Mwanaume usiweke matumaini makubwa sana kwenye ndoa

Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,445
13,293
Ni vyema tukajulishana vitu vichache vichache ila vina umuhimu mkubwa.

Wanaume mnao tarajia kuingia katika ndoa au mliopo katika ndoa changa msiweke expectations kubwa sana ndani ya ndoa kwamba kuna mambo fulani na fulani kwamba nita achieve katika ndoa.

Ndoa sasa kwa ukweli halisi ni nyepesi nyepesi actually wakati wa nyuma kidogo ndoa zilikuwa na uzito sasa kidogo wanawake wanajiweza kutokana na sera mbalimbali za kuwawezesha na kwa kiasi kikubwa zimefanikiwa hivyo interest ya wanawake kuzikubali na kuziheshimu ndoa imepungua sana tena sana.

Si ajabu sasa kuona ongezeko kubwa la hawa wanawake wanaoitwa single mothers wanawake wa sasa wengi kidogo wanakipato na wanajiweza kwa vitu vyao vidogo vidogo hivyo umuhimu mkubwa wa mwanaume wa kumuendesha unapungua kwao.

Zamani wanawake wengi walikuwa wakiolewa tena katika umri mdogo tu wa miaka 16,17,18 na 20 za mwanzo tofauti na sasa miaka hata 30+ wanaolewa na sababu nini ? Ni umasikini uliotopea katika familia na kuwa tegemezi kwa wazazi hivyo ili kuondoa mzigo nyumbani mwanaume yoyote akijitokeza akataka kumuoa hata wasipopendana sana ndoa hufanyika ili kuondoa mzigo majumbani.

Lakini sasa wanawake wanaolewa huku wakiwa na mipango yao kichwani kwamba akiolewa akapata watoto kwake it's over, jambo la msingi kwake ni kuwa na watoto basi.

Baada ya kuwa na watoto naye anajiweza kwa ka kipato kake usitegemee wewe mwanaume mwenzangu utamuendesha katika namna unayotaka wewe na mtaelewana hapo huwa ngumu inafika point hata umuhimu wako kama mwanaume anauona hauna maana kwake.

So, tunapoingia kwenye ndoa tusiyachukue yale maisha ya uchumba tuliyokuwa tukiishi kabla ya ndoa au hata maisha ya mwanzo ya ndoa ya miezi ya mwanzo au miaka ya mwanzo kipindi mapenzi yamekolea kuwa ndio maisha halisi ya ndoa ya muda wote hapana kabisa sivyo.

Tusiweke natumaini makubwa kwa wenza wetu katika ndoa itatuepusha na migogoro mingi na maamuzi magumu.

WANAUME WENZANGU TAMBUENI KABISA WANAWAKE WA SIKU HIZI NDOA HAWAPENDI KABISA HUU NDIO UKWELI.
 
Ndoa ni nini?
 
Kama shida yao ni watoto basi nitakuwa namwagia nje kama Onani wa kwenye biblia alivyofanya
 
Sisi kama Wana JF tulishakubaliana tukatae ndoa mkuu. Vipi mwenzetu, umedondokea wapi..?
 
Back
Top Bottom