ndoto

Ndoto Za Elibidi is a 2010 Kenyan film.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nyumba ndogo ya Ndoto yako

    Ramani ya vyumba vitatu kimoja masta, sebule , dining, jiko, stoo na choo cha kushea, ukubwa wa Ramani mita 9/kwa mita 10...nichek 0627571649
  2. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania FY2021/22 Serikali kutoa Trilioni 11 kulipa madeni ya nyuma

    ||FY2021|22 Rais Samia kutoa Jumla ya Trilioni 11 kulipa madeni ya nyuma yaliyoaachwa na mtangulizi wale, === Rais Samia Suluhu Hassan kimyakimya ameendelea kulipa madeni mbalimbali kwa makampuni binafsi au taasisi. Kwakuanzia tu mwaka huu pekee Rais Samia analipa madeni yenye thamani ya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ndoto inanitabiria mabaya

    Habari wanajamvi, naimani mko poa, Moja kwa moja kwenye mada, Kuna kipindi niliota ndoto ya namna hiii, ndoto yenyewe ni ya shule yaani niliota Niko shuleni Advance, sikuwa na imani mbaya na ile ndoto mpaka ilipokuwa inajirudia. Hapo ipinishtua nakuanza kuulizia maana yake ni ipi, majibu...
  4. Saoka

    JamiiForums Tanzania Kuna nini nyuma ya ndoto hii? Naomba msaada

    Habari zenu wakubwa kwa wadogo. Niende kwenye mada kuwa Leo nimeota tena kuwa nimegombana na mdogo wangu aliyenifata kufikia kiasi cha yeye kukimbia/kuhama kabisa nyumbani na kwenda kwa majirani kuomba msaada huku nikiwa sijui chanzo chake. Wakati huohuo ninamuona bibi yangu mzaa baba huyu ni...
  5. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Form 4 mwenye ndoto za kusomea IT usipoteze mda wako kwenda form 6, nimekupa ramani nzima hapa

    𝙁𝙊𝙍𝙈 4 𝙈𝙒𝙀𝙉𝙔𝙀 𝙉𝘿𝙊𝙏𝙊 𝙕𝘼 𝙆𝙐𝙎𝙊𝙈𝙀𝘼 𝙄𝙏 𝙐𝙎𝙄𝙋𝙊𝙏𝙀𝙕𝙀 𝙈𝘿𝘼 𝙒𝘼𝙆𝙊 𝙆𝙒𝙀𝙉𝘿𝘼 𝙁𝙊𝙍𝙈 6, 𝙉𝙄𝙈𝙀𝙆𝙐𝘾𝙃𝙊𝙍𝙀𝘼 𝙍𝘼𝙈𝘼𝙉𝙄 𝙉𝙕𝙄𝙈𝘼 𝙃𝘼𝙋𝘼 Muhimu; Kama una changamoto za kiuchumi ni vyema ukasome form 6 kwenye shule ya serikali uliyochaguliwa ili umalize form 6 na ujaribu bahati yako kuomba mkopo wa serikali ili usome chuo, Post hii...
  6. GUSSIE

    JamiiForums Tanzania Siasa za mishahara minono kwenye taasisi za Serikali zinavyoharibu ndoto za vijana wengi wa Kitanzania

    Wanabodi, vijana badala ya kufikiria maarifa ili waweze kuendeleza wapatacho wao wanawaza mishahara minono kwenye taasisi za kiserikali ambazo Kiuhalisia mishahara hiyo minono haipo kwa vijana wanaoanza kazi. Maneno ya wanasiasa majukwaani kutamka mishahara ya wakurugenzi(Directors) wa...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na ndoto za nyoka

    Imekua ni kawaida kuota ndoto za nyoka yupo chumbani kwangu au kitandani kabisa. Na nikistuka huwa nipo na hofu kubwa sana. Nini maana yake? Maana imekua ikinisumhua kwa mda mrefu sana! Msaada tutani. NB: Mimi ni muoga sana wa nyoka!
  8. Digging deeper

    JamiiForums Tanzania Je umetimiza ndoto zako?

    Habari wana JF je ulivyokuwa mtoto ulikuwa na ndoto nyingi na kama ndio ni ndoto gani mpaka sasa umetimiza, binafsi mimi nilikuwa natamani kucheza mpira bado naendelea kucheza.
  9. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Gharama za bando zitaua creativity, biashara na ndoto nyingi za vijana

    Nawasalimu wote. Nitaangazia nyanja kadhaa na nitakapoweza tena mifano. Pale patakapopungua naomba mjazie. Hivi karibuni makampuni ya mawasiliano yaliongeza karibia kwa 50% gharama za Internet kwa Watumiaji kwenye ile option waliojificha humo kama "Offer" ya mtandao! GB tatu kwa mfano kwa...
  10. BABU KIDUDE

    JamiiForums Tanzania Ndoto za kuishi Tanga mjini

    Mambo vipi Wana Jamii...... back to the Point, mimi nishapita umri wa ujana. nipo jiji hapa, nimetembea tembea sana Mambo vipi? Wana Jamii. back to the Point, mimi nishapita umri wa ujana. nipo jiji hapa, nimetembea tembea sana Mbeya, Arusha Moshi Dodoma Mwanza na Tanga PLUS Unguja na...
  11. Boniface Evarist

    JamiiForums Tanzania Nimeota ndoto saa kumi alfajiri nimeshinda Stories of Change!

    Habari zenu wadau! Alfajiri ya leo Jumamosi mnamo saa 10:30 hivi nimeota kama nimeletewa mifuko mitatu mizuri sana. Katika mifuko yote kuna nguo. Naomba nielezee! 1. Mfuko huu una nguo nzuri sana imeandikwa mshindi namba moja wa stories of change, ila pale sikumbuki jina lake. Ukishika huu...
  12. Thas trabo

    JamiiForums Tanzania Ndoto hii inanitesa sana na kuninyima usingizi

    Hii ndoto nimeota usiku wa kuamkia leo ilikua hivi. Nilikua maeneo ya uwanja wa mpira, kulikua na watu wengi sana. gafla angani likaonekana wingu ambalo juu yake kuna mlima, watu walikua wakilishanga tu, katika ule mlima walishuka watu wa wawili wenye mavazi meupe (kanzu) mmoja alisimama kulia...
  13. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Ndoto niliyooya

    Leo jumapili tarehe 10/10/2021, nikiri kwamba sijaenda kanisani. Hii sio kawaida yangu. Niliamua tu kushika laptop yangu na kuanza kuangalia mambo ya kazini kwangu. ghafla, usingizi ulinipitia, nikaota kama kuonyeshwa hivi ndoto ambayo imeshakuja kwangu mara ya tatu sasa na inakuwa na mvuto na...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Naomba kutafsiriwa ndoto hii

    Mwenye uelewa na ndoto ifuatayo naomba anijuze: Nikuwa nikiota kwamba Mimi ni mwalimu na katika ndoto nimekuwa nikisimamia wanafunzi wanafanya mtihani wa hesabu, ndoto hii jimeiita Mara nne mfulilizo , na kiuhalisia Mimi si mwalimu,na Wala sitegemei kuwa mwalimu. Kinachonoshangaza ni Kwanini...
  15. Thailand

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa ndoto mnisaidie hili

    Habarini za muda huu ndugu! Nipende ku declare interest kwanza; kwamba mimi sio mwamini wa Ndoto kabisa za usiku. Imekuwa mara kwa mara naota naimba yaani Mimi ni Mwimbaji wa levo za juu kabisa. Nimekuwa nikipuuzia sana hii ndoto kwa sababu mimi najionaga sina kipaji cha kuimba Muziki halafu...
  16. Jana Ulirudi Usiku

    JamiiForums Tanzania Jamani niombeeni, Jana nimeota hii ndoto

    Habarini, Sikuwahi kuota ndoto za namna hii, ila jana ilikuwa mida ya saa mbili usiku nililala, nililalia jicho la kushoto. Nikaota ndoto kuna mtu kasimama mbele yangu ila nilipokuwa nainua macho kumtizama usoni nilikuwa nashindwa (sikumuona uso). Sasa ghafla nikajikuta nasex naye mno, katika...
  17. Boniface Evarist

    JamiiForums Tanzania SoC01 Usitafute ajira bali tengeneza ajira

    Daima wazo la mtu ndiyo kitu pekee anachoweza kutumia kubadilisha mfumo mzima wa maisha yake, ninaandika andiko hili nikiwaangalia vijana kama Maxence Melo aliyeanzisha JamiiForums na Milladi Ayo mwanzilishi wa Ayo Tv, hawa ni baadhi ya watu walioamua kutengeneza ajira za wengine badala ya wao...
  18. Fumo Liyongo

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ndoto za Mchana za Wahenga

    [CHANZO: Pinterest] Wasifu wa mhenga wa kigeni Kabla hawajazaliwa wazee wa wazee wetu, katika shamba moja mbali sana kutoka kijijini kwetu, alizaliwa mtoto. Kabla hujaweka maneno katika aya zangu, huyu si yule mtoto wa vitabuni, aliyezaliwa katika zizi la ng’ombe na kuletewa zawadi nyingi na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Najuta kuwa na huyu mwanaume katika maisha yangu. Ameharibu ndoto zangu, najiona si binadamu tena

    ...
  20. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania SoC01 Dada alivyohitimisha maisha ya ndoto yake

    Anaitwa Bahati, tangu akiwa mdogo alishaamua atapambana na maisha na kuboresha maisha ya familia yao. Baba yake alikua Mchungaji wa kanisa, mama mwalimu. Wakizaliwa sita na kati ya hao wa kike walikua wanne. Baba yao alipokea wageni wengi wa kanisa kutoka nchi mbalimbali. Kuna wakati...
Back
Top Bottom