ndoa

  1. Natafuta Ajira

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwenu watetezi wa ndoa

    Mmekua na kasumba wa kutushambulia ambao hatutaki ndoa lakini insasikitisha sana mashambulizi yenu huwa hamlengi kwenye point mahususi. Utetezi wenu huwa unalenga zaidi kwenye dhiaka mfano kataa ndoa ni mashoga, hawana hela, wamelelewa na single parent, wana trauma n.k lakini kwenye point huwa...
  2. Half american

    JamiiForums Tanzania Lugha ya picha: Ndoa za siku hizi

    Tegemezi nae anategemewa, ahudumiwe ili aweze kuhudumia. Chanzo ni nini?
  3. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya Marekani ya Mtangazaji Maulid Kitenge yadaiwa kuaota mbawa baada ya kumuoa Mbunge Nusrat Hanje

    Hiyo ndiyo habari ya motomoto kunako mainstream, ambapo inasemekana mtangazaji maarufu Maulid wa Wasafi TV hapa nchini, ndoa yake ya Marekani imeota mbawa baada ya kumuoa Mbunge N. Chanzo cha ndoa hiyo kuvunjika ni mtangazaji huyo kuoa bila kuomba consent kutoka kwa mke wake huyo, na hata baada...
  4. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vipi mke wa kutafutiwa anaweza kudumu kwenye ndoa?

    Mshikaji wangu baada ya kunusurika kwenye ajali nyingi na misukosuko ya mahusiano ikabidi aanze kushirikisha watu Ili apate mke sahii wa kuoa. Kwenye harakati hizo huku akiendelea kumuomba Mungu (Kwa mujibu wake), jamaa yake mmoja aliepo kigoma akamwambia Kuna Binti anamuona kanisani na...
  5. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Wafuatao wamefunga ndoa na umaskini. Na ni ngumu ndoa zao kuvunjika

    Umaskini ni fedheha. Kwenye maisha yako yote chukia umaskini kwa kila hali. Fanya jambo lolote la halali kujiondolea umaskini kwenye maisha yako. Ibara ya 25 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetamka wazi namna ya kuondokana na umaskini. Hata Mwenyezi Mungu mwenyewe hataki viumbe...
  6. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Bunda: Auawa na mkewe kwa kuchomwa kisu, kung'atwa sehemu mbalimbali za mwili ikiwemo sehemu za siri pamoja na ulimi

    Ofisa Kilimo katika kata ya Neruma wilaya ya Bunda mkoani Mara anayefahamika kwa jina la Julius Rubambi ameuawa kwa kuchomwa kisu na kung'atwa ulimi na mkewe kutokana na wivu wa kimapenzi huku mkewe Elizabeth Stephen akijeruhiwa vibaya na kulazwa hospitali ya Kibara. Inasadikika kuwa chanzo...
  7. Foxhound

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuelekea kuadhimisha miaka 10 ya ndoa

    Habari wadau, nikiwa nipo mbioni kuelekea kuadhimisha miaka 10 ya ndoa yangu leo hii nimeona nitoe ujumbe mfupi tu kwa wanaume kama mimi maana watoto wa kiume kwao sio rahisi kuiweza ndoa. 1. Ndoa ni sawa na gereza ambalo tofauti iliyopo kwa gereza la kawaida ni kwamba gereza la ndoa mfungwa...
  8. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Wadogo zangu wa kike hata kama nyumbani kwenu maisha ni magumu usikubali ndoa ya sogea tukae

    Mtu akitaka kuishi na wewe kanuni ni kutambulishana kwa wazazi wa pande zote mbili tena physically kama kwao ni mbali hakikisha mnaenda achana na biashara za kutambulishwa kwenye simu ama video call kama ni Kigoma pandeni Saratoga muende. Flat TV, sofa set, bedsofa, friji na sabufa zisifanye...
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kanisa la wasabato ndio pekee linalofata neno Maana halisi ya Mke wa ujana wako. Ndoa zifungwe wote mkiwa wadogo

    Makanisa mengi ya wakristo leo hasa makubwa kama RC na KKKT mafundisho yao hayafundishi umuhimu wa ndoa kwa vijana wao. Wasabato ndio waliobaki kusisitiza hilo. Tazama picha za maharusi wao mume na mke wanavyokuwa wadogo Ndoa kama hii ni rahisi kujenga bond kubwa ya upendo maana mke na...
  10. Zee la madawa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumbe kuna watu wanaenjoy kwenye ndoa? Nawachukia sana! Nasumbuliwa na post traumatic syndrome I hate all woman even my sister

    Nachukia ndoa na wala sipendi watu wanaofurahia ndoa zao na wala nawachukia those people who start to establish relationship na kwamba ndoa ni utapeli na kupotezeana muda tu and I hate those woman even my sister I hate too Nasumbuliwa na post traumatic syndrome yaani ambapo nikitaka kuoa au...
  11. Nyafwili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pale unapokuwa unapiga Stori na Mpenzi 'Y', ghafla ulimi unakusaliti kisha Mpenzi 'Y' unamuita kwa jina la Mchepuko mwingine

    Habari wana JamiiForums, Poleni na majukumu ya hapa na pale, kuna ile changamoto huwa inatokea, upo zako na mpenzi wako mnapiga story za hapa na pale, lakini Kwa bahati mbaya, ghafla tu! Baadala ya kumuita jina lake Mpenzi ambaye upo naye wakati huo, lakini unajikuta unamuita kwa la jina...
  12. technically

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sometime "Kataa ndoa" Uwa wana hoja

    Ukiangali kwa makini kataa ndoa uwa wana hoja sisi tuliooa tunapitia mengi sana. Yule Mwanamke wa ndoto zako ambaye kuja nyumbani kwako hataki yupo kwa Mchizi anapika na kupakua, hata zile pesa unazomhonga anampatia. Yule Mkeo uliyemuoa kwa upendo yupo zake hotel anampa tendo Mwanaume wa hisia...
  13. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Yesu alitoa muongozo na majibu ya maswali ya taratibu za talaka kwenye ndoa, kwa nini watawa wa kanisa katoliki hawaoi?

    Kwenye Suala la kutoa talaka: Yesu aliwajibu wafarisayo walipomjaribu; Wakamuuliza: “Basi, kwa nini Musa aliagiza kutoa cheti cha kumfukuza na kumtaliki?” 8 Akawajibu: “Musa aliwaruhusu kuwataliki wake zenu kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu, lakini haikuwa hivyo tangu mwanzo. Ninawaambia...
  14. tpaul

    JamiiForums Tanzania Shehe: Profesa Janabi anataka kutuua, atatuvunjia ndoa

    Shehe mmoja ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja amesikika akisema kwamba, kwa ulaji ule wa Profesa Janabi, ukiwa muislamu mwenye wake wanne unaweza kushindwa kumlisha mkeo "chakula cha chini" na hatimaye ndoa zikavunjika. Amesema haya akiwa na maana kuwa ukibahatika kuoa mwali...
  15. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Wanaume Mtetezi wenu huyu hapa. Kataa Ndoa msipite hapa

    Nadhani kawawakilisha vizuri?.
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtu yoyote aliyewahi kuishi na mwanamke/mwanaume na kuunda familia Hawezi kuwekwa katika Kundi la Kataa Ndoa

    Kwema Wakuu! Vijana wa siku hizi wamechanganyikiwa mno. Hata vitu vidogovidogo kama maana ya maneno au dhana hawajui. Mathalani, Neno "Ndoa". Kuishi na mwanamke au mwanaume kiunyumba kwa lengo la kuunda familia ndio tafsiri sahihi ya Ndoa. Ndoa ni makubaliano ya mwanaume na mwanamke kuishi...
  17. Mto Songwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu maarufu (Wanasayansi, Wasanii, Wafanyabiashara, Wanamichezo) wazee wa kataa ndoa duniani

    Twende nami taratibu. Baada ya kuwatazama Marais wa wakataa ndoa duniani sasa ni zamu ya watu maarufu walio nje ya ulingo wa siasa😎 1. Oprah Winfrey Ukurasa unafunguliwa na huyu ajuza vijana wa kisasa wanasema shangazi. Huyu legend wa kike ni mwanaharakati haswa wa wazee wa kataa ndoa. Huyu...
  18. Mto Songwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marais wakataa ndoa duniani

    Haya wakataa ndoa mmefikiwa🤡 Kumbe kampeni yenu ni kubwa ina watu wazito duniani. 1. Vladimir Putin Huyu bwana nafikiri watu wengi wanamfahamu hapa duniani. Kwa wasio mfahamu huyu ni Rais wa taifa la Russia huyu bwana yeye kama Rais wa wakataa ndoa duniani toka 2013 amekuwa akiishi maisha ya...
  19. Kaka yake shetani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwenye ndoa tuvumiliane shida na raha

    Nyie mnaotaka kuingia kwenye ndoa mnapoambiwa shinda na raha sio Kila shida na Raha mnaweza kuvumilia. Kuna mambo madogo yanaweza kusababisha shida na Raha kuwa ugomvi. Msimu huu wa mfungo ramadhani nimepokea mwaliko wa futuru kwa rafiki yangu, misosi ya Kila aina. Baada ya kutoka kwake...
  20. Mgosi Mbena

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke unavumilia siku ngapi kama hupewi tendo la ndoa kabla hujaamua kwenda kwenu?

    Wakuu, nimeoa siyo kwa ndoa au harusi. Jana nimerudi na mke, kwangu geto hapa Dar cha ajabu nimeshindwa kupiga show. Yaani, juzi usiku mzima tumelala nimeshindwa kupiga show. Jana nayo tena mambo yamegoma sijui nini. Sina nguvu za kiume. Huyu manzi nilimla kama mara mbili kuna siku show mpaka...
Back
Top Bottom