ndoa

  1. Je, upo kwenye ndoa lakini pia upo kwenye mapenzi na mtu mwingine?

    Kuwa na hisia kwa mtu mwingine wakati upo katika ndoa ni jambo la kawaida sana. Hili sio jambo la kimungu, bali ni jambo la kibinadamu. Kukataa hisia zetu ni sawa na kukataa ubinadamu wetu. Huwezi kuacha kupenda watu wengine kisa eti kwa sababu tu upo katika ndoa. Kwa kawaida kila mwanamke...
  2. Kisa Cha Mume, Mke jeuri na Punda kimenichanganya kuhusu sala la ndoa

    Mkulima mmoja mzee kijijini alikuwa na mke aliyependa sana kumbugudhi bila huruma. Kuanzia asubuhi hadi usiku na wakati mwingine hata usiku wa manane, wakati wote alikuwa akimlalamikia kuhusu chochote. Wakati pekee aliopata nafuu ni ule wakati aliokuwa nje shambani akilima na punda wake mzee...
  3. F

    Arranged Marriage (ndoa za kuchaguliwa na familia, ndugu, na jamaa) ndio mfumo sahihi kwa maisha ya dot com

    Kwa jinsi ndoa za zama hizi zilivyo na seke seke. Nashauri familia zifate mfumo wa zamani. Kijana wa kiume anapofikia wakati wa kuoa, familia imchagulie mwenza wa kumuoa. Hivyo hivyo kwa binti. Familia ziwe makini na kukataa ndoa ambazo familia ya mume na mke mtarajiwa hazijawai kujuana...
  4. M

    Wenye umri wa miaka 35 hamjaoa na hamna hamu ya ndoa njooni tujadili

    Sasa nina miaka 35 sipati hamu kabisa ya kuoa na kuishi na mwanamke, labda aje tu nichaape aondoke. Ziko shida nyingi na hatari nyingi ninazoweza kupata kwa kutoishi na mwanamke, kiufupi sina sababu ya msingi ya kuwa bachela hadi sasa. Hakuna kitu nakerwa kama kulizwa naoa lini , current...
  5. M

    Msichana aliye na miaka 25 ana stress za ndoa kuliko mwenye 30

    Msichana akifika miaka 25 anatakiwa awe na mchumba anaeonyesha malengo laasivo STRESS HAZITAISHA KWA DADA ZETU
  6. Naanza kuwaza kwamba Ndoa sio kitu nimepangiwa

    Habarini za wakati huu ndugu wana-MMU, Hongereni kwa Majukumu na kwa Changamoto mnazopitia kwani hizo ndio Maisha menyewe. Ni muda umepita toka niweke post yangu hapa MMU. Mimi ni kijana (31), asili yangu ni kanda ya Ziwa nikimaanisha Geita ila naishi Musoma kwa sasa. Katika maisha yangu ya...
  7. Ifikie hatua tuwe tunaambizana ukweli kabla hatujafunga ndoa

    Ndoa za kwenye tamthilia na video za music zisituharibu......ndoa si kurushiana mito tu na magumu pia yapo.Mwanaume ukishindwa wajibika Kwa familia yako jiandae kuchitiwa au kuachika.....Kwa mwanamke vivyo hivyo umeolewa Kaa kifamilia, usista duh tupia kule.... wajibika ...itumikie ndoa...
  8. Z

    Kanisa Katoliki Ujerumani kuanza kubariki ndoa za jinsia moja kuanzia 2026

    Ndiyo hivyo wakuu, kwa mujibu wa DW kanisa limefungua milango kwa ushoga,Kama alivyoshauri Papa juzi hapa --- ==== Mkutano wa Sinodi - ambao unalenga katika mageuzi ya Kanisa - uliidhinisha hati huko Frankfurt siku ya Ijumaa ili kuruhusu wapenzi wa jinsia moja wapewe baraka zao na Kanisa...
  9. Nifanye Mapenzi, Ama Nisifanye?

    Siku hizi kuna kundi la watu wanaopinga ndoa (KATAA NDOA) na kuhamasisha watu wasifunge ndoa - lakini wengine wamekuwa wakifanya 'me-time' na kujisaidia wenyewe. Ndio maana leo hii nataka kuandika makala "Kwanini tufanye tendo na kwanini tusifanye tendo." Kupitia makala hii, nataka watu waelewe...
  10. Baada ya Tafakuri naachana na kampeni ya kataa ndoa, nahiitaji Mwanamke wa kuoa

    Ujana una mengi na siwezi danganya mengi nimefanya. Sifa zangu Urefu Futi 5.9 Elimu: degree moja Kazi Mwalimu wa secondary (Government) Kabila Haya Sifa za Mwanamke Awe Bikra Elimu sio lazima Cha muhimu kusoma na kuandika Kiswahili Dini Muslim Sifa kuu awe bikra na smart kichwani That all...
  11. Wale team kataa ndoa sio wanaume tu hadi wanawake pia wapo

    Hiko kipande cha video hapo juu nimekitoa huko twitter. Sasa huyu binti akutane na mjumbe wa JF huku ambaye hataki ndoa sijui itakuaje hilo penzi(mahusiano). Tukae mbali na mafeminist wakuu.
  12. Kuwa Mama Bila Kupata Mimba | Baba Bila ya Mama Mjamzito

    Unaifahamu Surrogacy? Surrogacy, au uchukuzi wa mimba, ni njia ya kusaidia wanandoa ambao hawawezi kupata mtoto kwa njia ya kawaida. Njia hii inahusisha mama mbadala ambaye huzaa mtoto kwa niaba ya mwanamke na mwanaume fulani (wanandoa hao). Kuna aina mbili za surrogacy: "traditional...
  13. S

    Wanawake msituumize kihisia kwa kutoka nje ya ndoa ili kulipiza kisasi

    Kuna hii tabia ya baadhi ya wanawake kutoka nje ya ndoa sababu tu ya kuwakomoa waume zao baada ya kugundua kwamba waume zao wanatoka nje ya ndoa. Kiukweli sisi wanaume tunaumia sana kuliko hata nyinyi mnavyoumia pindi tukigundua kwamba mnatoka nje ya ndoa. Kwanini tunaumia? Tunaumia kwasababu...
  14. J

    Dawa ya kumdhibiti mwanaume asiyeeleweka

    Salaam. Kuna wakati mwanamke unaona mwanaume wako unayempenda na kumuheshimu hakupendi wala kukuthamini kama ilivyokuwa mwanzo/kabadilika. Na hali hii inawaletea stress wanawake wengi. Wapo wanawake wakiona tu kidume hakieleweki anasepa zake, which is good for peace of mind ila kama wewe ni...
  15. O

    Mahakama yavunja ndoa ya Kafulila na Jesca Kishoa

    Kituo Jumuishi Huduma za Kimahakama, Mirathi na Ndoa, Temeke kimeivunja rasmi ndoa kati ya wanasiasa machachari David Kafulila na Jesca Kishoa kupitia shauri la ndoa No 217 ya 2022. Ndoa hiyo iliyofungwa Aprili 22, 2014 ilivunjwa rasmi Februari 20, 2023 baada ya wanandoa hao kutengana tangu...
  16. Walimu waghushi Vyeti vya Ndoa kupata Bima ya Afya

    Tume ya Utumishi wa Walimu Nchini (TSC), imekabidhiwa majina 78 ya walimu waliobainika kughushi nyaraka mbalimbali za wategemezi na matumizi mabaya ya kadi za bima za afya. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na kitengo cha mawasiliano Serikalini cha TSC iliyotolewa jana Jumatano, Machi Mosi...
  17. Mgogoro wa ndoa ya Dkt. Mwaka na mkewe kufikishwa Mahakamani

    Sakata la ndoa ya mtaalamu wa tiba mbadala, Juma Mwaka maarufu Dk Mwaka na mkewe Queen Masanja, limechukua sura mpya baada ya shauri hilo kutua kwa wanasheria ambao wamepanga kulipeleka mahakamani. Shauri hilo tayari limepita kwenye Baraza la Usuluhishi chini ya Ustawi wa Jamii na wakati wowote...
  18. Mimi mkataa ndoa naangamia rohoni: Nishaurini ili nipone

    ... Moderator, Please Delete .... Moderator
  19. Je, ni sahihi kwa Sarah kudai mgawanyo wa mali ambazo hakuhusika nazo kuzichuma? Tuendelee kukataa ndoa?

    Kwamba wakati mwenzake anapamba na kukata mauno huku bongo, yeye alikuwa anakula raha Italy, ila ghafla anakuja mtu kudai apewe nyumba na mali zote, na mahakama imekubali, kwamba tuendelee kukataa ndoa? Diamond platnumz ana akili sana, msimlaumu kwa uamuzi wake wa kuzaa na kulea watoto wake tu...
  20. S

    Kabla hujaoa test mitambo kwanza kuiepuka aibu

    Dada wa diaspora alikuja mwaka juzi hapa Tanzania akampenda binti kisha kamuunganisha na kakake aliyeko nje ya nchi. Mambo yote ya kimahusiano yakaazia na kukamilikia kwenye simu. Mwaka jana mwezi wa 9, mkaka kaja na kufunga ndoa na binti. Wakaenda kula tunda la katikati kwa mara ya kwanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…