CHADEMA ndani Kwa ndani kunafukuta

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Nasemaga na yana kuwa tuna Muda wa kuweka historia katika maandishi, visiki na vigogo ndani ya CHADEMA hawaelewani,

Mnajua mbowe kashtuka? ...yaani Lissu anataka kumfanya mtu asiyejielewa Saana ...alikimbia nchi hapa akasema usalama wake uko hatarini....uchaguzi ukafika akarudi kuja kugombea hakuhofia usalama....

Uchaguzi umeisha tu huyooo anakimbia eti usalama mara ushageuka kuwa mbaya kumbe anakimbilia $6000 kwa mwezi Belgium zinazolipwa na shirika la wakimbizi la umoja wa mataifa akiwa aa premium package....

Sasa Mbowe akaona isiwe tabu na mimi kabla CHADEMA haijawa kama ilivyokuwa NCCR na CUF vilipopanda na kushuka na huku Mbowe akikiona kabisaaa ACT kikihatarisha kuchukua nafasi ya Chama kikuu cha upinzani na CHADEMA Kufa KAMA NCCR na CUF...Mbowe Kaona BORA TU AWE UPande wa kupata chochote, bahasha ya mbowe jana ilikuwa nono kuzidi wajumbe wengine,

Msigwa alipanga aongelee Suala hili akapigwa beat akafuta tweet.


9342AB6D-A154-47CF-9908-E7EA8EC87B52.jpeg



Lema na Lissu hawakubaliani kabisa na msimamo wa Mbowe Kwenda kuonana na Samia wakiamini watapoteza nguvu ya kuipinga serikali

Vijana waliojizolea Umaarufu mtandaoni Kwa matusi nao wako njia Panda ama wafuate mlengo wa akina Lissu Au mlengo wa akina Mbowe

142BD57F-2ED2-4BBE-9A4F-7685C52A86E9.jpeg
0ABCF512-8FCF-4A3F-A8A7-388D12438F53.jpeg
D511E7C0-078A-41FB-8D28-F7B83AF83D14.jpeg


Ndembe ndembe sana yan

Naendelea
 

Attachments

  • IMG_3341.MP4
    643 KB
Wewe britanicca ni kati ya hopeless people hapa JF. Juzi ulikuja na kiapo kwamba insider wako kutoka jumba jeupe amekuhabarisha kwamba COVID 19 wanasemehewa ikawa opposite. Leo unakuja mambo madogo madogo ati Msigwa ataongea. Kwani akiongea kuna shida gani? Amekuambia ataongea nini? Pengine mikakati ya kurimairsha CDM nyanda za juu kusini?
 
Haya uliyoandika ni matamanio ya kila mwanaccm. Na hicho unachoita kufukuta sisi kwetu tunaita kutofautiana mitazamo, jambo ambalo ni afya kwa taasisi yoyote. Ukikuta taasisi inakubaliana kwa kila kitu ujue kuna wengine wamechoka kufikiri. Hilo moja

Huyo Msigwa anaweza kuongea lolote, hata anaweza kwenda chama chochote akitakacho maana ni muda sasa anatamani hilo, ila anakosa sababu nzuri ya kumtoa kwani amelazimisha kuweka mazingira ya kufukuzwa lakini hafukuzwi ili unafiki wake ukae peupe.

Hiyo bahasha ya Mbowe iliyojaa kuliko wenzake imekuwaje wakati ikulu sio nyumba ya biashara, hapo ni kama unaichafua hiyo ikulu japo unaona umekuja na bonge la hoja. Ni hivi acha utoto wakati ww ni mzee sasa.
 
Lemma haweza ku survive bila Siasa za matusi, anapoteza relevancy.

Lissu ameshaanza kuangalia zaidi uhai wake nadhani pia familia inampa shinikizo, kwamba inamuhitaji, pia watoto wake wanasomea huko na hawajamaliza, hii inamchanganya, akirudi na hana kipato
 
Mbowe kaona Ukweli.
Siasa sio vita wala chuki, tushindane kwa hoja sio matusi, dharau wala kejeli.
sisi sote ni watanzania, haijalishi chama ulichopo, tunao wajibu wa kuilinda nchi yetu na kuijenga.
Mungu ibariki Tanzania.
 
Lemma haweza ku survive bila Siasa za matusi, anapoteza relevancy.

Lissu ameshaanza kuangalia zaidi uhai wake nadhani pia familia inampa shinikizo, kwamba inamuhitaji, pia watoto wake wanasomea huko na hawajamaliza, hii inamchanganya, akirudi na hana kipato
Lisu anaona aibu alivyompinga Mzalendo JPM kwa kila kitu anahisi amepoteza imani na jamii

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom