Ndoa ni Ibada

Saad30

JF-Expert Member
May 26, 2020
1,912
3,760
Mambo vipi wanandugu.

Nimekaa na kutafakuri Sana.

Hizi ndoa ambazo hazidumu huwa ni laana tupu.

Kama Baba yako mzazi alimuacha mama yako akaenda kuoa mke mwingine basi tambua hiyo laana itakufata tu yaani hata wewe utaoa mke wako wa Kwanza na utamuacha sababu ya laana aliyoanzisha baba ako.

Kama mama yako alimkimbia baba yako sababu ya kipato au kutomrizisha kimapenzi basi hata wewe utamkimbia mume wako sababu ya mumeo kushuka kiuchumi au kutorizishwa kimapenzi. Kwahiyo hapo Sasa kizazi MALAYA kinaendelea hivyo hivyo.

Ili kuvunia hii Laana basi Sisi Wanaume ambao tumeoa inabidi tuvumilie mapungufu ya wake zetu ili kuu hiyo laana.

Na nyinyi wanawake vumilieni changamoto za waume zenu iwe kiuchumi au kurizishwa kimwili ikiwezekana watafutueni Dawa.

Ndoa ni Ibada.
 
Back
Top Bottom