ndoa

  1. Shuku_

    JamiiForums Tanzania Mwanandoa au wapenzi tupeni uzoefu ulinusuru vipi ndoa au muhusiano yako

    𝗛𝗮𝗯𝗮𝗿𝗶 𝘇𝗲𝗻𝘂 𝘄𝗮𝗸𝘂𝘂... Poleni na majukumu. Bila kupoteza muda 1kwa1 kwenye mada kama kichwa kinavyosema, Ni changamoto gani uliipitia katika ndoa/muhusiano yako ambayo ilitaka kuvunja ndoa/mahusiano yako kisha ukainusuru kwa kuitatua na mambo yakawa saaafi kama mwanzo.
  2. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Tendo la ndoa chanzo cha kuua ndoa nyingi

    Wanandoa wengi wanaonekana kuamka nyumba moja na wenza wao tena wengine wakionekana kuwa na nyuso za furaha lakini kiukweli yanayoendelea humo ndani sio ya kufurahisha hata kidogo. Ukweli wenyewe wanandoa wengi hawapati tendo kama walivyokuwa wanafikiria kabla ya kuingia kwenye ndoa. Lakini ni...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ukiishi naye kinyumba (bila ndoa) hata kwa miaka kadhaa, kisheria hastahili kupata chochote endapo mtaachana

    Huu ni ushuhuda wa kweli. Kuna mwanaume amepata ushindi mahakamani dhidi ya gumegume, ambao inabidi tushirikishane hapa ili wanaume msiogope kuwafukuza wajasiriaNDOA a.k.a "makupe"au magumegume. Kuna wanasheria uchwara huku kitaa, wanatutisha kuwa ukikaa na mwanamke kwa zaidi ya miezi 6 basi...
  4. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Mafufu: sheria ya ndoa ibadilishwe katika vipengele vya ugawanaji wa mali baada ya talaka

    Hoja ya kubadilisha sheria ya ndoa, hasa kwenye vipengele vya ugawanyaji wa mali baada ya talaka, ni mjadala unaoweza kuibua hisia tofauti na mitazamo mingi. Katika jamii yetu, ndoa ni taasisi muhimu inayoheshimiwa na sheria zetu. Hata hivyo, pale ndoa inapovunjika, suala la ugawanyaji wa mali...
  5. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Hekaheka za Ndoa

  6. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Mkioa/Kuolewa mtulie kwenye ndoa

    Copy and paste kutoka kwenye page ya HIV living postive instagram. "Naitwa XXX naishi iringa naomba msaada napitia kipindi kigumu sana sijui nianzie wapi nina stress nyingi sana nimeolewa na nimeishi na mtu wangu kwa miaka miwili sasa, tulipima pamoja na tulikua negative 2022, Mwaka jana...
  7. AnyWayZ

    JamiiForums Tanzania Sidhani kama nitaweza kuishi na mwanamke mimi. Wengine mnawezaje?

    Asalaam, Hawa viumbe, mimi huwa siwaelewi wanataka nini hasa ili kujenga amani na furaha kwa mara nyingi maana mara zote haiwezekani. Wao ni watu wa mood swing, mimi siwezi kazana na hisia za mtu mzima wakati kala kashiba, pesa nimempa na moto nimempelekea. Mimi hata niwe na magumu kiasi gani...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa mahitaji muhimu chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika

    Ni pamoja na mahitaji ya kila siku ndani ya nyumba kama vile chakula, mavazi na malazi kwa mama, baba na watoto, mahitaji muhimu ya kielimu na afya kwa familia nzima n.k Lakini zaidi sana, Mahitaji muhimu sana ya ndoa, kimwili na kiroho, kutokutimizwa vizuri na ipasavyo katika ukamilifu wake...
  9. True Believer

    JamiiForums Tanzania Kataa Ndoa vs Kubali Ndoa

    Habarini wakuu, Hivi karibuni kumeibuka mjadala wa baadhi ya wanaume kukataa NDOA, (dronedrake ) muda huohuo pia kua baadhi ya wanaume wanakimbilia NDOA. Jambo hili linaibua hisia za wanaume na wanawake wengi pia, na vilevile linapelekea wengine kubaki kwenye kitendawili cha kufuata NDOA au...
  10. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya sheria ya Ndoa kufanyiwa maboresho, watu wakizaa pamoja basi ihesabike ni Ndoa halali

    Ni hayo tu , haiwezekani unazalisha mwingine unakwenda oa mwingine kisa hampendani au kuendana au una zaa na mwingine kirahisi tu unakwenda olewa na mwingine. AU huoi kabisa Haya maumivu ya kisaikolojia wanayosababishiana watu hayana afya kwa jamii
  11. Quinton Canosa

    JamiiForums Tanzania Hivi lengo hasa la kufunga NDOA ni nini?

    Habari za jumapili wanajamii forums Kwa muda sasa nimekuwa nikijiuliza hivi lengo kubwa la kufunga ndoa ni nini.Kinachonipelekea kujiuliza hayo maswali ni kutokana na kutoona tofauti kati ya waliofunga ndoa na wasiofunga ndoa.Ukiangalia kiundani wanandoa wengi wanachepuka balaa ni wazinzi wa...
  12. MALKIA WA TABASAMU

    JamiiForums Tanzania Mambo matano yatakayokusaidia kutengeza mahusiano bora ya ndoa

    ZINGATIA HAYA ALFAJIRI. KIJANA JINSI ZOTE. Nimeiita alfajiri tusiyojua kilichobebwa na mchana wake. Ndio ni alfajiri na mapema ya mahusiano unayoona pengine kuna umbali yataenda na hata kukupeleka kwenye ndoa. Watu wengi huanguka mwanzo/asubuhi lakini athari huonekana jioni kwa sababu tu...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ndoa za utotoni na mimba za utotoni zinakwenda sambamba

    Tukimaliza ndoa za utotoni tutakua pia tumepunguza mimba za utotoni
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Tauhida Gallos Aitaka Serikali Kuwa na Mkakati Maalum Kunusuru Watoto Dhidi ya Migogoro ya Ndoa Nchini

    MHE. TAUHIDA GALLOS Aitaka Serikali Kuwa na Mkakati Maalum Kunusuru Watoto Dhidi ya Migogoro ya Ndoa Nchini "Wizara imeandaa muongozo wa Taifa wa uendeshaji, usimamizi na uratibu wa Mabaraza ya usuluhishi wa migogoro ya ndoa wa mwaka 2023, Mei ambao umebainisha afua ya kuwajengea wajumbe wa...
  15. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Sababu ya Single mother kutengwa na wanaume

    Habari zenu wakuu, Nimekuwa naona nyuzi nyingi sana zikiwasema wanawake waliozaa nje ya ndoa kuwa hawafai na sio wa kuwaoa abadani. Kiukweli hili suala ni nyeti na linahitaji mjadala mkubwa ila mimi nitaongelea sababu zinazofanya wanaume wenzangu wengi wawe wagumu kuoa au kuanzia mahusiano ya...
  16. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la kuvunjika Ndoa, natoa RAI kituo Jumuishi cha Taifa cha Familia - Temeke kichunguzwe

    Sipingi Watu kutengana kwa kukubaliana kutokukubaliana, LAKINI inafikirisha zaidi pale unapogundua kuwa "kuachanishwa" kwenu kulikua na nguvu flani nyuma yake. Katika pita pita Zangu mara kadhaa nimeona kituo hiki kikitajwa kuwa na "Vishoka" kama ilivyo sehemu nyingine kama TANESCO ambao...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kumbe bado kuna Wanaume wenye huu 'Utoto' na 'Ushamba' ndani ya Ndoa na Mahusiano?

    ''Kwa experience yangu mimi naweza kusema niliolewa na mtoto wa Mama, Mume wangu alikuwa mama anachosema ndiyo kinaendesha ndoa yetu, sisi tunaishi Dar lakini maelekezo tuishije yanatokea mkoani. uko na mwenzio kwenye ndoa lakini hakui kila kitu ni Mama aamue'' - Editha Emmanuel mratibu mwanamke...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa wale ambao mnataka au mna hamu sana ya Kuvunja Ndoa zenu nzuri ili mje kuungana nasi 'TEAM NO KUOA DAIMA' chukua hii mbinu utakuja Kunishukuru

    HOW TO DESTROY A GOOD MARRIAGE IN JUST ONE MONTH To destroy a good marriage is very easy than you think, it does not cost anything. I listed here things you can do to destroy a great marriage by just doing them for a Month, no matter how strong the marriage is, it will be destroyed if you do...
  19. O

    JamiiForums Tanzania Adaiwa kujifungua na kukizika kichanga kukwepa aibu kuzaa nje ya ndoa

    Pemba. Mchanga Omar Said, mwanamke anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 35 mkazi wa Kijiji cha Sizini Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba, anadaiwa kumfukia mtoto wake baada ya kujifungua. Mwanamke huyo mwenye watoto saba, alitengana na mumewe wake miaka miwili iliyopita, hivyo moja ya...
  20. proton pump

    JamiiForums Tanzania Soma kisa hiki cha ndoa

    Siku moja mume akondoka asubuhi kwenda kazini na kumuaga mke wake anaenda kazini. Jioni akarudi akiwa na msongo wa mawazo. Mke akamuuliza kulikoni mume wangu. Mume:- Kazini ofisi imeungua na kuua wafanyakazi wote. Mke:- wewe umeponaje sasa, Mume:- Nilikuwa nakunya choo cha jirani. Mke:-...
Back
Top Bottom