ndoa

  1. Mgosi Mbena

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke unavumilia siku ngapi kama hupewi tendo la ndoa kabla hujaamua kwenda kwenu?

    Wakuu, nimeoa siyo kwa ndoa au harusi. Jana nimerudi na mke, kwangu geto hapa Dar cha ajabu nimeshindwa kupiga show. Yaani, juzi usiku mzima tumelala nimeshindwa kupiga show. Jana nayo tena mambo yamegoma sijui nini. Sina nguvu za kiume. Huyu manzi nilimla kama mara mbili kuna siku show mpaka...
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwenye kujua dawa ya kupunguza hamu ya tendo la ndoa anijuze

    Mm ni kijana 28 nina hamu sana na sex hata nikisex na mwanamke siku nzima kesho najikuta natamani tena kusex. Mwanamke niliyekua naishi naye ameshindwa imebidi aondoke. Hii hali naona kabisa inanitesa kiafya mwili wangu naona unadhoofika. Kwahiyo anayejua dawa ya kupunguza hamu ya tendo...
  3. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tukutane hapa tuliopata ubaba kabla ya ndoa, ilikuwaje, ulichukua maaamuzi gani, ndie uliemuoa?

    Nakumbuka jioni ya siku kama ya leo kuelekea weekend nilimuita aje tuspend kwangu. Mida kama hii nashangaa msosi naoukuta mezani sio kawaida yake kuniandalia akija, aliandaa juice nzito, pilau la nazi na njegere. nimemaliza kula namsifu kwa mapishi yake ajiandae nae nimle, ndio akanifungukia...
  4. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke ana sonona. Msaada wakuu

    Anawatoto watano sasa. Mume wake aliondoka miaka 5 iliyopita, akaacha watoto watano: wamwisho (miezi 9), wakati huo mtoto wa pili (3) kutoka mwisho anaumwa (Athma). Mwanaume akaondoka kachukua mke wa watu kijiji jirani wakaenda Katavi. Hakuwasiliana na familia yake muda wote akiwa Katavi...
  5. Mto Songwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyie vijana wa sasa wanaume na mabinti mpo tayari kwa ndoa au mnatania?

    Binafsi machalii wa sasa siwaelewi kabisa kama wapo tayari kwa ndoa au wanaigiza? Sio wanaume sio wanawake yaani wote wanafanana ni kama kichaa na mwendawazimu wamekutana pamoja kuanzisha familia. Hizi ndoa za machalii wa sasa ni kama wanavutana karibu ili kuwa na uhuru wa kufanya ngono...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kandida inapunguza hamu ya tendo la ndoa

    Kandida inapunguza hamu ya tendo la ndoa Jamani wanawake au wanaume tuwemakini na haraka kwenda hospitali tunapohisi unadalili za UTI kwa sababu UTI ikiwa sugu usababisha fagasi kandida ambao baadae uleta shida ya kutopata hamu ya tendo la ndoa
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sahihi kwa Serikali kuanzisha sheria za PreNup Kwa Wanaotaka kuingia kwenye Ndoa kupeusha matapeli

    NI WAKATI SAHIHI KWA SERIKALI KUANZISHA SHERIA ZA PRENUP KWA WANAOTAKA KUINGIA KWENYE NDOA KUEPUSHA MATAPELI. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Huwezi ukawa na sheria ya Talaka alafu muda huohuo isiwepo sheria ya PreNup. Huko ni kutengeneza mazingira ya utapeli, dhulma na kuifanya ndoa isiwe...
  8. Common Folk

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania For Men: Wanawake hawathamini ndoa tena, unapooa zingatia yafuatayo

    Katika nyakati hizi, kuna sababu nyingi za kutokuoa kuliko kuoa. Namaanisha wale wazee wa "Kataa Ndoa" have milion reasons ku defend maamuzi yao. Nyakati zimefika ambapo ndoa kwa wanawake siyo tunu tena, hawathamini ndoa kama jambo kubwa maishani mwao. Ndoa kwao wanakiona ni kitu cha kawaida tu...
  9. Beesmom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nakuwa na maamuzi ya kusitasita kuolewa tena tangu ndoa ya kwanza inishinde 2021

    .
  10. Intelligent businessman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kataa ndoa ni hazina ya kesho

    Hii Sera ya kataa ndoa ni Sera ya msingi na muhimu mno. Itasaidia kuonyesha ukweli na njia ambazo vijana Wanazo Ingia Chaka. swaga nyingi, michango, Picha kibao, halafu mwishobwa siku una Baki una Lia Lia. maigizo, kilio, Kisi kudanganye kijana. Mwenyekiti wa kataa ndoa ni, Liverpool VPN, 02...
  11. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Aliyejizolea umaarufu kwa kuwapigia simu Zimamoto ili ajifurahishe afunga ndoa

    Mwanadada maarufu pande za Nyankumbo Geita alibahatika kufunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi Shaaban Nyakonga ambaye ni askari wa jeshi la zimamoto na uokoaji mkoa wa Geita. Itakumbukwa takribani miaka 2 iliyopita mwanadada Shelida alijizolea umaarufu baada ya kuwapigia zimamoto simu kwa...
  12. buzitata

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kurudisha uwezo wako wa tendo la ndoa

    Ni kweli asilimia kubwa ya wanaume wamezaliwa na uwezo wa kufanya mapenzi Tatizo kubwa ambalo naona linawasumbua watu wengi ni kukosa hisia na sio kutokuwa na uwezo Tatizo lilianzia pale ambapo tulijiona tunawahi kufika mwisho kabla ya wapenzi wetu jambo ambalo lilitufanya tuombe ushauri Kwa...
  13. Kimbesa11

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hizi ndoa mbona ngumu sana au ni kwangu tu?

    Hizi ndoa hapana wakuu! Niwaase tu wale ambao hawajaoa wawachunguze sana wachumba wao kila tukio baya kipindi Cha uchumba usilichukulie poa. Mfano:- Umegundua mchumba wako bado anawasiliana na x wake ujue hiyo hali itaendelea mpaka ndoani na wanaweza wakazaa na mtoto na ukamsomesha kabisa...
  14. Msanii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mjadala kwa Wanaume: Kwa nini ndoa za mitala zinapigwa vita sana? kasoro yake nini? Tuoe bana kila mtu kwa uwezo wake

    Ndugu zetu Islam na wazee wa Mila wameweza kudumisha ndoa za wenza wengi na kutokana na elimu waliyonayo ni jambo linalowezekana sana na linatibu jamii ambayo infidelity imekuwa order of the day. Wakristo na Serikali wamejikita kwenye ndoa ya mme mmoja to mke mmoja ambapo ukiangalia ratio ya...
  15. 2 of Amerikaz most wanted

    JamiiForums Tanzania During your life never stop dreaming. No one can take away your dreams

    "During your life never stop dreaming. No one can take away your dreams" - Tupac. NDOA ni chanzo kimoja wapo kilichochangia kiasi kikubwa cha kutokomeza kama sio kuua kabisa ndoto za watu wengi katika jamii. Watu walikuwa na malengo na kumiliki biashara kubwa, kuwa wanasheria mashughuli na...
  16. Chance ndoto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina mtoto ila nataka kuingia kwenye mahusiano yatayopelekea ndoa. Naeleza vipi kwa mwenza wangu huyu?

    Habari za jioni wana JF. A true story inayohitaji msaada kutoka kwa rafiki yangu wa karibu, Yeye tayari ana mtoto wa miaka miwili lakini hayupo pamoja na Mama mtoto wake. Sasa yupo kwenye mahusiano ambayo conclusion yake ni Ndoa na ni ndani ya mwaka huu 2024. Naomba tumshauri, anatakiwa afanye...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Namalizia kuandika kataa ndoa linapita gari limebeba maharusi

    Kupanga ni kuchagua. Uzi tayari
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wanasheria ni ngumu sana kuolewa, wakiolewa wengi ndoa zao hazidumu. Walimu wanaolewa sana na ndoa zao zinadumu kwanini?

    Nafahamiana na wanawake wengi sana wanasheria, wenye tabia njema na wenye uzuri na mvuto wa kila aina. Wanawake hawa wengi hawana waume, hata kama wana watoto. Baadhi walifanikiwa kuingia kwenye taasisi ya ndoa, wengi ndoa zao zikafa, licha wapo wachache zimesimama imara. Kwanini hali ni...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Wanawake Wanaochiti Ndoa zao huwa ni Intelligent na Sweet kuliko wale Wasiochiti kabisa katika Ndoa zao ambao huwa kama Wamewehuka hivi?

    Mtafiti wa Kujitegemea GENTAMYCINE nimelichunguza na kulibaini hili je,.na Wewe umeshajiuliza hili?
  20. Titho Dyakiye Philemon

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa siyo umri, ndoa ni ukomavu wa akili unatokana na malezi

    Imekuwa kawaida sana kwa nchi nyingi barani Afrika na hata duniani kujaribu kupinga ndoa za mapema na Tanzania ikiwemo. Kigezo kikubwa kimekuwa kitajwa kuwa umri kati ya muoaji na muolewaji. Baada ya tathmini fupi nimekuja kugundua kuwa suala la malezi lina nafasi kubwa katika ndoa kuliko umri...
Back
Top Bottom