Shirika la kijasusi la Urusi, FSB limesema Warusi walio ondoka Urusi watimia milioni 4 ndani ya muda mfupi - hakukaliki

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,650
48,413
Wengi wamekimbilia mataifa majirani na kwingine, japo wametumia mgongo wa kwamba wanakwenda kufanya kazi ila Urusi hakukaliki, taifa linapitia hali ngumu na ndio mwanzo tu....
FSB wameanza kutisha familia zao wawashawishi warudi, la kushangaza kunao wametorokea Ukraine kule ambapo kichaa Putin ameangukia pua kwa kuanzisha vita ambvyo vimemshinda.

06_05-Russians.png

More than 3.8 million Russians have left the country in the first three months of 2022, according to data from Russia’s Federal Security Service (FSB) published this week.

A total of 3,880,679 Russians traveled for work, business, tourism and private reasons between January and March.
Former Soviet countries saw significant spikes in arrivals after Russia invaded Ukraine on Feb. 24. Russians who fled out of opposition to the war were joined by those escaping rumored border closures, martial law and mass mobilization that have so far not materialized in the 72-day war.

It’s unclear how many of these Russians have since returned to their home country.

Georgia accepted 38,281 Russians in the first quarter of 2022, the FSB said, a nearly fivefold jump from the 8,504 Russians accepted over the same time last year.

A nearly fivefold increase was also seen in Tajikistan, where 40,054 Russians arrived this January-March compared with 8,857 in January-March 2021.
 
Urusi Kwa sasa ni kuzimu iliyoko duniani .Wale mabilionea wa Urusi Mali zao;Pesa,Meli za kifahari:Yatch,Majumba ya gharama:villa,timu za mpira,etc yote yamepigwa tanchi huko Ulaya/Marekani.Sababu ya Andunje ,Putin🤔
 
Boris Bondarev, mwanadaplomasia mzoefu wa Russia katika ofisi za UN Genevea amejiuzulu katika kazi yake akiandika barua kali inayosema anaona aibu kuhusishwa na matendo nchi yake kwa sasa na hawezi kuwa sehemu ya kinchoendela. Pia ameandika Putin ameigeuza Russia kuwa igizo la hofu kuu.
 
Hawa ndio wajinga wanapandikizwa na EU na kupewa mahela ya kutosha na hifadhi, kwani vita imeanza leo? kwanini hakujiuzulu mwanzoni?
 
Boris Bondarev, mwanadaplomasia mzoefu wa Russia katika ofisi za UN Genevea amejiuzulu katika kazi yake akiandika barua kali inayosema anaona aibu kuhusishwa na matendo nchi yake kwa sasa na hawezi kuwa sehemu ya kinchoendela. Pia ameandika Putin ameigeuza Russia kuwa igizo la hofu kuu.
Mmm kweli?
 
Ungeweka na record ya waliorudi ingekuwa vema zaidi Ili kupata picha kamili!

A total of 3,880,679 Russians traveled for work, business, tourism and private reasons between January and March.

Sasa kutoka chanzo chako mwenyewe,wameandika hivyo!Iweje wewe mleta habari upindishe na uandike kisingizio?Lakini pia hiyo million 4 umeitoa wapi?
Tatizo lenu mnapata habari halafu mnazipiga msasa kadri mpendavyo!Bora ulete habari kama ilivyo halafu chini kabisa uandike "my take",na hapo ndio upige propaganda zako kadri uwezavyo!
 
Wengi wamekimbilia mataifa majirani na kwingine, japo wametumia mgongo wa kwamba wanakwenda kufanya kazi ila Urusi hakukaliki, taifa linapitia hali ngumu na ndio mwanzo tu....
FSB wameanza kutisha familia zao wawashawishi warudi, la kushangaza kunao wametorokea Ukraine kule ambapo kichaa Putin ameangukia pua kwa kuanzisha vita ambvyo vimemshinda.

06_05-Russians.png

More than 3.8 million Russians have left the country in the first three months of 2022, according to data from Russia’s Federal Security Service (FSB) published this week.

A total of 3,880,679 Russians traveled for work, business, tourism and private reasons between January and March.
Former Soviet countries saw significant spikes in arrivals after Russia invaded Ukraine on Feb. 24. Russians who fled out of opposition to the war were joined by those escaping rumored border closures, martial law and mass mobilization that have so far not materialized in the 72-day war.

It’s unclear how many of these Russians have since returned to their home country.

Georgia accepted 38,281 Russians in the first quarter of 2022, the FSB said, a nearly fivefold jump from the 8,504 Russians accepted over the same time last year.

A nearly fivefold increase was also seen in Tajikistan, where 40,054 Russians arrived this January-March compared with 8,857 in January-March 2021.
hao waloenda Ukraine kuna kamba hapa ya wazi wazi.
 
Sasa unabishia hata source ya kutoka Russia kwenyewe ya Moscow Times na wakati wewe upo huko vijijiji vya ndani ndani Tarime
Mi siamini kwa akili ya kawaida mtu anaweza kwenda nchi ya vita hiyo kati wenyeji wanakimbia hai make sense kabisa ndio maana sikubaliani nayo hata kwa chuma.
 
Boris Bondarev, mwanadaplomasia mzoefu wa Russia katika ofisi za UN Genevea amejiuzulu katika kazi yake akiandika barua kali inayosema anaona aibu kuhusishwa na matendo nchi yake kwa sasa na hawezi kuwa sehemu ya kinchoendela. Pia ameandika Putin ameigeuza Russia kuwa igizo la hofu kuu.
Hakuna mtu mwenye akili timamu atakubaliana na huu upuuzi wa Putin,nimeona na clip moja CNN kwa kipindi cha Don Lemon Warussi wako uwanjani wanashout kupinga vita na walikuwa ni wengi sana
 
Mi siamini kwa akili ya kawaida mtu anaweza kwenda nchi ya vita hiyo kati wenyeji wanakimbia hai make sense kabisa ndio maana sikubaliani nayo hata kwa chuma.

Tumia muda wako utizame ramani ya Ukraine na maeneo ambayo yana vita, kuna eneo kubwa sana Ukraine wanalala na kunywa bila usumbufu wowote, Mrusi alijaribu kuparamia ikashindikana.
Warusi wenye hela na uwezo wanaitoroka nchi yao maana imekua ya hovyoo.
 
Pengine tumjulishe Ubalozi wa Marekani pale Kyiv upo wazi na unafanya kazi kama kawaida,hakuna mtu anajaribu hata kurusha jiwe pale Kyiv
 
Back
Top Bottom