Israel leo yapiga vibaya Gaza, Ukingo wa Magharibi na Syria huku Marekani ikipeleka ndege 45 za silaha nchini humo

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,195
10,929
Nguvu ya mashambulizi ya Israel imeonekana hapo jana na mapema leo, ambapo mashambulizi ya ndege za kivita yameendelea usiku kucha huko Gaza ambako tayari eneo kubwa limekuwa kifusi.

Sambamba na Gaza shambulio jengine limetokea tena leo huko ukingo wa Magharibi ambapo kombora limeua zaidi ya wapalestina 12 pamoja na uharibifu mkubwa wa msikiti na nyumba za jirani

Mashambulio mengine kama hayo yameendelea kule nchini Syria ambako Israel inasema nchi hiyo inaiunga mkono Hamas.

Wanadiplomasia wanaojihusisha na masuala ya Mashariki ya Kati wamesema mashambulizi hayo yanatoa mtihani mkubwa kwa mikataba iliyofanya Israel na mataifa ambayo wanaitetea Palestina,

Marekani nayo imeshusha shehena kubwa ya silaha kwa jeshi la IDF la Israel kutoka ndege za mizigo zisizopungua 45 katika kipindi cha siku 10 huku meli nyingine ya kivita ikiwa iko njiani kuelekea eneo hilo la vita.

US military equipment pours into Israel, 45 cargo planes loaded with armaments sent to IDF

Hio si vita hio ni genocide ukita kufahamu taifa lolote ndio mwisho wake huwa linatumia mauwaji kwa watu wasio na hatia, sa Hamasi mnasema wako kwenye mashimo sa mnavunja majumba ya nini.

Au silaha ndio zipo Hospitali, makanisani, misikitini, au watoto na wanawake ndio wamezikali mtu anaye dhani Israel ndio kashinda vita ujuwe akapimwe akili hayuko sawa.

Angalia Mrusi huyo ndio anapigana vita angeweza vunja majumba ya Ukraine, lakini vita si kuvunja majumba na kuwauwa wasio na hatia.
 
Israeli ni taifa jingine toka zamani za kale. Taifa dogo chini ya Daudi walimuua Goliathi, na majeshi yakakimbia mbele yake. Na chini ya ufalme wa Daudi, wafilisti na mataifa mengine yalipigwa vibaya sana. Leo hii, chini ya waziri mkuu Benjamin Netanyahu, Gaza wanapigwa vibaya sana na bado moto unaendelea hadi kipindi cha mpinga Kristo ambapo itapigwa vita ya mwisho itayomaliza ulimwengu huu.
 
Hapo bado mpaka pawe magofu na ukiwa,Israel Taifa la Mungu,,jifanye uelewi kama wenzako,
 
Hio si vita hio ni genocide ukita kufahamu taifa lolote ndio mwisho wake huwa linatumia mauwaji kwa watu wasio na hatia, sa Hamasi mnasema wako kwenye mashimo sa mnavunja majumba ya nini.

Au silaha ndio zipo Hospitali, makanisani, misikitini, au watoto na wanawake ndio wamezikali mtu anaye dhani Israel ndio kashinda vita ujuwe akapimwe akili hayuko sawa.

Angalia Mrusi huyo ndio anapigana vita angeweza vunja majumba ya Ukraine, lakini vita si kuvunja majumba na kuwauwa wasio na hatia.
Ujui unacho pigania unasema urusi wakati anabomoa mpaka nyumba za raia bila sababu...........wewe uangalii tv kwako? Na kuhusu hili la Israel na Palestine.........serikali ya chama cha mahamod Abbas inatakiwa kuwadhibiti hamas ili Israeli isitishe kupiga mabomu.......ndio tena bila kupepesa macho .........wale wajamaa wanatia huruma kuwa wanaonewa lakini ujasema kama mwisho jana usiku nilikuwa naangalia Al Jazeera walikuwa wanarusha mabomu kutoka gaza kwenda Israel pamoja na kupigwa kipigo cha paka jizi........wale wanapenda kufa ............badala watulie kwanza hata kama wana magomvi makubwa wanajifanya bado viburi ........sasa watachapika mpaka wanyee
 
Hio si vita hio ni genocide ukita kufahamu taifa lolote ndio mwisho wake huwa linatumia mauwaji kwa watu wasio na hatia, sa Hamasi mnasema wako kwenye mashimo sa mnavunja majumba ya nini.

Au silaha ndio zipo Hospitali, makanisani, misikitini, au watoto na wanawake ndio wamezikali mtu anaye dhani Israel ndio kashinda vita ujuwe akapimwe akili hayuko sawa.

Angalia Mrusi huyo ndio anapigana vita angeweza vunja majumba ya Ukraine, lakini vita si kuvunja majumba na kuwauwa wasio na hatia.
Utajia mwenyewe Kama Vita ni kuuua mwanajeshi au raia au kuvunja nyumba
 
Hio si vita hio ni genocide ukita kufahamu taifa lolote ndio mwisho wake huwa linatumia mauwaji kwa watu wasio na hatia, sa Hamasi mnasema wako kwenye mashimo sa mnavunja majumba ya nini.

Au silaha ndio zipo Hospitali, makanisani, misikitini, au watoto na wanawake ndio wamezikali mtu anaye dhani Israel ndio kashinda vita ujuwe akapimwe akili hayuko sawa.

Angalia Mrusi huyo ndio anapigana vita angeweza vunja majumba ya Ukraine, lakini vita si kuvunja majumba na kuwauwa wasio na hatia.
Sasa hayo mahandaki yapo hewani?!! Vita ya urusi unaifananishaje na ya Gaza? Mrusi anajua kuwa wanajeshi wa ukraine wako wapi, sasa hao Hamas wanaonekana wako wapi?!! Eti taifa la Israel liko mwishoni hahaaaa!! Acha watoe kipondo,
 
Hio si vita hio ni genocide ukita kufahamu taifa lolote ndio mwisho wake huwa linatumia mauwaji kwa watu wasio na hatia, sa Hamasi mnasema wako kwenye mashimo sa mnavunja majumba ya nini.

Au silaha ndio zipo Hospitali, makanisani, misikitini, au watoto na wanawake ndio wamezikali mtu anaye dhani Israel ndio kashinda vita ujuwe akapimwe akili hayuko sawa.

Angalia Mrusi huyo ndio anapigana vita angeweza vunja majumba ya Ukraine, lakini vita si kuvunja majumba na kuwauwa wasio na hatia.
Basi itoshe mnapowatetea wauaji wa watoto wa kiyahudi kujifanya hamna akili, Hao wapalestina waliua watoto, wanawake kwenye kumbi za starehe,kulikuwa na silaha huko, mkapongezana sana,.kwa jina la miungu yenu. Kama msingekuwa na unafiki japo kama jembe ya mchele leo hii kwa anachowafanyia wauji wa watoto na watekaji wa watu wake ,
Angalau mgeilaani Hamasi.
Kama adui anajificha katikakati ya watu ,ikiwa ili umfikie lazima wasio na hatia wafe , basi watakufa ili adui aangamizwe.
Vivyo hivyo ikiwa adui ameweka maficho katikati ya majumba yanayokaliwa na.watu lakini yeye anakaa ardhini, lazima ,narudia lazima majumba yavunjwe ili ngome za adui zifikiwe na kubomolewa.
Kinachofanyika Gaza kwenye vita kinakubalika kabisa. Wapalestina ni wauaji lazima wasakwe kwa gharama kubwa. Amani ya muda mrefu lazima.igharamiwe
 
Israeli ni taifa jingine toka zamani za kale. Taifa dogo chini ya Daudi walimuua Goliathi, na majeshi yakakimbia mbele yake. Na chini ya ufalme wa Daudi, wafilisti na mataifa mengine yalipigwa vibaya sana. Leo hii, chini ya waziri mkuu Benjamin Netanyahu, Gaza wanapigwa vibaya sana na bado moto unaendelea hadi kipindi cha mpinga Kristo ambapo itapigwa vita ya mwisho itayomaliza ulimwengu huu.
Hiyo vita ya kumaliza ulimwengu bora ije tu
 
Mhhh!
Msemaji wa kauli hiyo.
Tuliwaambia mapema huyo Israel hachokozwagi kihuni hamkusikia
" Kazi ya kusamehe magaidi ni ya MUNGU , kazi ya kuyapeleka magaidi Kwa Mungu ni ya Israel" waziri wa ulinzi wa Israel.
 
Kitu ikishaitwa "WAR" basi utegemee usiyoyatarajia, nakushangaa sana unaposema Urusi halengi raia na Mali zao!! Kwa taarifa Yako Urusi keshabomoa sana majumba ya raia na kuwauwa pia sema sasa hivi kutokana na mifumo ya anga ya nchi za magharibi ndio maana unaona mashambulizi yamepungua.

Kiufupi hao wapelestina acha yawakute maana ukiwaangalis jinsi walivyokuwa wanashangilia wakat Hamas wanawaburuza vikongwe na vibinti vya Israel tena wengine uchi wa mnyama wanastahili.
 
Acha ujinga wewe,Mungu hana hasara na watu,Mungu anatembea kwenye njia zake.
Bro hapo hakuna tofauti na hili" mtu anaua watu tena sokoni anasa Mungu ni mkubwa, hao ni wajinga siyo
Unakuta MTU na akili zake timamu anakuambia Israeli taifa teule ,How!
Unakuta mtu ana akili zake timamu anaua watu sokoni kwa kujilipua nasema Mungu mkubwa!
Ni mandiko tu hao wanaosema hivyo na hao wanaua watu kwa jina la Mungu . Au unasemaje wewe usiye na akili!
 
Nguvu ya mashambulizi ya Israel imeonekana hapo jana na mapema leo, ambapo mashambulizi ya ndege za kivita yameendelea usiku kucha huko Gaza ambako tayari eneo kubwa limekuwa kifusi.

Sambamba na Gaza shambulio jengine limetokea tena leo huko ukingo wa Magharibi ambapo kombora limeua zaidi ya wapalestina 12 pamoja na uharibifu mkubwa wa msikiti na nyumba za jirani

Mashambulio mengine kama hayo yameendelea kule nchini Syria ambako Israel inasema nchi hiyo inaiunga mkono Hamas.

Wanadiplomasia wanaojihusisha na masuala ya Mashariki ya Kati wamesema mashambulizi hayo yanatoa mtihani mkubwa kwa mikataba iliyofanya Israel na mataifa ambayo wanaitetea Palestina,

Marekani nayo imeshusha shehena kubwa ya silaha kwa jeshi la IDF la Israel kutoka ndege za mizigo zisizopungua 45 katika kipindi cha siku 10 huku meli nyingine ya kivita ikiwa iko njiani kuelekea eneo hilo la vita.

US military equipment pours into Israel, 45 cargo planes loaded with armaments sent to IDF

Hapo ulioposema marekani imepeleka ndege za kivita inaonyesha wazi ulivyokuwa mjinga. Chini ya ardhi washaingia ili wafukiwe?
 
Hawa wakristo akili hawana mtu anayesema Mungu ni binadamu mnadhani yuko sawa.

Israel hi vita hashindi hata avunje majumba yote ya Gaza

Nakuhakikishia Israel anatufuta njia ya kuomba vita iishe yeye na Amerika, lakini hawana jinsi wanaona aibu kusema vita hi tusimamishe sababu aliahidi lazima awamalize Hamasi.

Msikie huyu Gen wa US amesema Israel hawezi wapiga Hamasi hata kwa miaka 18 ni kichaa, nyie ndio mna akili kuliko yeye. Hata kama kuna mengine anaongea uwongo lakini ukweli Israel hawezi pigana na Hamasi

View: https://youtu.be/gPgDFHacUG4?si=QBkiXlCcfHL0mg8p
 
Back
Top Bottom