ndoa

  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mbeba maono amevuna mioyo yetu, kila itikadi.

  2. Money Penny

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali la tendo la ndoa kwa Mchungaji kwenye mafundisho ya ndoa

    Shogangu anaolewa bwana, Leo ananihadhithia jinsi gani walivyoenda kwenye mafundisho ya ndoa halafu mchungaji akawa anazugazuga alipomwuliza swali na KUMFOKEA😂 Shogangu: mchungaji samahani, maana tangu mafundisho yalipoanza na leo tunamaliza, na kila kitu unasema ni dhambi tukiwa kwenye kufanya...
  3. Nduka Original

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa yoyote inayovunjika chanzo ni wanaume

    In any case chanzo cha ndoa yoyote kuvunjika chanzo ni mwanaume. 1. Mfano ukisema ume divorce sababu mama kachepuka lazima kosa ni lako kwa maana ya kwamba hukufanya Uchunguzi wa kutosha kwenye kutafuta mchumba au ulifanya then ukaja ukaboronga baada ya kumuoa
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Changamoto za ndoa ni nyingi na zinatofautiana

  5. matunduizi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke: Kama unafanya moja ya haya 7 utaachika/umeshaachika/ ukiolewa ndoa yako itavunjika

    Vitabu vya dini vinasema "Mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake kwa mikono take mwenyewe". Sifa za mwanamke mpumbavu 1: Amejaa Gubu ( nagging). Yaani malalamiko kila Kona. 2: Ananajisi kitanda cha ndoa kwa kuelezea watu mambo ya kitandani mwake na mumewe. 3: Ameolewa lakini mama yake na Ndugu...
  6. Infantry Soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini ndoa nyingi za watu waliopishana miaka michache (rika moja) huwa zinadumu muda mrefu na kuwa na changamoto ndogo ndogo sana?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu watanzania eti; Kwanini ndoa nyingi za watu waliopishana miaka michache (rika moja) huwa zinadumu muda mrefu na kuwa na changamoto ndogo ndogo sana? Nimeamua kuuliza hivi kwa maana kwamba, hakuna ndoa inayokosa changamoto za hapa...
  7. BILGERT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha ya ndoa anayo pitia ndugu yangu ni mateso, je amelogwa?

    Habari ya asubuhi wakuu.Naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika.Mimi nina umri wa miaka 33 na mke wangu ana umri wa miaka 31.Ndoa yetu ina muda wa miaka mitatu sasa ingawa bado hatujabahatika kupata mtoto. Mimi na mke wangu,wote ni watumishi katika idara ya elimu ambapo mke wangu yupo...
  8. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Harakati za kuacha Umalaya Zilivyogonga mwamba baada ya ndoa

    Wenzangu wapendwa! Kufanya umalaya sio Jambo jema Ila kwa mwanaume nimegundua kuacha Umalaya Ni kazi ngumu sana kuliko wake zetu wanavyotufikilia. Mwanzo nilidhani labda kwa sababu ya siendi kanisani ndiyo maana nikawa Malaya vile! Ikabidi nianze kwenda kanisani ibada ya pili! Mwanzoni nikaona...
  9. FrankLutazamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pete za ndoa ziwe na kauwazi kama picha chini zinavyoonekana, maana zinabana tukinenepa hazivuliki

    Nimegundua pete za ndoa lazima ziwe na uwazi kiusalama maana tukinenepa watu huzivua kwa sabuni zinagoma, muundo huo ni ubunifu wangu haki miliki ninayo.
  10. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, harusi ya Adam na Hawa ilifanyikia wapi, nani aliwafungisha ndoa?

    Je, walifungia ndoa kanisani au msikitini?
  11. Money Penny

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bao kwenye tendo la ndoa sasa kulipiwa

    Leo nimeskia kituko cha ajabu Sana kimenifanya niandike huku Nipo zangu oysterbay na Marafiki tuna chill kwenye kijiwe chetu, mara rafkiangu akapigiwa simu na Huyo bwanake tusiemjua😓 Walipomaliza kuzozana kwenye simu, nikamwuliza shida iko wapi, akasema Huyo bwana alimpigia NI mume WA MTU, na...
  12. Chief Wingia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kulazimisha mtoto wa kwanza kuanza kufunga ndoa kwanza kisha ndio wafuate wadogo zake

    Habari zenu wana MMU nawasalimu Nianze kwa kusema ndoa ni rizki, ndoa ni bahati, ndoa ni baraka sasa kuna mila na desturi za ndoa ambazo ni za kishamba katika jamii zetu ambazo bado tunazikumbatia bila maana yoyote. Ipo hivi mwanzoni mwa mwaka huu kuna rafiki yangu wa karibu alidhamiria kuaga...
  13. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kafulila katika mtihani wa kiapo cha ndoa, Je atamsaidia mkewe aliyeko CHADEMA katika kampeni?

    Haya mambo huwa yana ugumu wake. " Tutashirikiana na kusaidiana katika Shida na Raha hadi kifo kitakapotutenganisha" Sasa sijaelewa hapa kada wa CCM David Kafulila aka tumbili kama ataizingatia ahadi hii ya uaminifu katika ndoa wakati mkewe Kishoa atakapopambana na kada maarufu tena daktari wa...
  14. zagarinojo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Eti jamani urembo wa mwanamke unachangia kunogesha tendo?

    Wadau eeh! Its time. Najaribu kuvuta taswira ya wanawake warembo na wazuri. Huwa najiuliza hivi uzuri/urembo wao unaweza kuchangia kunogesha tendo. Mimi kwa akili yangu najuaga mwanamke akiwa mzuri/mrembo kwenye tendo ndio atanoga tofauti na wale wenye urembo wa kawaida. Wale wenye urembo wa...
  15. Kurzweil

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzee atibua harusi akidai maharusi ni watoto wake

    WAPENZI wawili waliokuwa tayari kufunga ndoa katika eneobunge la Bura, Kaunti ya Tana River walilazimika kusitisha harusi yao baada ya mwanamume kujitokeza ghafla harusini akidai yeye ni baba yao. Anne Magwi na Jotham Munini, watoto waliolelewa na wazazi wa kambo, walikuwa wamefika kanisani...
  16. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miaka ijayo Ndoa nyingi zitakuwa hivi...

    Katika hali ambayo haikutarajiwa, Ann Magwi na Jonathan Munini kutoka Kenya, wamelazimika kukatisha zoezi la kufunga ndoa, baada ya James Sidai kujitokeza kanisani na kusema yeye ndio Baba yao Mzazi, Baba huyo aliingia kanisani akiwa na Dada yake na kusema ndoa hiyo isifungwe kwa kuwa Maharusi...
  17. Grand Canyon

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo niliyojifunza katika ndoa

    Ndoa inajengwa kwenye msingi wa ukweli, uwazi na kuaminiana. Ni jambo jema mke/mume kujua kazi yako, unapofanyia kazi na hata kipato chako, lakini kuna mambo ukiyaweka wazi tatizo litatokea. Mfano wapenzi hupenda kuuliza maswali kama vile: uliwahi kudate wanawake wangapi? Kama idadi ni kubwa na...
  18. Moto wa volcano

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabinti wanaoikaribia 30 wana kiu kali ya ndoa

    Mabinti ambao wako Dakika za majeruhi wanakaribia kuinusa miaka 30 wana kiu kali ya ndoa, ukiwa naye kimahusiano hata kama mahusiano mabichi yana wiki mbili ataanza kauli za kuhusu ndoa, wako desperate sana. Yuko tayari kukupiga hata limbwata akuteke.
  19. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani ya uchaguzi ya CHADEMA kuathiri ndoa na ajira

    Nimeisoma ilani ya uchaguzi ya CHADEMA kurasa zote. Nimeona kasoro nyingi sana lakini kwa leo nitazungumzia kaosro mbili ambazo zina athari kwa jamii ya watanzania nazo ni ndoa na pia kwa watakaokuwa wanamaliza masomo na kutafuta kazi. Pia nitazungumzia na ushoga jao haupo katika ilani lakini...
  20. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tupe mkasa wako ulivyoishia kumuoa uliyedhani utapiga na kusepa

    Katika maisha ya vijana wengi mahusiano mengi yanakuwaga ni mwanaume kumtamani zaidi mwanamke hivyo mwanamke hugeuzwa chombo cha kustarehesha viungo vya mwanaume. Hapo mwanaume nae mara nyingi anakuwa na plan zake kwamba hapa najipigia tu, nikimchoka naenda kwingine. Hali inaweza kuwa tofauti...
Back
Top Bottom