashara ya ndoto yako na kwa nini unashindwa kuitekeleza mpaka sasa?
  5. baharia 1

    JamiiForums Tanzania Naomba tafsiri ya ndoto ya kuokota mayai

    Habar wakuu, leo nimeota karibu na ninapoishi nyumba karibia na kwa jirani yangu kuna sehemu ambayo kuna majani majani pamejificha, sasa hapo kuna mayai mengi kweli na mengine hadi yamechafuka na udongo, ya muda mrefu sana mimi nimeenda nikawa nayachukua naweka kwenye chombo ili nikapike nile...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ameshatimiza ndoto mbili za mwalimu Nyerere, kuhamia Dodoma na Stiegler's Gorge. Bado ndoto moja!

    Mwalimu Nyerere kama kiongozi alikuwa na ndoto zake na miongoni mwa ndoto hizo ni pamoja na Kuhamishia makao makuu ya serikali Dodoma, pili kumiliki njia kuu za uchumi na tatu kuwa na bwawa kubwa la kuzalisha umeme Stieglers Gorge. Katika uongozi wake kama Rais, Dr Magufuli ameweza kuhamishia...
  7. Ngunya1

    JamiiForums Tanzania Kuota ndoto umejinyea ina maana gani?

    Jana usiku nimeota eti nimejinyea hapa sina naomba kujua you inamaana gani kwenye ulimwengu wa roho.
  8. Black7

    JamiiForums Tanzania Naomba Tafsiri ya ndoto hii

    Jamani mimi nimeota ndoto "namuingilia msichana, ambae nina urafiki nae wa kawaida tu & wakat nafanya ivyo kulikuwa na kama vitu vyeupe vinatoka kwenye uke wake but mim sikujali nikawa naendelea tu na yng na nlipomaliza nkamuingilia pia na nyuma bila uoga wala hofu" .. Hii ndoto imenitia hofu...
Back
Top Bottom