ndani

The Dani people, also spelled Ndani, and sometimes conflated with the Lani group to the west, are a people from the central highlands of western New Guinea (the Indonesian province of Papua).
They are one of the most populous tribes in the highlands, and are found spread out through the highlands. The Dani are one of the best-known ethnic groups in Papua, due to the relatively numerous tourists who visit the Baliem Valley area where they predominate. "Ndani" is the name given to the Baliem Valley people by the Moni people, and, while they do not call themselves Dani, they have been known as such since the 1926 Smithsonian Institution-Dutch Colonial Government expedition to New Guinea under Matthew Stirling who visited the Moni.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuna Utajiri mkubwa ndani ya mitandao ya kijamii

    Habari zenu huku, Nianze kwa kuandika, siyo kila kitu ni kwa ajili ya kila mtu. Miaka takribani 16 iliyopita nilijiunga na jamii forum, kipindi hicho sikufahamu kabisa juu ya mitandao ya kijamii.. lakini kupitia nyuzi za watu , nilijifunza na kuelewa mambo mengi sana.(kipindi hicho jf ilikua...
  2. JamiiForums Tanzania KWELI Mwili wa binadamu una dhahabu ndani yake, ila kwa kiwango kidogo sana

    kumekuwepo na chapisho ambalo linasamambazwa na moja ya ukurasa wa facebook likidai kuwa Inawezekana unatafuta dhahabu machimboni au madukani, lakini ukweli ni kwamba tayari unatembea ukiwa na dhahabu mwilini mwako! Katika chapisho hilo wamedai kuwa Wanasayansi wamethibitisha kuwa ndani ya...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini kumvua nguo za ndani huwa ni rahisi na fasta sana, lakini tendo la kumvalisha husahaulika kabisa baada ya mgegedo?

    nini siri ya hali hiyo ya kipekee muwapo faragha na mwenzi wako hasa wa mara ya kwanza? Eti wanaume, kulikoni unaingia faragha na mwenzi wako huku ukimuharakisha achojoe nguo zake na wewe ukikimbilia zaidi kuvua pichu? ni nini huchochea hali hiyo? Na ni kitu gani kinakufanya usimvalishe baada...
  4. JamiiForums Tanzania Festo Sanga: Ndani ya Ligi Kuu Bara kuna Wachezaji wanalipwa Laki 2 wengine wanalipwa Milioni 50

    Mbunge wa Makete, Festo Sanga ameshauri Wizara ya michezo kupitia BMT wapitie na wapendekeze kima cha chini cha mishahara ya wachezaji kwenye Ligi mbalimbali nchini hususani Ligi kuu. Amesema "Kuna baadhi ya Wachezaji wanapokea laki 4 , laki 3, Million 1 na wengine wanapokea Milioni 10, 20 hadi...
  5. JamiiForums Tanzania Chanjo chini ya kalio..! Sitara ya huba ndani ya pepo ya dunia

    CHAPA YA NDANI KWA NDANI😋 Kwenye kuta za faragha, penye sitara na siri, chanjo chini ya ushaga, pasipo jicho la siri,Si jeraha la mahaba, bali pendo la fahari, Chale yako kalioni, alama isofutika. Hukuvaa kifuniko, kile cha asali wala kisepe angavu, Kwa mahaba ulinikaribishaa, hadi ndani...
  6. JamiiForums Tanzania Mtifuano ndani ya Africa

    Ndugu zangu Wazuru mtambue sisi wangoni kwa asili ni wa south tulikuja Tanzania tukapiga kambi kule Songea Nyasa Sasa je na Wanyakyusa nao wakianza kututimua si itakuwa kasheshe naomba mtatue mambo yenu bila kubaguana sisi wote ndugu wa taifa moja Africa
  7. JamiiForums Tanzania Research Supervisor Hatimaye Atasema 'Sasa Tunazungumza'... Nakuhakikishia...

    Neema alikuwa amechoka. Miezi mitatu ya research, na bado literature review ilikuwa "rough draft." Supervisor alimwambia mara nyingine tena: "Rudi uiandike title upya." Alianza kujiuliza: "Mimi ni mjinga? Au kuna kitu sijui?" Hakuwa mjinga. Alikuwa anafanya kazi ngumu kwa njia ya zamani. Siku...
  8. JamiiForums Tanzania Mungu ni Omnipresent, yuko ndani yako! Hivyo Nguvu zake za Kufanya Kila Kitu Unazo. Jifunze Jinsi ya Kuziamsha na Kuzitumia…

    MODE Naomba tuanzishe jukwaa la Spiritual,tumwage humu mambo ya nguvu za kiroho, spiritual powers,ili wana jf wawe na uwezo wa kutumia nguvu zao za kiroho,kunyoosha mambo yao,ikiwemo kuwa ma milionea,mabilionea, ma trillionea na ma multi milionea, multi bilioneo na multi trillionea kwa kutumia...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ado: Tanzania kuna mfumo ambapo dola ina mkono mrefu kuamua mwelekeo wa kisiasa

    Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu akizungumza na Wasafi TV amesema demokrasia yetu nchini, mgombea pekee hatoshi kujipanga kushinda ubunge, bali dola ndio inaamua nani atangazwe mshindi.
  10. JamiiForums Tanzania Siku tukibahatika kupata uongozi makini tutaweza kubadilisha miji yetu ndani ya muda mfupi kama China

    Oneni jinsi Wachina ndani ya miaka 20 tu walivyobadilisha miji yao mfano wa Chongqing kutoka slums kama za tandale na kutokuwa na mpangilio hadi kuwa majiji ya hadhi sawa na ya West
  11. JamiiForums Tanzania Home boy fanya lile ambalo lipo ndani ya uwezo wako

    Huu uzi nimeandika nikiwa kwenye dala dala,kwahiyo kwa wale ambao mnasema ni vigumu kuona mtu akifungua JF akiwa public,basi mimi sio kwamba nafungua tu bali hata kuandika uzi naandika pia. Wazo la kuandika limenijia baada ya kuona mdada amebandika kucha zilizo nakishiwa na gold,nikajikuta...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna bank Amana mkombozi na maendeleo

    Hizi ni bank za taasisi za dini . Azania ni bank ya waislamu .. Maendeleo ni bank ya kkkt.(kanisa la kiinjili la kilutheri tanzania) Na mkombozi ni bank ya Rc (roman katholic) Sasa hizi bank 2 yaani mkombozi na maendeleo ukoenda kukopa unakopeshwa bila kujali dinije!kwa nini hii ya azania y...
  13. JamiiForums Tanzania Hizo Range Rover unazopishana nazo Vitasa vyake vimeingia kwa ndani, used tu Bila Mil 400 hujamiliki!

    Ukiachana na eVoque au RR Sports, kuna hizi RR ndefu zikijilock vitasa havionekani na kwa nyuma zina taa ndefu kwenda chini. Bwana izo ni RR 5th gen (2023+), bei ya moto kinoma. Used tu bila Mil 400 kuzipata ni mtihani. Mjapan pekee anataka Mil 270+ na TRA nao wanataka Mil 180+ Na hapo...
  14. JamiiForums Tanzania Israel yapeleka misaada ya kibinadamu ndani ya Lebanon!!

    Rasmi, kuanzia kesho, Israel itapeleka misaada ya kibinadamu kwa angalau vijiji 3 vya Wakristo ambavyo havijahamishwa, vilivyoko kusini mwa Lebanon. Kwa njia isiyo rasmi, baadhi ya misaada ilitolewa katika siku zilizopita. Wakati huohuo magaidi wa Hezboulah wanaendelea kupata kipondo cha...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO App ya Mwendokasi haifanyi kazi siku ya nne leo, tunashindwa kununua tiketi ilihali kuna hela ndani ya App

    App ya mwendokasi haifanyi kazi siku ya nne leo, tunashindwa kununua tiketi ilihali kuna hela ndani ya app. Ukiwapigia wanasema wanarekebisha
  16. O

    JamiiForums Kenya “Je, ndoa ni leseni ya ridhaa ya milele? Ukweli mchungu kuhusu ubakaji ndani ya ndoa ambao jamii inakataa kukubali.”

    Kwa ndoa Kuna ubakaji unakubaliana
  17. JamiiForums Tanzania Ila wanawake wa humu ndani.....

    Nikaambiwa ujue tunakuchukulia kama kaka yetu! Kwahiyo.. Yaani mimi NI KAMA KAKA YAO..! Lakini mimi sio kaka yao maana hatuna hata vinasaba vya DNA😀
  18. JamiiForums Tanzania Je Hezbollah itaenda kupoteza nguvu yake ndani ya Lebanon?

    Serikali ya Lebanon imeamua kuingia katika mazungumzo na Israel kufuatia mashambulizi makali yaliyofanywa na jeshi la Israel (IDF), pamoja na hatua ya Israel kudhibiti sehemu kubwa ya ardhi kusini mwa Lebanon. Wakati huo huo, kundi la Hezbollah lilidaiwa kupanga jaribio la kupindua serikali...
  19. JamiiForums Tanzania Ukiona Mwanamke anatumia JF basi ana Ujiniaz ndani yake

    Mzuka wana jamvi ? Wanawake wengi wanapenda mitandao kama Instagram, TikTok , Fb nk ambayo haina mambo magumu ni showoff kwenda mbele . Lakini Jf pisi Kali anabishana na secretarybird kuhusu Ayatollah, pisi Kali anachambua mabomu ya Ukraine. Hata kwenye majukwaa mengine MMU Jf ni full spana ...
  20. JamiiForums Tanzania Leo Aprili 9, 2026 umetimia Mwaka 1 tangu Tundu Lissu alipokamatwa na Polisi na kuwekwa ndani

    Hivi ndivyo Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu alivyokamatwa na Jeshi la Polisi, tarehe 09 Aprili 2025 katika Wilaya ya Mbinga, Mkoa wa Ruvuma wakati alipokuwa akiendelea na Oparesheni #NoReformsNoElection. Leo Aprili 9, 2026, Lissu ametimiza siku 365 (mwaka mmoja) tangu akamatwe. ===========...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…