Msimsimange, mie nampenda hivyo hivyo

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,850
155,799
Ni mrembo hakika, kwa sura na umbo ameumbika. Tatizo hataki kuoga, linapokuja swala la kuoga ni ugomvi mkubwa.
Yeye huwana uso, husugua makwapa, na kuiosha Tukuyu, baada ya hapo ndio Hadi kesho.
Mswaki anapiga vizuri kabisa.

Hana tabia yoyote mbaya, nyumba Safi Kama peponi, adabu ndio mahali pake, upendo na ukarimu ndio sifa zake.
Tatizo ni KWENYE kuoga tu, anasema nimvumilie huo ndio udhaifu wake.
 
Huyo mpeleke Car wash... unaongea na wale vijana unawakatia kama buku tano hivi. Wanamfumulia yale maji kama wanaosha malori ya kubeba taka. Hii nakusaidia ili mambo yasijezidi kuwa mabaya ukajikuta unalazimika kuingia gharama kubwa kuita Fire Brigade ...

Wajanja tushakuelewa lakini... hapa lazima unazungumzia kitimoto... Pamoja na mambo yake yote yale bado anabakia kuwa mboga tamu kuliko zote duniani na kwenye mabaa... shahidi yangu Kasie Mahaba Matata
 
Ushauri mzuri Sana huu, fire brigade wenyewe magari yao wanayajaza mchanga tu siku hizi, maji wamekatiwa
 
Ila hakuna kitu kinamaliza mwili wangu Kama kuoga jamani..najikuta nauonea ubahili mwili wangu.
 
Bujibuji

Huyo mpeleke Car wash... unaongea na wale vijana unawakatia kama buku tano hivi. Wanamfumulia yale maji kama wanaosha malori ya kubeba taka. Hii nakusaidia ili mambo yasijezidi kuwa mabaya ukajikuta unalazimika kuingia gharama kubwa kuita Fire Brigade ...

Wajanja tushakuelewa lakini... hapa lazima unazungumzia kitimoto... Pamoja na mambo yake yote yale bado anabakia kuwa mboga tamu kuliko zote duniani na kwenye mabaa... shahidi yangu Kasie Mahaba Matata
Mnazeeka vibaya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom