Nahisi mabasi kusafiri usiku yameshusha mapato kwenye mashirika ya ndege

The bump

JF-Expert Member
Nov 22, 2019
1,136
1,952
Usafiri wa mabus usiku nadhani ni pigo kubwa sana kwa mashirika ya ndege, kwa mwendo ninao uona sasa mashirika ya ndege kwa safari za ndani ya nchi itabidi waje na ofa sio za kawaida otherwise maumivu yao ni makubwa.

Mabus ya Usiku yana jaa mapema kuliko kawaida, yani kama unasafiri usiku unataka usafiri hakikisha ticket unaikata kuanzia Siku 1 kabla ya safari yako.

Lakini kama Unasafiri leo na unataka ticket uikate leo leo labda ukapande Coaster sio BUS. kama ni BUS basi utapata siti za nyuma za pembeni na ni kwa makampuni mabovu.

Makampuni ya mabus usiku yenye mabus mazuri yote hujaa kabla ya saa 6 mchana na ni gari zote 3 kuanzia la saa 1, saa 2 na saa 3.

Hivi kama mtu anaweza ondoka na Bus usiku akafika asubuhi mkoa husika Anapanda Ndege ili awahi wapi?

Ninachojua wasafiri wa anga hutumia ndege sababu ikiwa ni 1 tu, Kuwahi eneo la Tukio.

Sasa Hivi nini kinakuchelewesha tena kama mpka bus za usiku saa 5 zipo?

Hongera kwa serikali kwani sasa nadhani itaona namna pesa walizokua wanazipoteza kwenye kodi watavyozipata kupitia nauli zetu.

Kuna watu wana hela Hii Nchi Bus no E zinateremshwa kama vile pikipiki za boxer yani kama vile Bus linauzwa 1.5m..daaah
 
Safi sana,ndege sio usafiri wa Maskini
 
Wa ndege ni wa ndege tu hata mabasi yasafiri usiku wa manane.

Wenye nazo hata kule kukaa saa 8 kwenye basi ni adhabu haijalishi mchana au usiku.

BTW: Binafsi sina hiyo hela ya ndege ila kusafiri usiku kwa basi hata bure siwezi.
Mi usiku labda emergency. Siwezi safiri kama gazeti aisee.
 
Wengine wana mabusha hawawezi kaa muda mrefu bil nya kutoka hivyo yuko teyari akope ili apande ndege.
 
Back
Top Bottom