wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,491
- 29,264
Hizi ni bank za taasisi za dini .
Azania ni bank ya waislamu ..
Maendeleo ni bank ya kkkt.(kanisa la kiinjili la kilutheri tanzania)
Na mkombozi ni bank ya Rc (roman katholic)
Sasa hizi bank 2 yaani mkombozi na maendeleo ukoenda kukopa unakopeshwa bila kujali dinije!kwa nini hii ya azania y waislamu)ikienda kukopa kama sio dini yao haupewi?/kukubaliwa,kulikoni?