Siri usiyoijua kuhusu ndoto na tafsiri zake

mtarimbo

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
1,529
3,919
Kwanza nianze kwa kuelezea ndoto maana yake,

Ndoto ni mkusanyiko wa matukio ambayo binadamu huyaweka kichwani kwake ambayo humjia bila zuio (involuntary) kwenye ubongo wakati akiwa amelala,matukio haya huwa hayaeleweki na saa nyingine huwa kinadharia zaidi mfano kuota unapaa wakati kiualisia haiwezekani.

Kiujumla sayansi imeshindwa kuja na jibu kamili kuhusu ndoto ,na matokeo yake wameishia kutoa tafsiri hiyo .

Ukija kwenye dini ndoto huwa ndio njia maalumu ambayo ulimwengu wa Roho hutumia kuwasiliana na binadamu, hapa sasa ndio nataka tuanze.

Kibibilia Mungu hutumia matukio tuliyoyaifadhi au kumbukumbu za vitu tulivyoifadhi moyoni ,ili kutengeneza codes za mawasiliano kati yake yeye na sisi .

Sasa kuna mambo kadhaa ambayo huwa ukiota lazima ujue kufungua hizo codes ,ni maarifa rahisi ila inahitaji uwe mcha Mungu na mwerevu.

Mfano
1:Ukiota unapaa angani
Ndoto ya namna hii ukitaka kuifahamu lazima ujue kwa nini Mungu katumia anga,anga maana yake ni ulimwengu wa nuru ,ardhi ni ulimwengu wa giza ,hivyo ukiota unapaa ni taadhari kutoka kwa Mungu kwamba uache kutembea kwenye ulimwengu wa giza ,hamia ulimwengu wa nuru, nikuhakikishie ukifanya hivyo hutakaa uote tena kupaa sure.

2: Kuota unafanya mapenzi
Codes za ndoto hii ni mbili kulingana na mazingira yako,mfano ukiota unafanya mapenzi na ukiamka unajihisi mchovu na mara nyingine kama mwanaume unahisi umemaliza ,basis ujue kuna pepo wachafu wanakuchezea.

Ila ukiota unafanya mapenzi na ukiamka hakuna ishara yoyote nikimaanisha uchovu au uchafu basi ndoto hii huwa ni njema code ya mapenzi ni pesa maana ni kipi kinapendwa zaidi ya mapenzi kama si pesa hivyo ukiota unafanya mapenzi ni ishara ya kupata pesa, kama unayefanya naye humjui basi utapata pesa kwenye vyanzo usivyotarajia.

Kama umeota unafanya mapenzi na mtu unayemjua basi ujue utapata pesa zaidi kwenye vyanzo vyako vya kiuchumi unavyovijua.

3;Kuota uko darasani ,na kufanya mitihani
Hii ndoto code yake ni hivi jiulize ni nini hukupa wasiwasi kama kama kipindi uko shule hasa wakati wa mitihani kama kukosa pesa wakati wa matatizo, hivyo ndoto hii ukiota ni onyo kutoka ulimwengu wa roho kwamba kuna matatizo makubwa yatakujia na yanahitaji pesa hivyo unahitaji kuweka akiba ya pesa ,upunguze matumizi la sivyo hilo tatizo litakuaibisha.

4;Kuota kusalitiwa kimapenzi
Code yake ni hivi ni nini huumiza moyo na kuuvunja moyo kama usaliti wa kimapenzi? jibu ni msiba.

Hivyo kama umeota mwenzi wako anakusaliti na kiuhalisia si kweli basi ni ujumbe wa kifo kwa huyo uliyemuota either yeye, familia yake watakumbwa na tukio la msiba hivyo muombee huenda bado ulimwengu wa roho haujaidhinisha hilo janga.

Itaendelea kesho, pia ukumbuke somo la ndoto lilikuwapo tangu zamani Yusuph alisoma kupitia vitabu alivyoiba mama yake RHaheli wakati anatoka kwa baba yake aliyekua mganga na mtabiri alijulikana kama Laban, Danieli alisomea huko uajemi enzi za utumwa.

Na binadamu huota zaid ya ndoto 20 kwa siku ,ndoto yenye ujumbe huwa unaikumbuka vema na huwa inaushtua moyo.

Nyingine huwezi kuzikumbuka maana huwa kazi yake ni kuufanya ubongo ufanye kazi vizuri ,hivyo siyo ndoto zote ni ujumbe unatakiwa uwe mwerevu wa kusoma mazingira na hali yako.
 
Nikiota Niko kanisani?watu wanasali na kuimba mi nipo nawashangaa tu
Code ya kanisani ni kipi huwavuta watu na kukusanyika pamoja na kuimba kwa imani moja?jibu ni michezo mfano mpira ,hivyo punguza kuangalia sana michezo au usiwe miongoni mwa wenye kufuatilia sana michezo itakusaidia
 
Umesema kweli kabisa mkuu,

Mimi huwa nikiota nafanya mapenzi basi ntapata pesa na nikiota wife ananisaliti kama mara tatu hivi akafiwa na baba yake mzazi.
Ni kweli kabisa
 
Kwanza nianze kwa kuelezea ndoto maana yake,

Ndoto ni mkusanyiko wa matukio ambayo binadamu huyaweka kichwani kwake ambayo humjia bila zuio (involuntary) kwenye ubongo wakati akiwa amelala,matukio haya huwa hayaeleweki na saa nyingine huwa kinadharia zaidi mfano kuota unapaa wakati kiualisia haiwezejani.kiujumla sayansi imeshindwa kuja na jibu kamili kuhusu ndoto ,na matokeo yake wameishia kutoa tafsiri hiyo .

Ukija kwenye dini ndoto huwa ndio njia maalumu ambayo ulimwengu wa Roho hutumia kuwasiliana na binadamu,hapa sasa ndio nataka tuanze.

Kibibilia Mungu hutumia matukio tuliyoyaifadhi au kumbukumbu za vitu tulivyoifadhi moyoni ,ili kutengeneza codes za mawasiliano kati yake yeye na sisi .

Sasa kuna mambo kadhaa ambayo huwa ukiota lazima ujue kufungua hizo codes ,ni maarifa rahisi ila inahitaji uwe mcha Mungu na mwerevu.

Mfano
1:Ukiota unapaa angani :ndoto ya namna hii ukitaka kuifahamu lazima ujue kwa nini Mungu katumia anga,anga maana yake ni ulimwengu wa Nuru ,ardhi ni ulimwengu wa Giza ,hivyo ukiota unapaa ni taadhari kutoka kwa Mungu kwamba uache kutembea kwenye ulimwengu wa Giza ,hamia ulimwengu wa Nuru.nikuhakikishie ukifanya hivyo hutakaa uote tena kupaa sure.

2: Kuota unafanya mapenzi ;codes za ndoto hii ni mbili kulingana na mazingira yako,mfano ukiota unafanya mapenzi na ukiamka unajihisi mchovu na mara nyingine kama mwanaume unahisi umemaliza ,basis ujue kuna pepo wachafu wanakuchezea.
Ila ukiota unafanya mapenzi na ukiamka hakuna ishara yoyote nikimaanisha uchovu au uchafu basi ndoto hii huwa ni njema code ya mapenzi ni pesa maana ni kipi kinapendwa zaidi ya mapenzi kama si pesa hivyo ukiota unafanya mapenzi ni ishara ya kupata pesa,kama unayefanya naye humjui basi utapata pesa kwenye vyanzo usivyotarajia. Kama umeota unafanya mapenzi na MTU unayemjua basi ujue utapata pesa zaidi kwenye vyanzo vyako vya kiuchumi unavyovijua.

3;Kuota uko darasani ,na kufanya mitihani.Hii ndoto code yake ni hivi jiulize ni nini hukupa wasiwasi kama kama kipindi uko shule hasa wakati wa mitihani kama kukosa pesa wakati wa matatizo,hivyo ndoto hii ukiota ni onyo kutoka ulimwengu wa roho kwamba kuna matatizo makubwa yatakujia na yanahitaji pesa hivyo unahitaji kuweka akiba ya pesa ,upunguze matumizi la sivyo hilo tatizo litakuaibisha.

4;Kuota kusalitiwa kimapenzi ; code yake ni hivi ni nini huumiza moyo na kuuvunja moyo kama usaliti wa kimapenzi? jibu ni msiba.hivyo kama umeota mwenzi wako anakusaliti na kiuhalisia si kweli basi ni ujumbe wa kifo kwa huyo uliyemuota either yeye ,familia yake watakumbwa na tukio la msiba hivyo Muombee huenda bado ulimwengu wa Roho haujaidhinisha hilo janga.

Ntaendelea kesho...............pia ukumbuke somo la ndoto lilikuwapo tangu zamani Yusuph alisoma kupitia vitabu alivyoiba mama yake RHaheli wakati anatoka kwa baba yake aliyekua mganga na mtabiri alijulikana kama Laban ,
Danieli alisomea huko uajemi enzi za utumwa

Na binadamu huota zaid ya ndoto 20 kwa siku ,ndoto yenye ujumbe huwa unaikumbuka vema na huwa inaushtua moyo.nyingine huwez kuzikumbuka maana huwa kazi yake ni kuufanya ubongo ufanye kazi vizuri ,hivyo siyo ndoto zote ni ujumbe unatakiwa uwe mwerevu wa kusoma mazingira na hali yako.
Mimi niliota nimepigwa risasi kwenye goti. Code yake ikoje hii?
 
Mimi nimeota napaki gari ndani chumbani ninapo lala hi ndoto imejirudia mara mbili, sijaelewa gari inapitaje mlangoni wenye mt.1.

Mpaka leo ninapo kuwa peke yangu jambo hili hujirudia kichwani, mwelewa wa mambo haya tufahamishani ni nini hasa maana ya ndoto hii.
 
Mimi nimeta napaki gari ndani chumbani ninapo lala hi ndoto imejirudia mara mbili, sijaelewa gari inapitaje mlangoni wenye mt.1 mpaka leo ninapo kuwa peke yangu Jambo hili hujirudia kichwani, mwelewa wa mambo haya tufahamishani ni nini hasa maana ya ndoto hi.
Huwa gari kwa zamani wengi walikua wakiota farasi ila kwa nyakati hizi za maendeleo farasi amekua replaced na gari ,baiskel,pikipik,na vyombo vingine,ukiota gari maana yake ni wakati.

Hivyo ndugu yangu inaonesha uko nje ya wakati yaan kuna mambo unafanya ambayo si wakati wake, sijajua ni mambo gani ila ulimwengu wa roho unakuasa urudi kwenye line.

Gari kuingia ndani ni msisitizo mkubwa na ndio maana ukaota pia mara mbili ,embu jaribu kwenda na wakati ,uko nje ya mda either unayofanya hayaendani na umri wako ,au kipato chako,au hadhi yako ,au majukumu yako.

Rudi mara moja maana kuna hatari mbele.
 
Mimi niliota nimepigwa risasi kwenye goti. Code yake ikoje hii?
Risasi ni mshale kwa zamani ,na mshale unamaanisha mikosi magojwa ,umaskini na megineyo yanayofanana na hayo.

Hivyo kuwa makini ikiwezekana ongeza maombi maana kwenye goti ni mbaya ,utakwama ,hutasogea endapo hayo yatakupata ,sali sana bwashee.
 
Mimi Kuna hii ndoto hujirudia mara nyingi mpaka naogopa.

kuwa Kuna mwanamke hunikasirikia na kunifatilia hata nikiwa kwenye mkutano na waheshimiwa huja kutaka kuniharibia ila huumbuka, basi recently I had a dream kuwa my dress jipya lipo shimoni ila shimo liko wazi na dress liko kwenye cover yake jipya basi, over sudden lile gauni ghafla nikaona kuna mwanamke na bintiye wamelichukua wavae gauni halikuwatosha.

Hii ndoto what does it mean zimekuwa zinanisumbua mno.
 
Mimi Kuna hii ndoto hujirudia mara nyingi mpaka naogopa, kuwa Kuna mwanamke hunikasirikia na kunifatilia hata nikiwa kwenye mkutano na waheshimiwa huja kutaka kuniharibia ila huumbuka,basi recently I had a dream kuwa my dress jipya lipo shimoni ila shimo liko wazi na dress liko kwenye cover yake jipya basi, over sudden lile gauni ghafla nikaona Kuna mwanamke na bintiye wameluchukua wavae gauni halikuwatosha. Hii ndoto what does it mean zimekuwa zinanisumbua mno
Yako Ipo wazi kabisa
 
Ok ni hivi mkuu mwanamke code yake ni kitu ,au watu au kampuni au biashara vyenye thamani na unavipa sana kipaumbele kwako ,yaan unaweza kusema very special.

Hivyo ndoto yako inamaanisha uwe makini na vitu au watu au vyovyote unavyoona ni special kwako ,maana mtego wa kukudhalilisha umefichwa huko ,na anayekufanyia hivyo hana nguvu kuliko wewe ,chamsing kemea hilo jambo litapotea.

Ndoto ya pili ukiona mwanmke na mtoto inamaanisha familia au jamii,na nguo ni tabia na shimo ni mauti au uharibifu so kuna tabia mpya ambazo asili yake ni dhambi ambazo kamwe usikubali kuzivaa, tabia hii inawaka ndani yako ila hujaifanya naomba usiifanye maana familia au jamii yako hawataweza kwamwe kuchukuliana nayo.
 
Ok ni hivi mkuu mwanamke code yake ni kitu ,au watu au kampuni au biashara vyenye thamani na unavipa sana kipaumbele kwako ,yaan unaweza kusema very special. Hivyo ndoto yako inamaanisha uwe makini na vitu au watu au vyovyote unavyoona ni special kwako ,maana mtego wa kukudhalilisha umefichwa huko ,na anayekufanyia hivyo hana nguvu kuliko wewe ,chamsing kemea hilo jambo litapotea.
Ndoto ya pili ukiona mwanmke na mtoto inamaanisha familia au jamii,na nguo ni tabia.na shimo ni mauti au uharibifu so kuna tabia mpya ambazo asili yake ni dhambi ambazo kamwe usikubali kuzivaa ,tabia hii inawaka ndani yako ila hujaifanya naomba usiifanye maana ,familiar au jamii yako hawataweza kwamwe kuchukuliana NAYO.
Thanks for clear elaborations aisee.
 
Kuna jamaa yangu kaota anaosha maiti, Mara kaota yupo na mshikaji wake marehemu nazani Sasa anakaribia kufa mweenyewe
Sujakuelewa mkuu yaani jamaa yako kaota anaisha maiti jambo la kwanza.

Pili mshkaji wake huyo maiti yupo naye ,sasa anayekaribia kufa ni nani? fafanua kidogo
 
Aliota yupo chumbani kuna maiti , wanaiogesha na maiti inajikunjua miguu, within a short days aliota yupo na rafiki yake waliyesoma nae (rafiki huyo ni marehemu)

Hii ni ishara kifo kinamyemelea au matatizo makubwa yapo njiani
Sujakuelewa mkuu yaani jamaa yako kaota anaisha maiti jambo la kwanza.
Pili mshkaji wake huyo maiti yupo naye ,sasa anayekaribia kufa ni nani? fafanua kidogo
 
Aliota yupo chumbani Kuna maiti , wanaiogesha na maiti inajikunjua miguu, within a short days aliota yupo na rafiki yake waliyesoma nae (rafiki huyo Ni marehemu) hii Ni ishara kifo kinamyemelea au matatizo makubwa yapo nniani
Anakaa wapi kwanza? Nafikiri ndoto nyengine zinaendana na mazingira.
 
Kwanza nianze kwa kuelezea ndoto maana yake,

Ndoto ni mkusanyiko wa matukio ambayo binadamu huyaweka kichwani kwake ambayo humjia bila zuio (involuntary) kwenye ubongo wakati akiwa amelala,matukio haya huwa hayaeleweki na saa nyingine huwa kinadharia zaidi mfano kuota unapaa wakati kiualisia haiwezejani.kiujumla sayansi imeshindwa kuja na jibu kamili kuhusu ndoto ,na matokeo yake wameishia kutoa tafsiri hiyo .

Ukija kwenye dini ndoto huwa ndio njia maalumu ambayo ulimwengu wa Roho hutumia kuwasiliana na binadamu,hapa sasa ndio nataka tuanze.

Kibibilia Mungu hutumia matukio tuliyoyaifadhi au kumbukumbu za vitu tulivyoifadhi moyoni ,ili kutengeneza codes za mawasiliano kati yake yeye na sisi .

Sasa kuna mambo kadhaa ambayo huwa ukiota lazima ujue kufungua hizo codes ,ni maarifa rahisi ila inahitaji uwe mcha Mungu na mwerevu.

Mfano
1:Ukiota unapaa angani :ndoto ya namna hii ukitaka kuifahamu lazima ujue kwa nini Mungu katumia anga,anga maana yake ni ulimwengu wa Nuru ,ardhi ni ulimwengu wa Giza ,hivyo ukiota unapaa ni taadhari kutoka kwa Mungu kwamba uache kutembea kwenye ulimwengu wa Giza ,hamia ulimwengu wa Nuru.nikuhakikishie ukifanya hivyo hutakaa uote tena kupaa sure.

2: Kuota unafanya mapenzi ;codes za ndoto hii ni mbili kulingana na mazingira yako,mfano ukiota unafanya mapenzi na ukiamka unajihisi mchovu na mara nyingine kama mwanaume unahisi umemaliza ,basis ujue kuna pepo wachafu wanakuchezea.
Ila ukiota unafanya mapenzi na ukiamka hakuna ishara yoyote nikimaanisha uchovu au uchafu basi ndoto hii huwa ni njema code ya mapenzi ni pesa maana ni kipi kinapendwa zaidi ya mapenzi kama si pesa hivyo ukiota unafanya mapenzi ni ishara ya kupata pesa,kama unayefanya naye humjui basi utapata pesa kwenye vyanzo usivyotarajia. Kama umeota unafanya mapenzi na MTU unayemjua basi ujue utapata pesa zaidi kwenye vyanzo vyako vya kiuchumi unavyovijua.

3;Kuota uko darasani ,na kufanya mitihani.Hii ndoto code yake ni hivi jiulize ni nini hukupa wasiwasi kama kama kipindi uko shule hasa wakati wa mitihani kama kukosa pesa wakati wa matatizo,hivyo ndoto hii ukiota ni onyo kutoka ulimwengu wa roho kwamba kuna matatizo makubwa yatakujia na yanahitaji pesa hivyo unahitaji kuweka akiba ya pesa ,upunguze matumizi la sivyo hilo tatizo litakuaibisha.

4;Kuota kusalitiwa kimapenzi ; code yake ni hivi ni nini huumiza moyo na kuuvunja moyo kama usaliti wa kimapenzi? jibu ni msiba.hivyo kama umeota mwenzi wako anakusaliti na kiuhalisia si kweli basi ni ujumbe wa kifo kwa huyo uliyemuota either yeye ,familia yake watakumbwa na tukio la msiba hivyo Muombee huenda bado ulimwengu wa Roho haujaidhinisha hilo janga.

Ntaendelea kesho...............pia ukumbuke somo la ndoto lilikuwapo tangu zamani Yusuph alisoma kupitia vitabu alivyoiba mama yake RHaheli wakati anatoka kwa baba yake aliyekua mganga na mtabiri alijulikana kama Laban ,
Danieli alisomea huko uajemi enzi za utumwa

Na binadamu huota zaid ya ndoto 20 kwa siku ,ndoto yenye ujumbe huwa unaikumbuka vema na huwa inaushtua moyo.nyingine huwez kuzikumbuka maana huwa kazi yake ni kuufanya ubongo ufanye kazi vizuri ,hivyo siyo ndoto zote ni ujumbe unatakiwa uwe mwerevu wa kusoma mazingira na hali yako.
Mkuu ukiota unafagia yaani unafanya usafi kila siku inajirudia.Na ukiota mvua?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom