Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,000
- 28,146
Nasemajeeee?
Huu ni ukweli ambao wengi wetu kwa kujua ama kutojua hatuusemi.
Ukiacha mila za jando na unyago, hizi kitchen parts zimethibitika kukosa msaada wa kutosha kuimarisha ndoa.
Tumeiga mifumo iliyofeli kutokea huko ilikotoka, tukaikumbatia na kuacha mifumo yetu.
Sasa basi, unaambiwa kufifia kama sio kupoa kwa matumizi ya limbwata ni moja ya sababu kubwa za ulegevu wa ndoa zetu za kisasa.
Zamani mume ilikuwa ni lazima unyooshwe. Yaani ni kama tu unavyonunua gari na kitu cha kwanza unawaza 'kuipimpu'. Mke ilikuwa lazima akupimpu ili ukae sawa.😀😀
Siku hizi mke hana hofu wala aibu yoyote kumpoteza mume wake, zamani mume ilikuwa kitu cha hadhi na heshima kubwa.
Lazima alindwe kwa gharama yoyote, na kwa kiasi kikubwa ilikuwa limbwata.... na ilizaa matunda.
Siku hizi wake zetu akijitahidi saaaana kukulinda basi atakuwa na kichupa cha mafuta ya upako, ambapo wengi wao huwa wamepigwa mizeituni tupu.
Kizamani kisasa, sio kila zamani haifai.😊😊
Ncha Kali.