ndoa

  1. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baharia ogopa mabinti wanaojipodoa, wengi hawafai kwa ndoa

    Closed
  2. Money Penny

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hizi ndoa hizi! Money Penny washauri vijana wasikimbilie kabisa...

    Bado naendelea kurekodi VIPINDI vyangu vya YouTube, ndio maana skuhizi siandiki Uzi Sana huku hata HADITHI kwenye website nimesimama Kwanza, YouTube unachukua muda wangu mwiingi nikitoka hapo chokest ! naenda ku-du na mume alafu kushakucha narudi studio tena. Anyway wiki hii nilikuwa na wageni...
  3. sabuwanka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Changamoto za watoto wa nje ya ndoa

    Wanajukwaa wasalaam, mkitaka kujua khali yangu Mimi ni bukheri wa afya, namshukuru Mola wetu kutuzidishia urijali kwa ustawi wa familia zetu Leo napenda niulize hasa kwa wanaume wenzangu wenye watoto nje ya ndoa, ni Changamoto gani mnazopotia, na mnazitatua vipi, na je watoto hao wana namna ya...
  4. ommytk

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu analalamika sana kuchoka nikitaka Tendo la Ndoa

    Wakuu naomba kujua, Mke wangu hana ushirikiano kabisa kwenye tendo la ndoa na pia mara nyingi hana uhitaji nalo yaaani mimi ndio muhitaji na ukitaka lazima awake sababu mara kachoka au hayuko sawa, na hata akikupa analalamika kuumia anadai umalize. Je, kuna shida au anachepuka nje?
  5. sabuwanka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unapenda mahusiano yako yadumu?

    Wapendwa wangu wana jukawaa salaam. Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la mahusiano ya kimapenzi na ndoa kuvunjika hasa kwetu vijana, kugombana, kutofautiana, kupishana maneno ni jambo la kawaida kwasababu tunaingia katika mahusiano tukiwa na tabia tofauti tofauti na tena...
  6. osc michael

    JamiiForums Tanzania Yajue madhara ya kunyonyana viungo vya uzazi wakati wa tendo la ndoa (Oral sex)

    MADHARA YA KUNYONYANA WAKATI WA TENDO LA NDOA. ( Mapenzi yanayohusisha mdomo na viungo vya uzazi) Kwa sasa katika jamii asilimia kubwa imeathiriwa na tamaduni hii ya wapenzi kuridhishana kwa njia ya kunyonyana sehemu za siri ambayo kiuharisia huhatarisha afya zao. Tabia hii imeigwa katika video...
  7. RAKI BIG

    JamiiForums Tanzania Tiba za asili za COVID-19 pia zinaimarisha nguzu za kiume kwa waliokua hatarini kupoteza ndoa zao

    Sasa wakuu mimi binafsi nimeona tiba ya kitunguu swaum , tangawizi malimao yamekuwa mazuri sana kwangu, pia natumia sana habat souda na mrungu rungu katika kujitibu Corona Sasa picha linaanza, kila nikikutana na demu wangu ananiambia mbona sasa show ya kibabe sana? Nikamwambia, kwanini...
  8. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwenye ndoa ya wake wengi, mwenye mapenzi ya kweli ni mke mkubwa tu

    Kwenye ndoa ya wake wengi, mwenye mapenzi ya kweli ni mke mkubwa tu. Hawa wengine wako kimaslai tu, ata kama utawatembezea rungu kwa kila staili, wao watalenga maslai au kipato chako tu. Kwa namna nyingine tunaweza sema ni wachunaji tu. Tusidanganyane kuwa wake wenza upendana, hiyo haipo; kila...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Costa Rica yaanza kusajili ndoa za jinsia moja kisheria

    Wanaharakati wa mapenzi ya jinsia moja nchini Costa Rica wamekuwa wakipigani sheria ya kutambulikwa kwa ndoa za jinsia moja kisheria na kufanya kuwa mdahalo mkubwa kipindi cha uchaguzi wa mwaka 2017 hadi 2018 Mwezi Agosti 2018 Mahakama kuu ikasema kuwa kuzuia ndoa za jinsia moja ni kinyume cha...
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa imenishinda. I need prayers

    Kwakweli ndoa yangu ya miaka miwili naona ikienda kuvunjika vipande vipanda. I have been doing lots of Dramas to my wife, can you imagine getting a condom in my pocket? Its too much
  11. Alvin A.

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hasara 10 na faida 5 za kuchepuka katika ndoa

    Kila jambo lina pande mbili, upande wa uzuri na upande wa ubaya, lakini katika kufanya maamuzi basi ni vyema kuegemea upande wenye mazuri zaidi kuliko mabaya. Kuchepuka ni aina nyingine ya usaliti anaoufanya mtu kwa mpenzi wake, japo wahenga walinena acha michepuko baki njia kuu, michupeku...
  12. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha ya mapenzi na ndoa

    Kuna mengi katika maisha ya mapenzi ila zingatia haya kwa ajilii ya furaha yako, MUAMINI- katika kuaminiana kunatunza mengi ikiwa ni pamoja na mazuri na mabaya ila mnapo aminiana katika maisha ya mapenzi furaha utawala, UHURU- mpe uhuru mwenzako na vitu vyake kila mmoja anapokuwa huru katika...
  13. Witmak255

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wana MMU kuna ID humu naitafuta, nikiipata natangaza ndoa rasmi na vikao vyote vitafanyika humu

    Ndugu zangu wana MMU kwanza naomba nimshukuru mungu kwa kuniponya na lile gonjwa kwa kweli ni kwa neema zake tu mimi kuwa hai Kuna ID humu imepotea kwenye macho yangu, Ile ID ambayo inaogopwa na wanawake kwa wanaume wote hapa jukwaani ambayo iki-comment sehemu ID za kike zote haziwezi kum-QUOTE...
  14. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa, Familia na Jamii

    Ndoa ni msingi na chanzo cha familia ambapo familia ni kilele cha jamii. Ndoa huleta familia na familia hufanya jamii. Tokeo la familia na jamii ni ndoa. Ndoa inahusu mtu mwanaume na mtu mwanamke ambao wanakubaliana kadiri ya akili. Uhusiano huu baina ya watu wawili, mwanaume na mwanamke ni...
  15. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania COVID-19 ilivyofurahisha na kutesa ndoa za watu

    Kama kuna kitu nisichokusahau n weee COVID-19. Mwanzoni ulipopiga hodi africa wanawake hasa wanandoa walifyrahia sana. Wapo waliofurahia kutuona waume zao wakibaki nyumban mdawote. Wapo waliofurahia kuona tendo la ndoa linazidi kuongezeka nguvu kitandani. Huzuni kubwa ukiwa unaondoka wapo...
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu dhana ya ndoa

    NINI MAANA YA DHANA YA NDOA? Kwa mujibu wa sheria ya Ndoa ya Tanzania, ikidhibitika kuwa mwanaume na mwanamke wameiishi pamoja kwa miaka miwli au zaidi, katika hadhi ya mume na mke, basi kutakuwepo na dhana ya ndoa. Sheria hii, imedhamiria kukomesha kama si kupunguza ile tabia ya wanaume au...
  17. safuher

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tunapokutana na wanawake kuna ambao wanavutia kwa ndoa na kuna ambao wanavutia kwa ngono tu

    Wengi hushangaa kwa nini kajikuta kaoa mwanamke mwenye heshima na adabu msomi lakini sio mzuri,hana umbile ambalo alitamani hapo mwanzo awe nalo mwanamke atakaemuoa. Wanaume wengi utawakuta wameoa wanawake ambao wako nje na malengo yao ya zamani na maisha bado yanakwenda. Wakati mwingine huwa...
  18. dingihimself

    JamiiForums Tanzania TANZIA TANZIA: Mchungaji Dkt. Peter Mitimingi wa Warehouse Christian Centre (WCC), afariki dunia

    Mchungaji na mwalimu Dkt. Peter Mitimingi wa Kanisa la Ghala la Chakula au kwa kimombo “Warehouse Christian Centre(WCC)” amefariki dunia, usiku huu. Mchungaji Mitimingi alizaliwa mwaka 1975. Kabla ya kuanzisha kanisa lake hilo, alihudumu TAG kama mchungaji msaidizi na baadaye kuanzisha huduma...
  19. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini pete ya ndoa inavaliwa mkono wa kushoto?

    Wengi wetu tunajua na tunaona pete za ndoa zikivaliwa na wanandoa katika kidole cha pili kutoka mwisho, mkono wa kushoto. Naomba nisaidiwe kujua, Je, ni kwa nini pete hiyo ya ndoa inavaliwa kwenye kidole hicho cha mkono wa kushoto na si kidole kingine kwenye mkono huohuo au mkono wa kulia...
  20. britanicca

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni sahihi Mpenzi wako kuweka kikwazo cha kuanza maandalizi ya ndoa kwa kusingizia Corona?

    Anasema hebu waombe wazazi tuvutevute subira hadi mwezi wa 7 tuone hali itakavyokuwa ndo tuone cha kufanya, ameambiwa mshikaji mmoja ambaye kashamtambulisha mwanamke kwao ila kwao na mwanamke jamaa katambulishwa juu juu tu, akisema go ahead ya mshenga ni mpaka Corona iishe. Nimemuuliza je una...
Back
Top Bottom