ndoa

  1. KikulachoChako

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kitu gani kilikushangaza mara baada ya kuingia kwenye ndoa?

    Habari za muda huu wanajamii, Wahenga wanasema usilolijua ni usiku wa giza, kila mmoja wetu anapotarajia kupata jambo jipya au kuingia kwenye maisha mapya hujawa na shauku na mshawasha. Ndoa ni taasisi ambayo kabla hujaingia unakuwa na matarajio makubwa yaliyojaa furaha kutokana na jinsi...
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nguvu za kijinsia katika tendo la ndoa

    Ni jumla ya utimamu wa kimwili, kiasaikolojia, kiakili na kiroho katika kushiriki kikamilifu kwenye tendo ndoa. Concentration ya kimwili, kiakili, kiasaikolojia na kiroho yafaa kua kwenye tendo husika. Kukiwa na setback yeyote miongoni mwa hayo tatizo la nguvu kupungua huanzia hapo. Na...
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kanisa la Kilokole Lavunja ndoa baada ya Bibi harusi kukutwa hana Uke!

    Habari wadau, Mchungaji wa kanisa la kilokole akitoa ushuhuda wa kilichotokea kwenye ndoa ya waumini wake. Bwana harusi na yeye anaeleza kwa urefu alichokutana nacho kwenye usiku wa kwanza wa ndoa yake. Ndoa hiyo ilifungwa katika kanisa la Pentecostal Assemblies of God (PAG) na kuvunjwa...
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama ya Wilaya ya Temeke yavunja ndoa baada ya Bwana harusi kushindwa kushiriki tendo la ndoa kwa miaka 5. Bibi harusi kapotezewa fertility age

    Mahakama ya wilaya ya Temeke yavunja ndoa ya kikristo kati ya Salome Laurian Maganga na Bwana Michael Peter Motau baada ya ushahidi kuonesha bwana harusi hana uwezo wa kushiriki tendo la ndoa. Ndoa hiyo iliyodumu kwa miaka mitano. ilifungwa mwaka 2019 na imevunjwa mwaka 2024. Bibi harusi...
  5. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Utapeli na udalali wa ndoa hususani kwa watu maarufu

    Nimeitoa huko twitter, Nasikia yule mtangazaji mpiga kelele ambaye angekuwa pastor huenda angefit na kuprove well maana ile sauti ya mjuba siyo ya kusomea tu magazeti. Bila kupoteza muda ni kwamba inasemekana kampa red card mh: kisa tu kapost picha za harusi jambo ambalo mjuba hakutaka...
  6. USSR

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuokoa ndoa kwa sababu ya wanawake kukosa nguvu za kike?

    Kumekuwa na kasi kubwa ya wanawake wengi hasa mijini kukosa nguvu za kike, nao moja tu uaanza kulalamika eti amechoka na visingizio kibao mara amechoka,mara anamaumivu mara anamawazo na n.k Nini kifanyike hawa viumbe wawe kama zamani unalala unaikoboa na bado asubuhi wanadai . Kazi ya kucheka...
  7. Ncha Kali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Cheti cha Ndoa kingetolewa baada ya miaka mitatu ungechukua?

    Kingekuwa kinatolewa baada ya miaka mitatu ya ndoa, ungekifuatilia?
  8. St. Paka Mweusi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke anamnyima mumewe tendo la ndoa, nini kifanyike?

    Habarini wajukuu wema na wabaya. Nimeletewa mashitaka na huyu kijana mwenye ndoa ya miaka mitano sasa. Anasema alitahadharishwa na watu kuwa unaoa dada wa Kilimanjaro, jiandae kwenda kunyimwa tendo la ndoa, hakuwasikiliza. Sasa yamemfika. Anadai kuwa wanaweza kukaa hata miezi sita bila...
  9. Sainya Jnr

    JamiiForums Tanzania Tangu mvua ianze sijasikia "kataa ndoa" wala "fear women" humu ndani.

    Leo sisalimii Moja kwa moja kwenye hoja. Aisee leo nimepata kugundua kitu fulani hapa ulimwenguni. Mara nyingi hasira za wanawake huwa zinakuwa ni ushindi au furaha kwa wanaume. Immediately a woman gets mad, she cheats with another man, it's men who are winning. If women want revange, she...
  10. Half american

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama hujawa tayari kuishi na kuiheshimu ndoa yako ni bora ubaki peke yako na uhuru wako

    Tazama Hapa tukio la FUMANIZI la jamaa mmoja ambaye alifanikiwa kumfuma mke wake wa ndoa akijivinjari na mwanaume mwingine nyumba ya jirani. Angalizo: Punguza Sauti Kama upo kwenye watu wengi https://www.instagram.com/reel/C5pbVlzIiGv/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg== Kama mtu hujawa tayari kuitumikia...
  11. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umri wa miaka 36 ndoa imekuwa ngumu

    Jamaa yangu ana umri wa miaka 36 amepambana sana kupata mwenza, lakini akianzisha uchumba na Mwanamke hawafiki mbali uchumba unakufa. Hii itakuwa ni shida gani! Au ni nguvu za giza zinamtesa?
  12. Tman900

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakristo kuna la kujifunza kupitia ndoa hizi

    Hii kauli ya "Ndoa ni Mwili mmoja" Kuna la kujifunza Kupitia hii mifano. Hawa Ni waimbaji wa nyimbo za Injiri na walisema hayo Maneno. Ikumbukwe wazi kua ndoa Nyingi za kikristo zinashida kutokana na hiyo kauli. Mwanamke Ni kiumbe Mwenye roho ya tofauti Kuliko viumbe Vyote Duniani. Ndoa za...
  13. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna yeyote aliyeoa single mother na wakafanikiwa kuishi vizuri tu kwenye ndoa?

    Nimekaribia kuingia kwenye huu mtego aisee, nimepata single mother mzuri kinoma, ananisikiliza kila kitu , ni muislamu yupo tayari kubadili dini na kua mkristo, Yuko smart kichwani yaani naona kabisa huyu naenda kufanya nae maisha, yaani mtoto ni mweupeee waarabu flani wa kasulu huko. Lakini...
  14. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Wafungwa Wanawake wapatiwe tendo la ndoa?

    https://www.youtube.com/watch?v=mDH3QEXfcD8 Binafsi naona wafungwa wa kike ambao "siyo bikra" na wamefungwa zaidi ya mwezi mmoja wapewe haki ya kufanya mapenzi walau kwa wiki mara moja. Hili jambo kama wana kataliwa tujiulize je sisi ambao tupo uraiani tunaweza kuishi bila hili tendo takatifu...
  15. I LOVE YOU DUCE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwenye Ndoa yangu sitamsumbua mtu kwa michago na kadi

    Ta-toa mahali kama kawaida, baada ya hapo sita m-sumbua mtu Kwa michago na kadi. Siku ya ndoa, tamuomba mchungaji na familia ndoa ifanyike ufukweni, tena watu wakiwa wachache. Ndugu zangu watano, na ndugu upande wa binti wa tano tu. Baada ya happy tutapata chakula cha pamoja na pic za...
  16. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa mparaganyiko huu wa ndoa, sitaki tena kusikia wala kupokea kadi ya mchango wa harusi tena

    Yaani ndoa inadumu muda mfupi kuliko hata ule uliotumika kwenye vikao?? Kuna haja ya watanzania kubadilika ktk suala hili la sherehe za harusi. Tafakari ya kina ifanyike ili tuchukue mwelekeo mpya. Watu wafunge ndoa kwenye nyumba za Ibada na baada ya hapo waelekee majumbani mwao na siyo kwenda...
  17. Surya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kufanya ngono kabla ya ndoa ni dhambi au sio dhambi?

    Binafsi siri ya kuwa mtu makini na mwenye misimamo yangu binafsi ni baada ya kugundua taarifa nyingi ambazo watu wanazibeba kuwa ndio kweli mara nyingi si si za kweli. Wrong information Unakuwa mjinga na mtumwa bila kujijua. Nina swali, mnipe majibu kupitia Biblia ambayo na mm nimeisoma...
  18. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ananinyima tendo la ndoa, kisa eti amefunga

    Kuna kamchepuko kangu, kila siku ananipiga kalenda kwa sababu yupo kwenye mfungo. Nimeongea naye hivi karibuni, anasema mpaka mfungo uishe, na ataongeza siku zingine sita za mfungo; sasa huyu ananipenda kweli au ananikomoa? Natamani nimuache, ila nashindwa kutokana na mautundu aliyonayo...
  19. Mshamba wa kusini

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Makabila yenye wanawake waliokosa uvumilivu kwenye ndoa

    Makabila haya mwanamke anaweza kukuacha hata kwa kumsonya tu. 1.warangi 2.wapare 3.wahaya 4.wameru 5.wachagga
  20. Planet Data bundles

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa ina mwezi mmoja, nishaanza kukosa amani

    Jaman ndoa ndo zilivo. Yaan tangu nimuoe nimuweke ndani naanza kuona tabia zinazoanza kuninyima aman.Had natamani nimwambie bana tumeshindwana Tabia anazoonesha 1. Kisiran 2. Kununa 3. Kuzalisha migogoro Haya yote alivyokuwa kwao sikua nayaona aisee nishachoka.Nimeukumbuka uhuru wangu
Back
Top Bottom