ndani

The Dani people, also spelled Ndani, and sometimes conflated with the Lani group to the west, are a people from the central highlands of western New Guinea (the Indonesian province of Papua).
They are one of the most populous tribes in the highlands, and are found spread out through the highlands. The Dani are one of the best-known ethnic groups in Papua, due to the relatively numerous tourists who visit the Baliem Valley area where they predominate. "Ndani" is the name given to the Baliem Valley people by the Moni people, and, while they do not call themselves Dani, they have been known as such since the 1926 Smithsonian Institution-Dutch Colonial Government expedition to New Guinea under Matthew Stirling who visited the Moni.

View More On Wikipedia.org
  1. I

    Chuo gani (cha ndani au nje) ambacho unaweza kusoma masters online na cheti kikatambuliwa Tanzania?

    Kuna siku napataga muda mwingi wa free baada ya kumaliza mambo yangu. Ningependa nichukue mda huu kujiendeleza kimasomo kwa kusoma degree ya pili yaani masters ila iwe kwa njia ya mtandao. Je, kuna wenye uzoefu na suala hili wanishauri ni chuo gani kinachotoa huduma hii. Na kama kikiwa cha nje...
  2. Waandishi wa Habari 13 waswekwa rumande ndani ya wiki moja nchini Ethiopia

    Waandishi wa habari 13 wamedaiwa kuwekwa vizuizini nchini katika eneo la Amhara Ethiopia ndani ya wiki moja hatua iliyoonekana kama ukandamizaji wa sauti muhimu, za wanaoripoti kuhusu mgogoro uliopo katika eneo hilo Inaelezwa kuwa Mei 23, 2022 Siku ya Jumatatu, viongozi wa Amhara, eneo la pili...
  3. Changamoto ya upatikanaji wa nguo bora za ndani za kiume(boksa)

    Habari za mda wadau natumaini mko poa na mnazisubiri per diem za mama kwa shauku kubwa. Kwa kuzingatia kichwa tajwa hapo acha nijikite kuelezea kero ninayokumbana nayo.Binafsi mimi kwa maisha yangu yote ya ukubwani (kuanzia baleghe)nimekua ni mtu ninayevaa boksa moja kwa siku, hivo...
  4. Ahukumiwa kwa Kupiga Punyeto mara tatu mfululuzo ndani ya Ndege ikiwa angani inakata Mawingu mazito

    Abiria wa shirika la ndege la Southwest Airlines aliyeshutumiwa kwa kupiga punyeto mara kadhaa wakati wa safari ya ndege kutoka Seattle kwenda Phoenix mwezi uliopita amehukumiwa kifungo cha siku 48 gerezani, waendesha mashtaka wa serikali wamesema. Antonio Sherrodd McGarity, (34) mkazi wa...
  5. Dizasta Vina - Simulizi, ubunifu na maisha ya jamii yake ndani ya album ya The Verteller

    Msanii wa muziki kutoka nchini Tanzania, Dizasta Vina ni mmoja wa viongozi katika orodha ya wafalme wa Hip-Hop wa kizazi cha leo. Muziki wake umebeba falsafa, mafunzo na mitazamo inayogusa jamii kwa namna tofauti. Ana mtindo wa kipekee, mashairi yenye ujumbe na mtiririko wa visa na matukio ya...
  6. Hatimaye dili la Roman Abramovich kuiuza Chelsea kukamilika ndani ya saa 24 zijazo

    Hatimaye Serikali ya Uingereza imeonesha njia ya wazi kwa Bilionea Roman Abramovich kuiuza Klabu ya Chelsea kwa Todd Boehly kwa paundi bilioni 4.25 (Tsh. Trilioni 12.3) ndani ya saa 24 zijazo Vyanzo vya ndani zinaeleza kuwa kuna mafanikio makubwa katika mazungumzo wakati huu ambapo pasipoti ya...
  7. Shirika la kijasusi la Urusi, FSB limesema Warusi walio ondoka Urusi watimia milioni 4 ndani ya muda mfupi - hakukaliki

    Wengi wamekimbilia mataifa majirani na kwingine, japo wametumia mgongo wa kwamba wanakwenda kufanya kazi ila Urusi hakukaliki, taifa linapitia hali ngumu na ndio mwanzo tu.... FSB wameanza kutisha familia zao wawashawishi warudi, la kushangaza kunao wametorokea Ukraine kule ambapo kichaa Putin...
  8. Ofa ya masaa 48 ya kitabu cha mlio wa risasi harusini

    Kwema! Wadau wangu na wapenzi wa kusoma Riwaya, nimetoa Ofa ya Softcopy ya kitabu cha MLIO WA RISASI HARUSINI Kwa Tsh 3500/= PFA hii itadumu Kwa masaa 48 tuu, mpaka jumanne saa sita za usiku. Namba ya muamala 0693322300 Airtelmoney Robert Heriel 0758216209 M-PESA Robert Heriel
  9. CHADEMA ndani Kwa ndani kunafukuta

    Nasemaga na yana kuwa tuna Muda wa kuweka historia katika maandishi, visiki na vigogo ndani ya CHADEMA hawaelewani, Mnajua mbowe kashtuka? ...yaani Lissu anataka kumfanya mtu asiyejielewa Saana ...alikimbia nchi hapa akasema usalama wake uko hatarini....uchaguzi ukafika akarudi kuja kugombea...
  10. TAMISEMI:- Idadi kubwa ya walimu walio kuwa wamejificha kwenye Ofisi za Elimu Msingi, Sekondari na TSD ndani ya Halmashauri kutimuliwa hawako vituoni

    Idadi kubwa ya walimu waliokuwa hawana barua Za uteuzi kutoka Tamisemi , walipangiwa vituo vipya vya kazi hawajaripo kwenye vituo vyao vya Kazi vipya. Walioripoti kwenye vituo vipya walirudishwa tena kwenye Ofisi Za Halmashauri bila maelekezo kutoka Tamisemi. Source: TBC habari
  11. Profesa Lipumba: Rais Samia atashinda kwa kishindo urais 2025

    Mwenyekiti wa chama cha wananchi Cuf Prof Lipumba alipopewa nafasi ya kuzungumza kwenye mkutano wa hadhara mkoani Tabora amemhakikishia Rais Samia kuwa uchaguzi mkuu ujao wa 2025 atashinda kwa kishindo na wapinzani wanaojaribu kumpinga wanapoteza muda tu wao kwani watanzania wanamwelewa mno kwa...
  12. Marekani yafungua Ubalozi wao ndani ya Kyiv baada ya kuufunga takriban miezi 3 iliyopita

    Three months ago, we lowered our flag over the U.S. Embassy in Kyiv, Ukraine, just days before Russian forces streamed across Ukraine’s border to carry out President Putin’s unprovoked, unjustified war of choice. When we suspended operations at the embassy, we made the point clear: while we...
  13. Marekani: Rais Biden asema Mauaji ya watu 10 ni ugaidi wa ndani

    Rais wa Marekani, Joe Biden ametamka kuwa tukio la kuuawa kwa watu Weusi 10 kwa risasi lililotokea Buffalo, New York ni Ugaidi wa ndani uliosababishwa na dhana ya ubaguzi wa rangi. Biden na mkewe, Jill Biden walikutana na ndugu wa marehemu na wengine watatu waliojeuruhiwa baada ya kutembelea...
  14. Kumbe muonekano wa nje unaweza usisadifu yaliyomo ndani

    Habari za Muda huu wakuu. Nina Imani mapambano ya kuusaka mkate bado yanaendelea kama kawaida. Niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna kipindi nilitembelea wilaya fulani Mkoa X kwa ajili ya field yangu ya mwisho, niliyafurahia sana maisha Ndani ya eneo hilo. Nilifikia kwa mama yangu mdogo na kwa...
  15. Kutolelewa Na Baba na Mama humfanya mtoto asiwe na Upendo, hii ni sababu upendo wa ndani ya jamii Zama hizi kupungua

    Kwema Wakuu! Ni ngumu Sana kukuta upendo Kwa watoto ambao hawajalelewa na Baba na Mama, hiyo ndio sababu siku hizi kwenye jamii upendo wa wengi umepoa. Mtoto asipolelewa na wazazi wawili, Baba na Mama yake hisia na vyanzo vya upendo hufa POLEPOLE Kwa uhakika. Kuachana Kwa wenza, Baba na Mama...
  16. Uzi wa kupeana madili popote ndani na nje ya Tanzania

    Kuna watu wanaweza wakawa wanaona fursa wanazidharau Kumbe hizo ni dili Kwa wengine Mi kuanzia mwezi wa saba ntaanza kupata soko la maharage! Maparachichi, Karanga na mafenesi huku, naona wanapata kutoka pakistani sana! Pia hapo ulipo unaweza ukawa unaona kuna fursa ya kufundisha! Kufanya...
  17. Coin ya Tera Luna yapanda thamani mara elflu ndani ya siku moja

    Coin ya Tera Luna imepanda thamani kwa zaidi ya mara elfu moja ndani ya saa 24 baada ya kuporomoka kwa speed. Hii ni sawa na kusema kama jana ulinunua coin hiyo ilipokuwa bei ya chini kabisa kwa shilingi 10,000 leo hii ukiiza unapata zaidi ya shilingi milioni 10.
  18. Hakikisha seals zote za kwenye bodi la gari zipo sawa ili panya wasiingie ndani

    Kama huyu alifungiwa redio waya wakachukulia kwenye battery, wakapush kile kiraba kinachozuia maji na takataka zingine kuingia ndani ya gari kutokea kwenye engine ili wapitishe waya. 👇👇 Bahati mbaya ule waya ulikuwa mnene hivyo raba haikuweza kurudi kukaa mahali pake kama ilivyokuwa mwanzo...
  19. I

    Unatumia fedha kiasi gani ndani ya wiki kwa ajili ya vocha?

    Dah, mimi binafsi natumia maximum shilingi 3000, na hapo naumiaga sana 😄😄.... Vipi nyie wenzangu?
  20. Simu zimechangia kuupoteza umuhimu wa kujuana kabla ya mahusiano; siku hizi mapenzi mengi huanza ndani ya siku hiyohiyo bila kujuana vizuri

    Kwa kweli simu zinaweza kuonekana na umuhimu wake lakini kuna uharibifu pia zimeleeta katika suala zima la mahusiano. Zamani ile process ya kumsubiria binti chini ya mti kwa masaa ukiombea labda atapita, kujua watu anaoishi nao pale unaporusa jiwe batini na aje kufungua mlango mtu mwengine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…