Ukiona Mwanamke anatumia JF basi ana Ujiniaz ndani yake

Gengis Khan wa Jf

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2024
Posts
1,312
Reaction score
3,341
Mzuka wana jamvi ?

Wanawake wengi wanapenda mitandao kama Instagram, TikTok , Fb nk ambayo haina mambo magumu ni showoff kwenda mbele .

Lakini Jf pisi Kali anabishana na secretarybird kuhusu Ayatollah, pisi Kali anachambua mabomu ya Ukraine.

Hata kwenye majukwaa mengine MMU Jf ni full spana , nondoz na hoja kama ukija kichwa mchunga unatoka na maamuvu kwa hiyo ukiona mpaka Mwanamke yupo hapa basi anaUsmart Fulani hivi .

Unakuta Kalpana Shadeeya cocastic wanapishana na Popoma GENTAMYCINE kwenye mambo ya Simba sio kawaida hiyo.

Ukitaka kuona Jf ya moto viongozi wakubwa mitandao mengine wanajiachia ila huku Jf hawathubutu kuja na wengine wana account wanachungulia hata kupost kitu hawapost sababu wanajua watakutana na spana , hoja , bullies na mengineyo.

Ukiona Mwanamke amekomaa Jf kaweza kuvumilia yote na yuko active huyo sio poa ni Mwanamke wa nguvu
 
Chai.

Kuna members humu hata hilo jukwaa la great thinker hawajui linafananaje, achilia mbali international forum, jf intelligence, jukwaa la siasa.

Wao wanachojua ni kushinda kwenye uzi wa makapuku wakibadilisha sana wanaenda uzi wa kupeana likes, uzi wa picha kisha wana log out.
 
Na wanajua balaah
20260413_195920.jpg
 
Chai.

Kuna members humu hata hilo jukwaa la great thinker hawajui linafananaje, achilia mbali international forum, jf intelligence, jukwaa la siasa.

Wao wanachojua ni kushinda kwenye uzi wa makapuku wakibadilisha sana wanaenda uzi wa kupeana likes, uzi wa picha kisha wana log out.
Kukubwa ni Jf basi.
 
Hapana, jf ni jukwaa ambalo linahtaji muda mwingi kuwa alone, na hata uwe ni jiniazi kiasi gani lakini mwanzo huwa ni ngumu sana kulizoea, kadri muda unavyokwenda unakuwa unavutiwa na mada unatamani uchangie mwishowe unaamua ujiunge, maana watu wengi hawapendi maandishi bila picha au videos. Jukwaa hili linahtaji muda zaidi na si ujiniazi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom