ndoa

  1. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Kama uliolewa ukiwa "single mother" na ndoa ikadumu njoo uwape moyo wenzio!

    Vijana wengi wa kiume wamekuwa wakiwapomda sana single mama kwa kuwakashifu kuwa hawawezi kuolewa. Wanaume weng wanaamin kuwa ukimuoa single maza atakusumbua kwa tabia mbaya hasa ile ya kuwasiliana na mzaz mwenzi. Lakn ukweli ni kwamba single maza wanaolewa na wanakalika katka ndoa! Wewe...
  2. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Mwanamke njoo usimulie ulivyompata mme wako wa ndoa!!

    Wanawake hupata wanaume wa kuwaoa kwa njia mbalimbali kama vile: 1.ulimpa tunda kimasihara baadae akawa mmeo 2.ulienda kuombewa kwa mchungaji 3.ulitafta mtandaon 4.alikuwa mwalimu wako darasan 5.alikuwa mpangaji mwenzio 6.alikuchumbia Wanawake karibun mtaje njia mlizotumia kuwapata wanaume...
  3. Influenza

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki lasema ndoa zitaendelea kufungishwa ila watahusika Wanandoa na Wasimamizi wanne tu

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania anaitwa Padri Dr. Charles Kitima amefafanua tamko la Kanisa Katoliki kuzuia watu kufunga ndoa nakusema hawajazuia sakramenti hiyo ila wamezuia wale wanaotaka kufanya sherehe. “Ibada ya kupokea Sakrament ya ndoa na kipaimara hizi shughuli...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki lasitisha huduma za kufungisha ndoa na ubatizo hadi pale ugonjwa wa COVID-19 utakapodhibitiwa

    Rais wa TEC baba Askofu Nyaisonga ambaye pia ni askofu wa Dayosisi ya Mbeya amesema katika kupambana na maambukizi ya Covid 19 wanasitisha Huduma za sakramenti ya ubatizo na ile ya Ndoa. Baba askofu amesema Huduma hizo zitarejea tena kama kawaida pale ugonjwa huo utakapokuwa umedhibitiwa. Baba...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mtaalam: Ukiona Umeolewa au Umeoa na ndani ya Mwaka Mmoja hamfanani Sura jua hiyo Ndoa ni Batili na hakuna Upendo hapo

    " Ukiona tu Mtu ama Kaoa au Kaolewa halafu wakikaa muda wa Mwaka Mmoja tu hawajaanza kufanana Sura zao jua Kwanza Damu zao hazikuendana na kama Damu zao tu hazikuendana Kibaiolojia hapo jua ya kwamba ule Upendo wa Asili haupo. Wanaume wengi wanaoa kwa Kuangalia tu Mwonekano wa Mwanamke na...
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ameponzwa na safari za dada kuiweka ndoa yake sawa ameolewa na mganga wa kienyeji

    Yametokea huku kwetu Nanjilinji. Salome alitolewa posa na kijana kutoka DSM. Tulifahamishwa mchumba wa Salome wakati tunashonewa sare za wasindikizaji harusi. Baada yaharusi Salome alindoka kwenda DSMna mume wake. Haikuchukua muda alimtumia nauli mdogo wake Esther amfuate huko DSM. Baada ya...
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mchepuko atendae visa vya kutikisa ndoa

    Huyu kaka mstaarabu flani umri 39. Amepata uhamisho kwenda Dodoma. Huku Dar alijiweka vizuri, mke wake ana pika mama ntilie lakini ni wale mama ntilie wa kishua ana pick up yake ya kuendea machinjioni na kwenye soko la ndizi. Jamaa amafika Dodoma alikaa guest house wiki moja, wiki ya pili...
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Corona imetunfundisha maana ya ndoa. Tupo nyumbani 24/7 na tuliowachagua

  9. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Wanawake fungukukeni ili tuokoe ndoa zetu

    Wanawake nawaomba muwaweke wazi wanaume kwa kutaja vitu vinavyowapelekea mtoke nje ya ndoa Mkiwa wazi kwa kusema ukweli mimi naamini tutaokoa ndoa nyingi sana. Karibuni
  10. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Mambo ya mapenzi na tendo la ndoa tulioyatoa kwa wanyama

    Kula denda - tumetoa kwa njiwa. Kulambana sehemu za siri - Tumetoa kwa Mbuzi na mbwa. Kuwa na mke mmoja hadi kifo - tumetoa kwa njiwa. Mwanaume na mwanake kusaidiana katika kulea mimba - njiwa wanavyoasidiana kulalia mayai Style ya mwanamke chini mwanaume juu (missionary position) - tumeitoa...
  11. malisak

    JamiiForums Tanzania Makosa wanayofanya wanaume walio kwenye ndoa

    Kuja na vimada mpk home na kumuacha ndani ya gari Kuingia ndani na viatu vya matope wakati kumeshadekiwa Kuvurugua nguo au vitu wakati wa kutafuta kitu kabla ya kuuliza kilipo. Kumtambulisha mtoto wako kwa kimada wako. Kumleta rafiki yake kuja kula bila kutoa taarifa. Kumsifia rafiki au ndugu wa...
  12. malisak

    JamiiForums Tanzania Zijue faida za uaminifu katika mahusiano ya Ndoa

    Suala la uaminifu katika mapenzi kwa karne hii limekuwa kikwazo kikubwa kwa watu wengi sana, wengi wemekuwa si waaminifu wakati mwingine kupelekea mahusiano hayo kufa. Hivyo uaminifu ni muhimu sana katika mapenzi kwa kuwa katika mahusiano ya kimapenzi kuna faida nyingi kwa mwili na akili. Watu...
  13. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Ndoa kudumu inataka uzuzu

    Kibongobongo Ili ndoa idumu lazima mume ujifanye Zuzu aisee. Mdomo mdomo wa mke ndani ukimuendekeza mtabaki kuzozana day-in, day-out hakuna maendeleo. Yaani Ile mke akiamka tu full kuongea tu mtu mpaka unajuta kubaki home na Corona hii.. jamani Kuna kinamama wanaongea aisee Tena NEGATIVITY tu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nini tofauti ya Ngono, Tendo la Ndoa na Unyumba?

    Wapendwa, Kwa wenye ufahamu naomba msaada wa maana na matumizi sahihi ya maneno haya matatu NGONO, TENDO LA NDOA NA UNYUMBA. Nimeyasikia mara nyingi lakini sina hakika kama yanamaanisha kitu hicho hicho au tofauti.
  15. U

    JamiiForums Tanzania Kilichovunja ndoa ya Diamond na Tanasha ni hiki

    Ni malaika slt, binti kutoka Australia, Mond alipagawa akafa video vixen wa jeje
  16. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kwa wale walioko kwenye ndoa tu, watupe majibu.....

    Kwa wale walioko kwenye ndoa tu,watupe majibu..... Pale unapokutana na magumu au changamoto za kimaisha; kama uchumi, mambo ya kazi, maradhi, kesi n.k mtu wa kwanza kumshirikisha hali unayoipitia huwa ni nani? Mke/Mume, baba yako/mama yako,rafiki au watoto wako,dada/kaka zako..na kwa nini yeye...
  17. Mema Tanzania

    JamiiForums Tanzania Did you know? Secondary school girls are 3x less likely to become child brides

    Did you know? Girls who complete secondary school are 3x less likely to become child brides. #EachforEqual #IWD2020 #KizaziChenyeUsawa
  18. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Alpha Blondy afunga ndoa na Bi Aisha kutoka Tunisia

    Mnamkumbuka mkongwe wa Reggae kutoka Ivory Coast, alizaliwa 1953 akiwa anaiwa Seydou Kone. Amefunga ndoa na Bi Aisha mzaliwa wa Tunisi. Alpha Blondy atakua na wake wa tatu sasa. ===== Global reggae icon Alpha Blondy born Seydou Koné has secretly married a much younger Tunisian lady...
  19. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Wanandoa wanatakiwa wafanye tendo la ndoa mara ngap kwa siku?

    jaman naomba mnisaidie mawazo,maana ndoa yangu bado changa
  20. Galacha Maestro

    JamiiForums Tanzania Kwanini mahusiano/ndoa nyingi hazidumu?

    KWANINI MAHUSIANO / NDOA NYINGI HAZIDUMU? Unapoingia katika ndoa au mahusiano huwezi kufikiria hata kidogo kwamba asilimia kubwa ya ndoa au mahusiano hayo kufeli.Ndoa au mahusiano yanaweza kufeli kwa sababu nyingi na iwapo ndoa yako ilianguka na kufeli sababu kubwa yaweza kuwa na tofauti...
Back
Top Bottom