Ni yupi kati ya hawa wahusika wakiingia kwenye ndoa hutulia?

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,383
40,281
Aliyefanya uhuni sana katika ujana wake halafu akaingia katika ndoa, na yule ambaye hakufanya uhuni katika ujana wake akaingia kwenye ndoa. Ni yupi akiingia katika ndoa hutulia? na ni kwanini hutulia?
 
Kwa mwanaume aliyefanya uhuni ujanani Ni rahisi Sana kutulia kuliko mwanamke aliyefanya uhuni ujanani.

Mwanamume kwa kawaida ndio marefa wa mechi zetu na ndio wapiga kipenga hivyo Ni ngumu kughairi mechi kabla ya kuridhika kibinafsi, msala unakuna kwa wenzetu ukiwa humridhishi na kipindi Cha nyuma ukute kulikua na pori lake akifika anakula ndizi Hadi ashibe, aisee mkuu lazima atakumbuka pori lake na kulirudia.

Hivyo ni rahisi sana kwa mwanamume aliyezurula kutulia kuliko mwanamke aliyezurula ujanani!
 
Kwa hiyo unashauri mwanaume aoe binti yule ambaye hakuangaika ujanani?
 
Utajuaje sasa,uliyenaye anaweza kutulia?
Muhusika ndiye mwenye uamuzi wa kuamua kutulia au lah! Kikubwa unapoingia kwenye mahusiano na mtu na ukawa na nia ya kumfanya fyucha patina/wife omba Mungu akupe mwenye hofu yake.
Moyo wa mtu kichaka mjomba.
 
Kwa hali hiyo,tutegemee miujiza kumpata mtu aliyetulia?
 
Back
Top Bottom