Vibaka kwenye ndege hasa Ethiopian na Kenya Airways

The Stress Challengerr

JF-Expert Member
Jan 18, 2020
2,478
6,763
Inakuwaje wanaJF!

Yani kuna watu wanawaibia abiria Wenzao hadi kwenye ndege?

Matukio ya wizi kwenye ndege ikiwa angani yanaripotiwa sana hasa Ethiopian airlines na Kenya Airways zinazoenda Dubai ama gulf states na China.

Vibaka wengi wamebambwa na flight attendants wakiwa search abiria mifukoni mwao wakilala na kuwaibia hasa business class.

Source wafanya kazi wa Hizi ndege (flight attendants)
 
Mh chief kwa ET jamaa wapo vizuri ila kwa hawa makanjanja KQ hao wana rekodi ya upotevu wa mizigo ya wateja ukirejeshewa mzigo wako utakuta tu vitu vimepungua
 
flight attendants walinisimulia wengi first class wanapiga wine. Anasema ameshawabamba kama Mara tatu jamaa wa Anatoka economy class walipotua Dubai wakawekwa chini ya ulinzi.

Pia ni tabia unakuta wameshazoea. Pia ni vizuri uwe makini na unakaanaye. Wengi wa abiria wa Hizi ndege siku hizi ni mapopo kina Nigeria
Wanaijeria wanatuchafua sana waafrika, niliwahi kufukuzwa dukani nchi fulani wakinituhumu kuwa ni mnaijeria, hawakutaka kabisa kuhudumia mnaijeria.

Nilijisikia vibaya lakini ikanibidi niwe mpole, sijui yule mwenye duka alipatwa na maswahiba gani mikononi mwa hao binadamu.
 
Wanayo mkuu boeng 777 na zingine direct flights from Addis to Chicago, DC, Toronto na Houston Texas na zote full booked
Unaijua first class usije kukuta unachanganya na business class? Mbona wakati unabook hamna option ya First class
 
Jamaa yang alinilalamikia kuhusu hiz za kenya nikajua uongo leo ndo nazid kuamin
 
KQ ata uwe unatoka JNIA unaenda abroad via JKIA ukizubaa tu pale pale JKIA wanasababisha tukio la mzigo we ushangai Obama mwenyewe aliibiwa pale sanduku lake la nguo cheza mbali na vibaka wale
 
Najua ndio maana nimekuwekea direct routes za Toronto, DC, etc. Siyo za uchi a Africa na uarabuni. Nadhan umenipata
Ok maana niliwahi kusafir from Dar-DC wakati tunabadili ndege Addis tulikwea 787 isiyo na Na first class Bali Business Class na Economy
 
Nijuavyo ET Wana Business na Economy First Class nimezioan Emirates + Qatar Tena nyingi za kwenda Ulaya na US haziji Afrika (Bara Giza)
 
Mh chief kwa ET jamaa wapo vizuri ila kwa hawa makanjanja KQ hao wana rekodi ya upotevu wa mizigo ya wateja ukirejeshewa mzigo wako utakuta tu vitu vimepungua

Mimi ni muathirika sana wa wizi KQ. Hii ndege ni kama MATATU. Abiria chunga mzigo wako.
 
Ndio mana tunapandaga nyungo tu , hakuna buguza za konda wala wezi
 
Wanaijeria wanatuchafua sana waafrika, niliwahi kufukuzwa dukani nchi fulani wakinituhumu kuwa ni mnaijeria, hawakutaka kabisa kuhudumia mnaijeria.

Nilijisikia vibaya lakini ikanibidi niwe mpole, sijui yule mwenye duka alipatwa na maswahiba gani mikononi mwa hao binadamu.
Mno, wapopo wanatuharibia sana Waafrika. Wameharibu pakubwa sana kwa kweli, wanaboa sana
 
Jamaa yang alinilalamikia kuhusu hiz za kenya nikajua uongo leo ndo nazid kuamin
Na ushahidi mwingine ubebe kwangu. Kunako 2016 nilienda Nairobi na ndege ya usiku, kuhuka JKIA nikakuta wamepita na vitu kibao kwenye begi. Niliumia sana kwa sababu ndivyo ambavyo ilikuwa niviumie kwenye safari yangu.
 
Back
Top Bottom