ndege

Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Israel leo yapiga vibaya Gaza, Ukingo wa Magharibi na Syria huku Marekani ikipeleka ndege 45 za silaha nchini humo

    Nguvu ya mashambulizi ya Israel imeonekana hapo jana na mapema leo, ambapo mashambulizi ya ndege za kivita yameendelea usiku kucha huko Gaza ambako tayari eneo kubwa limekuwa kifusi. Sambamba na Gaza shambulio jengine limetokea tena leo huko ukingo wa Magharibi ambapo kombora limeua zaidi ya...
  2. JamiiForums Tanzania Ndege ya Kwanza kutengenezwa Tanzania yazinduliwa

    Serikali ya awamu ya 6 chini ya Rais Samia inazidi kuonesha na kutafsiri mafanikio ya sekta ya Viwanda Kwa vitendo. Sasa ni zamu ya viwanda vya Kutengeneza ndege ambapo ndege ya Kwanza iliyoundwa ndani ya Nchi skyleader 600 imeoneshwa na kuzinduliwa rasmi kwenye maonesho ya wazalishajo wa...
  3. JamiiForums Tanzania Ndege made in Tanzania

    Ndege iliyotengenezwa Tanzania Airplanes Africa Limited (AAL), a Morogoro-based aircraft manufacturer, has unveiled the first aircraft assembled in Tanzania. The aircraft, Skyleader 600, was unveiled at the Tanzania International Manufacturers Expo 2023 (TIMEXPO), held at the Diamond Jubilee...
  4. JamiiForums Tanzania Haiwezekani Air Tanzania iwe na ndege inayotoza Tsh. 100,000/- kwa safari za ndani?

    Hivi haiwezekani ATC iwe na ndege ambayo kwa mfano itacharge shs 100,000/- kwa safari za ndani ya nchi na iwe maalum kwa viwanja vyenye abiria wa kujaza ndege. Mfano: Mwanza, Kigoma, Kilimanjaro, Arusha, Dodoma (hata mara 4 kwa siku). Mbadala wake, waruhusu mabasi yatembee usiku; namaanisha...
  5. JamiiForums Tanzania Nchi ambazo hazina Viwanja vya Ndege

    Sisi wahaya ni watu ambao ndio makabila ya mwanzo kuanza kuvuka border, ni watu tuliwahi kupata exposure mapema, ukibisha basi nenda Vatican umuulize Pope ni kabila gani kutoka Tanzania ambalo kila siku makadinali wake wanaongoza kuongia Vatican utaambiwa ni wahaya, Juzi kati tu Papa kamuapisha...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kufika Mwanza saa 7 mchana kesho na ndege zimejaa, kuna option nyingine yoyote?

    Wakuu nimekuja kwenu Kwa msaada, kama Kuna njia nyengine ya kufika Mwanza kabla ya saa 6 kesho mchana nisaidieni. Nina shughuli muhimu na ninahitajika niwepo muda huo. Kama Kuna msaada wa option nyingine hata private car niko tayari pia kwenda pamoja na kuchangia chochote. Asanteni.
  7. JamiiForums Tanzania Nikumbusheni link ya uzi unaoelezea ndege ilodondoka uwanja wa taifa wakifanya maonesho

    Habari wakuu, Kuna uzi kila niki-earch siuoni, ulilezea miaka ya 70 na 80 kulkikuwa na ndege ya kijeshi ikifanya mazoezi uwanja wa taifa Dar. Ikamshinda rubani na kuelekea kuanguka. Rubani kwa kuona umati wa watu uliopo wangekufa wengi, akajitahidi kwenda kuidondosha nje ya uwanja, akafa yeye...
  8. JamiiForums Tanzania Ni aibu mapokezi ya ndege Tanzania

    Kwakweli ninajaribu kujilazimisha kutazama TBC mapokezi ya ndege "yao". Siasa tupu hasa kutoka Kwa chawa mtembea peku. Analazimisha pongezi Kwa niaba ya watanzania wote. Are you serious?. Wengi waliopo hapo mioyo yao inavuja Kwa matumizi mabaya ya Kodi zao, wewe na mtumbo wako unadai watz wote...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Mbarawa: Ujio wa ndege mpya, Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kupewa ndege za mafunzo ili Wazalishe Marubani

    Shirika la ndege Tanzania (ATCL) linatarajia kupokea ndege ya abiria ya masafa ya kati aina ya B737-9MAX ambayo uundaji wake umekamilika itakayowasiri kesho Oktoba 03, 2023. Ndege hiyo yenye uwezo wa kubeba abiria 181 katika madaraja mawili ambapo daraja la kawaida “economyclass” itabeba...
  10. JamiiForums Tanzania Mfumo wa Urusi wajikanganya na kulipua ndege yao ya kisasa aina ya Su-35

    Yaani jamaa wanaishi kiuwoga uwoga..... Russian air defences have shot down one of the country’s most advanced fighter jets in a friendly fire incident, according to reports. The Russian Su-35 was downed over Tokmak, Zaporizhzhia Oblast, on Thursday where Ukraine is mounting its...
  11. JamiiForums Tanzania Video: Ndege inayoaminika kubeba kundi la Wagner 140 yalipuka Mali, Afrika

    Yaani kama movie vile, ndege inajilipukia yenyewe na kuwafanya mishkaki... This is the dramatic moment a giant 'Russian made' transport plane careered off a runway in Africa and exploded into a fireball amid suspicions the jet was linked to the Wagner army. The Il-76 plane burst into flames...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Diamond Platnumz aliyosema kanunua iko wapi?

    Mwezi Septemba mwaka jana CEO wa lebo ya WCB na mwimbaji wa Bongofleva, Diamond Platnumz akiongea na DW Africa alithibitisha kununua ndege binafsi (private jet) kwa lengo la kile alichoita ni kuongeza thamani yake. Baada ya kauli hiyo, Diamond akasifiwa sana na kuelezwa kwamba angekuwa msanii...
  13. JamiiForums Tanzania Makaburi kuhamishwa kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege JNIA

    Dar es Salaam. Makaburi zaidi ya 600 yaliyopo katika kata ya Kipunguni yanatarajiwa kuhamishwa ili kupisha upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA). Mchakato wa kuhamisha makaburi hayo unafuatia mpango wa ulipaji fidia kwa wakazi 1,865 wa eneo hilo wanaotakiwa...
  14. JamiiForums Tanzania Wadukuzi wa Ukraine wadukua mfumo wa Urusi na kupata taarifa zote za safari za ndege

    Supapawa kadukuliwa kizembe sana, jamaa wameingia kwenye kanzidata na kufumua kila taarifa humo za safari zote... Ukrainian hackers have hacked into the Russian database of the Sirena-Travel booking system, obtaining information on 664 million flights over the last 16 years. They also obtained...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada: Nauli ya ndege Dar-Kigoma daraja la economy ni kiasi gani?

    Ndugu wanabodi naomba kujua gharama kwenda na kurudi kutokea Dar.
  16. L

    JamiiForums Tanzania China yaweza kutembea kifua mbele na kuingia kwenye ushindani na makampuni ya kutengeneza ndege kama vile Boeing na Airbus

    Sekta ya utengenezaji ya China imekuwa ikipewa kipaumbele na kuangaliwa kwa jicho la kuona mbali tangu kuwepo kwa utawala wa Chama cha Kikomunisti cha China. Kitakwimu pato la jumla la viwanda vya utengezaji mara nyingi limekua kwa kiwango cha zaidi ya asilimia 10 kila mwaka, na nguvu kazi ya...
  17. JamiiForums Tanzania Urusi: Ndege tatu za kijeshi zalipuliwa zikiwa uwanjani

    Yaani hali imekua ya hatari sana maana humo jeshini Urusi kuna wanajeshi wanahujumu moja kwa moja, ndege za kijeshi zilizokua chini ya ulinzi mkali zimetegeshewa mabomu na kulipuliwa uwanjani Moscow. ========= Defence Intelligence of Ukraine has reported that two Russian aircraft and a...
  18. JamiiForums Tanzania Ndege ya kivita SU-34 yaanguka yenyewe huko Urusi

    Mindege ya supapawa inadondoka yenyewe.. A Su-34 fighter jet crashed in Voronezh Oblast in Russia on the morning of 20 September. Source: Russian propagandistic media outlets RIA Novosti and TASS with reference to Russia’s Defence Ministry Details: Reportedly, the crew of two people managed...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Shirika la Ndege la Tanzania anzisheni safari za Madagascar na Shelisheli moja kwa moja; naona fursa ya utalii kubwa

    Mashirika ya ndege yanayopeleka ndege kwenye visiwa maarifu Afrika ni machache sana. Nimejaribu leo kutafuta ndege ya Kwenye Madagascar au shelisheli kuwatembelea baadhi ya wafanya biashara wanaokula raha huko nimekosea hadi niende Dubai au Ethiopia au Kenya. Ikabidi nisome fursa zilizopo...
  20. JamiiForums Tanzania Ndege yatua Uhispania na abiria kamili bila mizigo yao

    Usafiri wa ndege ni usafiri wa raha na wa haraka zaidi. Pamoja na hivyo ni moja ya usafiri wenye vituko vingi zaidi. Wiki mbili zilizopita ndege moja huko Marekani ilibidi irudi ilikotoka baada ya abiria mmoja kuchafukwa na tumbo na kuichafua ndege nzima. Juzi tena tarehe 11 ndege ya shirika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…