Sheria ya Kikristo inasemaje kwa mtoto wa nje ya ndoa?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
52,367
24,086
Habari za uzima, naamini mmeamka salama, wale walio na magonjwa Allah akawape wepesi na mlio hospitali Mungu akawape wepesi pia mtoke huko, sio kuzuri na hakuzoeleki.

Rejea kichwa cha habari hapo juu, wenye ufahamu - mzazi wa kiume akifa watoto wa nje kwa dini ya kikristo wanarithi?
 
Sheria ya kikristo; Mtoto wa nje ya ndoa hana haki ya kurithi mali za baba yake, atahesabiwa kwenye mali za mama yake tu!

Lakini hii sheria inasaidia kupunguza wale michepuko wanaopenda kutega mimba kwa waume wenye pesa

Lakini inaleta shida kwa watoto waliozaliwa nje ya ndoa kuendesha maisha yao wakiwa wadogo baada ya baba kufariki
Ushauri; Mwanaume ukizaa nje ya ndoa mpe mtoto urithi mapema kuepusha matatizo ukifariki.
 
Kimsingi watoto wote wako sawa hata kama umezaa kumi kwa mama tofauti ni lazima wote wapate urithi toka kwa baba yao. Hali kadhalika mwanamke naye kama amezaa na wanaume tofauti watoto wake wote ni sawa ila mwanaume hawajibiki kuwagawia urithi watoto wa mke wake ambaye hakuzaa naye.
 
Mali ulizozipata kwenye ndoa ni zako na mke huyo wa ndoa na hao watoto. Hayo mambo mengine nje jitahidi uyamalize nje ya ndoa hukohuko kabla hujafa.

Ndio maana Ibrahim ilibidi amfukuze mtoto wa nje ya ndoa na mama yake ili wakabarikiwe wakiwa kwingine sio hapo. Na Mungu akasikia na kumbariki sana Ishmail ila nje ya utajiri familia ya Sarah na Ibrahim.
 
WAH HABARI ZA UZIMA NAAMINI MMEAMKA SALAMA.WALE WALIO NA MAGONJWA ALLAH AKAWAPE WEPESI NA WALE MLIO HOSPT MUNGU AKAWAPE WEPESIS PIA MTOKE HUKOO SIO KUZURI NA AKUZOELEKI

REJEA KICHWA CHA HABARI HAPO JUU WENYE UFAHAMU MZAZI WA KIUME AKIFS WATOTO WANJE WANARITHI....??KWA DINI YA KIKRISTO.....
Kwenye sheria, hakuna mirathi ya kikristo, hivyo mgawanyo wa mali hufanyika kwa mujibu wa sheria za nchi (Probate & Administration of Estate Act, Law of Marriage Act na The Law of Child).

Kwa current position ya maamuzi ya mahakama za juu, kila mtoto ana haki ya kurithi kwenye mali za MZAZI WAKE!

Sasa zingatia hapo MALI ZA MZAZI WAKE, manake kuna mali hutafutwa na mzazi wake jointly na mzazi asiye mzazi wake, hapo ndio changamoto huanzia.
 
Thx mpwaa nilitaka kujua mapemaa nimwahiii mzee tuyajenge kabla ayajaaribika
 
Mali ulizozipata kwenye ndoa ni zako na mke huyo wa ndoa na hao watoto. Hayo mambo mengine nje jitahidi uyamalize nje ya ndoa hukohuko kabla hujafa.

Ndio maana Ibrahim ilibidi amfukuze mtoto wa nje ya ndoa na mama yake ili wakabarikiwe wakiwa kwingine sio hapo. Na Mungu akasikia na kumbariki sana Ishmail ila nje ya utajiri familia ya Sarah na Ibrahim.
:p :D :D
 
Kwenye sheria, hakuna mirathi ya kikristo, hivyo mgawanyo wa mali hufanyika kwa mujibu wa sheria za nchi (Probate & Administration of Estate Act, Law of Marriage Act na The Law of Child).

Kwa current position ya maamuzi ya mahakama za juu, kila mtoto ana haki ya kurithi kwenye mali za MZAZI WAKE!

Sasa zingatia hapo MALI ZA MZAZI WAKE, manake kuna mali hutafutwa na mzazi wake jointly na mzazi asiye mzazi wake, hapo ndio changamoto huanzia.
Mda wa mgawanyo watu wanakuwa na roho mbaya ...Mweny ndoa ndio ana haki labda mume awe hana ndoa hata moja
 
Mali ulizozipata kwenye ndoa ni zako na mke huyo wa ndoa na hao watoto. Hayo mambo mengine nje jitahidi uyamalize nje ya ndoa hukohuko kabla hujafa.

Ndio maana Ibrahim ilibidi amfukuze mtoto wa nje ya ndoa na mama yake ili wakabarikiwe wakiwa kwingine sio hapo. Na Mungu akasikia na kumbariki sana Ishmail ila nje ya utajiri familia ya Sarah na Ibrahim.
Acha kumsingizia Ibrahim Mambo ya Ajabu.Sarah Ndiye aliyetaka Ibrahim Amfukuze Ishmael.Ila Ibrahim Hakuwa na Hayo mambo.So kwa Ufupi.Urithi wa Mtoto uko kwa Baba yake bila kujali kazaliwa kichakani au kichochoroni.Usipompa au aipopewa Ataupata tu Hata kutoka kwa Mungu Muumba.
 
WAH HABARI ZA UZIMA NAAMINI MMEAMKA SALAMA.WALE WALIO NA MAGONJWA ALLAH AKAWAPE WEPESI NA WALE MLIO HOSPT MUNGU AKAWAPE WEPESIS PIA MTOKE HUKOO SIO KUZURI NA AKUZOELEKI

REJEA KICHWA CHA HABARI HAPO JUU WENYE UFAHAMU MZAZI WA KIUME AKIFS WATOTO WANJE WANARITHI....??KWA DINI YA KIKRISTO.....
Ukristo hauna sheria za mirathi, unategemea sheria za nchi.
 
Kwenye sheria, hakuna mirathi ya kikristo, hivyo mgawanyo wa mali hufanyika kwa mujibu wa sheria za nchi (Probate & Administration of Estate Act, Law of Marriage Act na The Law of Child).

Kwa current position ya maamuzi ya mahakama za juu, kila mtoto ana haki ya kurithi kwenye mali za MZAZI WAKE!

Sasa zingatia hapo MALI ZA MZAZI WAKE, manake kuna mali hutafutwa na mzazi wake jointly na mzazi asiye mzazi wake, hapo ndio changamoto huanzia.
Kama mzazi ambayeni baba hana anacho miliki kimaandishi na kwa jina lake, mfano ,hati zote za nyumba hazisomi jina la baba hii itakuwaje ,ili hao watoto wa nje wapate Mali za baba yao.
 
Acha kumsingizia Ibrahim Mambo ya Ajabu.Sarah Ndiye aliyetaka Ibrahim Amfukuze Ishmael.Ila Ibrahim Hakuwa na Hayo mambo.So kwa Ufupi.Urithi wa Mtoto uko kwa Baba yake bila kujali kazaliwa kichakani au kichochoroni.Usipompa au aipopewa Ataupata tu Hata kutoka kwa Mungu Muumba.
Harithi kutokana hana uhalali wa baba huyo ,kuna kusingiziwa kumbuka ni zinaa ila walakini kama mtoto huyo ni wako au lah!? Ndani ya ndoa tu unapigiwa sembuse zinaa.

Mtoto anaweza kupata uhalali kama baba yake alithibitisha kwa wosia , point ni uhalali kama ni halali kwa baba ake basi anarithi ....Mwanamke ni kicheche analala na wanaume tofauti sku ukazini nae unakuwa na uhakika gani huyo ni mwanao aliyezaa?

Akithibitishwa kwa wosia au dalili nyingine kama DNA basi atapata sehemu ila haweza kuwa sawa na watoto wa ndoa.
 
WAH HABARI ZA UZIMA NAAMINI MMEAMKA SALAMA.WALE WALIO NA MAGONJWA ALLAH AKAWAPE WEPESI NA WALE MLIO HOSPT MUNGU AKAWAPE WEPESIS PIA MTOKE HUKOO SIO KUZURI NA AKUZOELEKI

REJEA KICHWA CHA HABARI HAPO JUU WENYE UFAHAMU MZAZI WA KIUME AKIFS WATOTO WANJE WANARITHI....??KWA DINI YA KIKRISTO.....

Hata hivyo umejitahidi sana kuandika shehe..
 
Back
Top Bottom