Ndege unanunua cash money, watumishi wa umma na wakulima unawakopa

Subira the princess

JF-Expert Member
Mar 3, 2018
2,466
2,642
Wasalaam.

Nimefatilia kampeni za mgombea urais wa CCM ambae ndio rais anaemaliza muda wake. Katika kila mkutano amekua akiimba pambio kwamba amenunua midege 11 tena kwa cash na sio mkopo kwangu ni jambo jema.

Kinachonisikitisha ambacho naamini kinawasikitisha wengi ni jinsi serikali hii ya wanyonge ilivyowakopa na kuwadhulumu wakulima wa pamba, korosho na tumbaku.
Inasikitisha jinsi ilivyowakopa wafanyakazi wa umma stahiki zao km;
1.likizo
2.uhamisho
3.eScott
4.kupanda madaraja
5.mafao kwa wastaafu n.k

Hitimisho: kama serikali hii ina pesa na ni tajiri kulikua na sababu zipi za kutesa wananchi wako kwa kuwakopa visenti na kununua midege na kujenga uwanja chato kwa mabilioni ya pesa?
Ova.

Maendeleo yana vyama
 
Halafu unasema "Kwa nini ukope ukawape faida wengine wakati hela unazo?" Huku hajui kwamba ile hela anamlipa BEBERU ambaye haishi hapa lakini pia hajui kuwa unapoacha kumlipa mkulima mtanzania mzunguko wa hela kwenye uchumi unapungua ndani ya nchi yetu
 
Inauma sana kuna Mzee wangu kkastaafu mwaka umeisha hajapata mafao yake wala pension ya mwisho amepata stroke kila leo nahangaika nae kumpeleka mazoezi muhimbili.
 
wasalaam.
Nimefatilia kampeni za mgombea urais wa ccm ambae ndio rais anaemaliza muda wake. Katika kila mkutano amekua akiimba pambio kwamba amenunua midege 11 tena kwa cash na sio mkopo kwangu ni jambo jema.

Kinachonisikitisha ambacho naamini kinawasikitisha wengi ni jinsi serikali hii ya wanyonge ilivyowakopa na kuwadhulumu wakulima wa pamba, korosho na tumbaku.
Inasikitisha jinsi ilivyowakopa wafanyakazi wa umma stahiki zao km;
1.likizo
2.uhamisho
3.eScott
4.kupanda madaraja
5.mafao kwa wastaafu n.k

Hitimisho: km serikali hii ina pesa na ni tajiri kulikua na sababu zipi za kutesa wananchi wako kwa kuwakopa visenti na kununua midege na kujenga uwanja chato kwa mabilioni ya pesa?
Ova.

Maendeleo yana vyama
Ongeza tena na baba yako kutumbuliwaa, halafu na wewe kufukuzwa pale BOT kwa vyeti feki.
Hiki kiburi kitampanzaaa
 
wasalaam.
Nimefatilia kampeni za mgombea urais wa ccm ambae ndio rais anaemaliza muda wake. Katika kila mkutano amekua akiimba pambio kwamba amenunua midege 11 tena kwa cash na sio mkopo kwangu ni jambo jema.

Kinachonisikitisha ambacho naamini kinawasikitisha wengi ni jinsi serikali hii ya wanyonge ilivyowakopa na kuwadhulumu wakulima wa pamba, korosho na tumbaku.
Inasikitisha jinsi ilivyowakopa wafanyakazi wa umma stahiki zao km;
1.likizo
2.uhamisho
3.eScott
4.kupanda madaraja
5.mafao kwa wastaafu n.k

Hitimisho: km serikali hii ina pesa na ni tajiri kulikua na sababu zipi za kutesa wananchi wako kwa kuwakopa visenti na kununua midege na kujenga uwanja chato kwa mabilioni ya pesa?
Ova.

Maendeleo yana vyama
Porojo tu,hazina tija. Magufuli 5 tena.
 
Back
Top Bottom