ndoa

  1. mama D

    JamiiForums Tanzania Ndoa ni jukumu linalohitaji upendo wa kweli na kujitoa

    Ndoa ni chama cha majukumu makubwa sana, majukumu ya kujenga familia na kujenga jamii bora na baadae taifa bora. Tulio kwenye ndoa tupongezane na wanaotegemea kuingia chamani mjue tuu hili ni jukumu zito lenye raha na starehe ndani yake na linalohitaji watu wawili wenye upendo wa kweli, upendo...
  2. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tujiandae kwa wimbi kubwa la ndoa na mahusiano kuvunjika kwasababu ya video za chumbani tunazorekodi

    Kwa sasa hivi smartphone zimekuwa kawaida sana kumilikiwa na watu wengi hususani vijana, Smartohone hizi zina kamera ambazo baadhi ya vijana huzitumia kujirekodi wakiwa katika ibada ya utamu. Miaka inavyoenda vijana wanaoa na kuwa na familia, mda huu wanakuwa wamesahau uchafu wao ambao upo...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Tatizo la maumivu makali wakati wa kufanya tendo la ndoa

    Wakuu habari ya wakti huu. Nina mwanamke wangu ambae anapata maumivu makali sana wakati wa kufanya ngono, hata penetration ni issue. Ukufanikiwa ku-penetrate bado analalamika maumivu makali. Kwa ujumla uume ukigusa tu ukeni anaanza kulalamika maumivu makali. Amewahi kwenda kwa specialist kule...
  4. GIRITA

    JamiiForums Tanzania Nguvu za giza zimevunja ndoa ya jirani yangu

    Jamaa alikuwa anaishi vizuri na mkewe,wameoana kwa shangwe na furaha kubwa, wakabahatikiwa kupata mtoto mmoja katika ndoa yao. maisha ya ndoa yalianza kubadilika baada ya rafiki yangu kuanza safari za kikazi mara kwa mara,ndipo shemeji akaanza tamaa za kimapenzi kwa kijana mmoja mkopesha...
  5. mama D

    JamiiForums Tanzania Mabinti ambao hamjaingia kwenye ndoa

    Wanaume makini wapo..... tena wengi tuu. Kabla ya kufanya maamuzi piga goti umshirikishe Mungu, sikiliza moyo wako huku ukishirikisha ubongo wako. Kumekua na maneno mengi ya kuwakatisha tamaa lakini za kuambiwa changanya na zako
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Upako wa tendo la ndoa unapopanda madhabahuni

    Nabii kakasirishwa sana na kifo Cha mende, Sasa Ni wakati wa kuwafundisha waumini style zenye upako kama ile style ya kijanja popo kanyea mbingu
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Upako wa tendo la ndoa unapopanda madhabahuni

    Nabii kakasirishwa sana na kifo Cha mende, Sasa Ni wakati wa kuwafundisha waumini style zenye upako kama ile style ya kijanja popo kanyea mbingu
  8. Chungu chachu tamu

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaume na wanawake ni wapi huongoza kwa kujisahau katika ndoa?

    Salam sana Ama baada ya salamu Kumekuwa na kauli kuwa watu wengi wamekuwa wakijisahau sana majukumu yao baada ya kufunga ndoa na wapenzi wao. Kila upande huulalamikia upande mwingine kuwa wamejisahau sana. MALALAMIKO YA WANAUME Wanaume wamekuwa wakiwashutumu wanawake kubadilika sana katika...
  9. Bwana Fulani

    JamiiForums Tanzania Uko upande gani?

    Utafiti wa Taasisi ya Kinsey Indiana University Marekani umehitimisha kuwa Mwanaume uchepuka kwenye uhusiano/ndoa yake ni dalili ya kuwa na akili ndogo (low IQ), "Wanaume wenye akili kubwa muda wa kuwasaliti Wapenzi au Wake zao hawana kabisa, wanatulia na Mtu mmoja"
  10. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake walio wengi wanatumia ushirikina kwenye mahusiano ya ndoa?

    Habari za Leo wakuu. Wakuu nina swali... Hivi ni kwa nini wanawake walio wengi wanatumia ushirikina kwenye mahusiano ya ndoa? Na je tufanyeje ili kuwadhibiti? Labda nikupe tu mfano mmoja. (Wanawake ndio wanaongoza kwenda kwa waganga kuchukua limbwata za kuwafunga waume zao) Lengo hapa ni...
  11. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Mnaotaka kufunga ndoa kwa sherehe kubwa zingatieni haya kuepuka lawama za watu

    Wachumba, Marafiki nawapa salaam kwenu. Kwa wakristo nashauri tusome Luk 14:28 ili twende sawa. Kwa dini nyingine na wasiokuwa na dini twendeni na msamiati huu. "Ukitaka cha uvunguni sharti uiname" Nimehudhiria baadhi ya harusi nyingi sana hasa mwaka huu lakini mambo siyo ya kuridhisha kabisa...
  12. Superbug

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya kijana mwenye watoto ambaye hajafunga ndoa na kijana aliefunga ndoa ambaye hana watoto?

    Wakulungwa Kuna tofauti gani kubwa kiviiiiiiiiiiileeee Kati ya Hawa vijana wawili. 1. Ana watoto hajafunga ndoa na anaishi vizuri na mkewe na Wana watoto wazuri tu na wanatarajia kufunga ndoa Mambo yakikaa sawa. 2. Amefunga ndoa ila hana watoto ila Mungu atawajalia watapata. Kati ya hao...
  13. 2

    JamiiForums Tanzania Msaada Wenu: Uliwezaje kupita salama mpaka Ndoa kwenye Mapenzi ya namna hii?

    Habarini za jumapili
  14. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Mwenye Picha ya cheti cha Ndoa naomba a-share na sisi tafadhali

    Tunajua kuwa Ndoa ni mkataba, so nmeonelea ni vyema kuomba kujua mahudhui ya aina hii ya maktaba. Itapendeza zaidi kama vikipatikana tofauti tofauti yaani cha ⭕ Kikristo ⭕ Kiislamu ⭕ Kiserikali Kama vitakuwa vinatofautiana. Asante.
  15. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Mama mkwe huyu anaweza kuharibu ndoa ya Mwanawe wa kike. Suluhisho ni nini?

    Kuna mtu kanipa kisanga hapa nimeona niwashirikishe ili nimshauri. Kijana anaishi Mbeya kabila Msangu kaoa mwanamke Mnyakyusa. Baada tu ya kuoa mama wa binti akahamia kwa kijana (mkwe wake] na kuacha familia yake huko Uyole. Baada ya miezi 6 mama mkwe akaleta wajukuu zake wanne pale kwenye ndoa...
  16. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili niokoe ndoa ya huyu binti?

    Yo what's up? Kuna girl fulan mkali mkali ile ile. Huyu girl nina uhusiano nae wa kimapenzi kwa muda wa miezi 6 sasa. Tulipoanza uhusiano na huyu girl mi nlidhani maybe she's single, lkn baadae akaja kunambia mwenyew kuwa ashaolewa na anaishi na mumewe. Da baada kunieleza vile nikamshauri...
  17. Amydiz

    JamiiForums Tanzania Je, mwanamke anayo haki ya kudai fidia kwa kuvunjwa kwa ahadi ya ndoa?

    Kwa mujibu wa kifungu namba 69 cha sheria ya ndoa, mwanamke anaweza fungua kesi ya fidia dhidi ya mwanaume aliyevunja ahadi ya ndoa dhidi yake.
  18. R

    JamiiForums Tanzania Ni mambo gani yanadhihirisha utayari wa mwanamke kuingia katika mahusiano ya ndoa/ mapenzi?

    Habari za mchana wakuu wa MMU. Natumai mpo salama na mnaendelea vyema kabisa na majukumu ya hapa na pale. Lengo kubwa la uzi huu ni kutaka kujua ni ishara gani au ni vitu gani vinadhihirisha kwamba mwanamke yupo tayari kuingia katika mahusiano ya kimapenzi/ndoa. Nimeuliza hivyo kwa sababu kila...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Kigogo Mkubwa Wa Timu Ya Soka Ya Simba Aamua Kuachana Na Ubachelor Kwa Kufunga Ndoa Takatifu

    Hongera Sana Kigogo na msemaji wa Simba Kamarada Haji Manara
  20. LOTH HEMA

    JamiiForums Tanzania Vyeti vya ndoa

    Ndoa ni muungano wa mwanaume na mwanamke kuishi pamoja maisha yao yote,huku wakijenga familia watakayoipata. Kwenye ndoa kuna raha na shida,wanandoa hawana budi kuvumiliana katika kipindi kigumu kwenye ndoa yao kipite. Hoja ni kwamba kuna ulazima gani kwa wanandoa kupewa cheti cha ndoa wakati...
Back
Top Bottom