ndoa

  1. Superbug

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini hususan Kanisa Katoliki, Je, nikifoji cheti cha ndoa na mkajua nimefoji mtanipa adhabu gani?

    Kanisa Katoliki Tanzania naomba mnijibu. Nikifoji cheti cha ndoa au Kipaimara au Komunio au Ubatizo japo nilikuwa Mtoto (kwa ubatizo) na mkajua kabisa nimefoji, Je, adhabu yangu ni ipi? Je, nitakaribishwa Kukomunika ? Au na mathalani niwe na cheo labda Mbunge au Mkuu wa Mkoa. Je, dhambi yangu...
  2. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napendwa sana na watoto ila mama zao watanivunjia ndoa

    Sijisifii ila ndivyo nilivyo, watoto wananipenda sana tangu mimi ni mdogo, hawa watoto naozungumzia, mara nyingi ni watoto chini ya miaka 7 Kwa sasa nina miaka 29, nimeoa na tuna watoto wawili. Changamoto ninayopata niwapo kazini, kwenye biashara, mtaani na maeneo mengi huwa natokea tu kupendwa...
  3. yuda75

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kweli mapenzi ya wizi ni matamu kuliko katika ndoa halali?

    Mapenzi ni kitu ambacho kinafanya wapenzi kufurahia wakiwa pamoja lakini kwa sasa kumekuwepo kwa kusalitiana katika mahusiano. Imekuwa kama kawaida mwanamke/mwanaume kuwa na mchepuko huku tayari yupo kwenye ndoa yake. Kwa nyakati za sasa uzinifu si kitu cha ajabu tena.Wahusika wanadai kufaidi...
  4. Andie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi katika mazingira haya kuna haja gani ya ndoa?

    Salaam wakuu, Kichwa cha habari nimekiweka kuchochea majadiliano ya mazingira ya "usasa". Awali ya yote niweke wazi mimi nimeoa na Mungu mpaji kanibariki mtoto mmoja wa kiume (asante Mungu) japo nina elimu ila misingi ya familia yangu kwa kweli nimezingatia maadili na tamaduni naweza sema...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Afya ya akili yahusishwa migogoro ya ndoa

    JAMII imetakiwa kufahamu namna bora ya kuzuia, kuhudumia na kutibu wenye matatizo ya afya ya akili kuepusha mateso, vifo na mfarakano katika jamii hasa wanandoa . Wakizungumza kwa nyakati tofauti, madaktari, wanasaikolojia , viongozi wa dini na taasisi zinazoshughulikia afya, wamesema kudorora...
  6. Meko Junior

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jaribu kuwaza kama usingetoa ile mimba mtoto angekua na umri gani?

    Embu tuambizane, ndugu wajenzi wa nchi, maisha yanatunyoosha na sisi tunayanyoosha. Wengi tumepitia changamoto nyingi za maisha, wengi tumepitiwa kwenye mahusiano mengi sana, wengine wakapat mimba au kuwapa watu mimba na kuchukua maamuzi ya kuitoa. Embu jaribu kuwaza kama usingetoa ile mimba...
  7. BILGERT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchepuko unakaribia kuvunja ndoa yangu

    Michepuko mna nini lakin? Wakuu ninaandika kwa masikitiko na majonzi makubwa saana. Nimeoa takribani miezi Tisa sasa. Kama mjuavyo kwetu sisi wanaume hatuachi kuchepuka ikiwa ndo asili na hulka yetu. Namshukuru Mungu,nimebahatika kupata mwanamke mzuri, mwenye upendo na pia Ni mcha Mungu...
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafuta mume ambaye hatoomba ngono kabla ya ndoa

    Habari mimi ni msichana wa miaka 21 natafuta mchumba ambaye atakuwa tayari kuwa na mahusiano na mimi bila sex hadi ndoa. Elimu: Chuo mwaka wa pili. Nachukua degree ya special education. Dini: Muislamu . Muonekano: Mwili wa wastani mweusi. Situmii kilevi chochote. SIFA ZA NIMTAKAE. Awe...
  9. Sky Eclat

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa ikifika hali hii mnakaribisha zinaa kama bado haijaingia

    Sababu mojawapo ni kumkosoa mwenza mbele za watu. Mkisha funga ndoa nyinyi ni mwili mmoja. Mume wako akichemka hadharani unaimeza aibu mpaka mfike chumbani ndiyo mnaongea. Mfano unajua mume wako Kimalkia hakipandi, akivunja mbele za watu meza. Kumkumbatia mume wako asubuhi akiwa anakuaga ni...
  10. safuher

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wengi hufa mapema kwenye ndoa kwa sababu moja kubwa ya wao kuwa na umri mkubwa kuliko wake zao

    Wengi tumekuwa tukidiscuss kwa nini wanaume wengi huwa tunakufa mapema katika ndoa kuliko mababu zetu. Sababu moja kubwa ambayo tunaisahau ni kuwa kiasili mtu mwenye umri mkubwa sana ndio huwahi kufa kwa asilimia kubwa na hii ndio ilivyo kitamaduni tulivyozoea. Sasa tukija kwenye mas'ala ya...
  11. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ratiba rasmi ya kifo cha ndoa yako

    Wanawake:- Jumatatu - kichwa kinauma Jumanne - nilikuwa bize nimechoka Sana Jumatano - Nina blidi Alhamis - Nina blidi Ijumaa - Nina blidi Jumamosi - Nina blidi Jumapili - naumwa kiuno siwezi hata kugeuka Jumatatu - kichwa kinaniuma Jumanne - nimesuka nywele nimevutwa Sana, mwili wote...
  12. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Utajuaje Ndoa yako imevunjika kisheria na ukaruhusiwa kuoa au kuolewa bila kwenda Mahakamani?

    MWANAMKE MPUMBAVU NA MWANAMME MJINGA ASIYEJUA SHERIA ZA NDOA YA TANZANIA. Utajuaje kuwa Ndoa yako imeshavunjika Kisheria bila kwenda Mahakamani? Na ukawa huru kuoa au kuolewa. Nifuatilie Don Nalimison. 1. Mwanamke au MWANAMME anapobadili Dini, kisheria tayari Ndoa inakuwa imeshavunjika na...
  13. luangalila

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa nyingi kuvunjika chanzo chake ni kutokuwa na utayari

    Habarini wadau, kama kichwa cha habari kisemavyo Siku za ivi karibuni kumekuwepo kwa matukio mengi ya ndoa kuvunjika ilihali zengine zikiwa bado chqnga hata miaka 2 hazija fika. Ni wazi kushamiri kwa matukio haya kunq dhihirisha uwepo mfinyu wa utayari baina ya wanandoa , utayari una zungumziwa...
  14. Its Pancho

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Ndoa za sasa zinaishi kimwili wakati kiroho zilishakufa

    Huu ni ukweli, ukweli utakaowaumiza wengi mliopo na mnaotarajia kuwepo kwenye ndoa. Ndoa za sasa asilimia kubwa zinaishi kimwili tu na kiroho zilishakufa zamani. Mlikubali kuwa mwili mmoja kanisani. Na roho moja iishi kati yenu Lakini sasa mnaishi kimwili tu ,roho kila mmoja kaihamisha kwa MTU...
  15. TheChoji

    JamiiForums Tanzania Kufungia ndoa kijijini: Mbinu mpya ya kupiga michango

    Kumeibuka wimbi la vijana wanaooa hasa hawa wanaoishi mijini, kupitisha michango ya harusi bila kusema harusi itafanyikia wapi? Mtu unaletewa kadi ya mchango, au kundi linaanzishwa whatsap unajikuta umeongezwa mnahamasishwa sana kuchanga kwasababu kutoa ni moyo sio utajiri. Ukiuliza bajeti...
  16. Matope

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Joyce Kiria, acha kulaumu wanaume muda wote. Anza sasa kufuatilia matatizo ya wanawake kwenye ndoa zao

    Habari, Nimekuwa nafatilia mada za huyu dada muda wote amekuwa mtu wa kulaumu wanawake kupigwa na waume zao je amewahi jiuliza changamoto ni nini Mpk wapate vipigo? Wakati flani wanawake wanakera na kuudhi sanaaa wapo wanaowanyanyasa sana waume zao walalamike wapi? Wanaume wasioweza kusema...
  17. jebs2002

    JamiiForums Tanzania Papa Francis atetea watu wanaojihisisha na Mapenzi ya jinsia moja

    Hatimaye Papa Francis akubali kubariki ndoa za jinsia moja, kwa kudai mashoga nawo ni watoto wa Mungu na hakuna sababu ya kuwabagua. Je, makanisa Katoliki Afrika, Asia, Mexico, Brazil na kwingineko watakubaliana na uamuzi huu? Tukumbuke kwenye biblia haisomeka ndoa za jinsia moja au za ushoga...
  18. Research Solutions TZ

    JamiiForums Tanzania Ndoa na Mirathi inawaumiza Wanawake

    Ipo hivi watu wakifunga ndoa hutangazwa kuwa ni Mwili mmoja, au kitu kimoja, kwa maana maamuzi sasa yanataka concer ya wote wawili. Lakini mwanamke akifa kwenye ndoa, na mwanaume akiwa hai, hakutakuwa na ugomvi wa mali, kwa kuwa mali hazitakuwa na mpango wa kuganywa. Lakini akifa mwanaume basi...
  19. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mbeba maono amevuna mioyo yetu, kila itikadi.

  20. Money Penny

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali la tendo la ndoa kwa Mchungaji kwenye mafundisho ya ndoa

    Shogangu anaolewa bwana, Leo ananihadhithia jinsi gani walivyoenda kwenye mafundisho ya ndoa halafu mchungaji akawa anazugazuga alipomwuliza swali na KUMFOKEA😂 Shogangu: mchungaji samahani, maana tangu mafundisho yalipoanza na leo tunamaliza, na kila kitu unasema ni dhambi tukiwa kwenye kufanya...
Back
Top Bottom