Chuo gani (cha ndani au nje) ambacho unaweza kusoma masters online na cheti kikatambuliwa Tanzania?

Idrissou02

JF-Expert Member
Jul 31, 2018
354
646
Kuna siku napataga muda mwingi wa free baada ya kumaliza mambo yangu. Ningependa nichukue mda huu kujiendeleza kimasomo kwa kusoma degree ya pili yaani masters ila iwe kwa njia ya mtandao.

Je, kuna wenye uzoefu na suala hili wanishauri ni chuo gani kinachotoa huduma hii. Na kama kikiwa cha nje ya nchi, je cheti chake kitatambulika hapa bongo?
 
Open university bila kuwa na wasiwasi. Vya nje lazima uwe makini. Utafute chuo kikongwe kama vya London na open university UK. Vinginevyo upate clearance ya tcu (hii inaweza kuwa ngumu). Vya nje pia ni ghali sana. All the best.
 
Cha kwanza ninachokijua ni Open University of Tanzania na kingine nilichosoma habari zake ni University of the People cha Marekani
 
Back
Top Bottom