Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 374,228
- 866,558
CHAPA YA NDANI KWA NDANIš
Kwenye kuta za faragha, penye sitara na siri, chanjo chini ya ushaga,
pasipo jicho la siri,Si jeraha la mahaba, bali pendo la fahari,
Chale yako kalioni, alama isofutika.
Hukuvaa kifuniko, kile cha asali wala kisepe angavu, Kwa mahaba ulinikaribishaa, hadi ndani uvunguni,...ukaniachia nichanje kwa ladha na kwa utamu.., chapa isiyo kifani,Chale yako moyoni, milele
Itaabaki kwenye pepo ya siri... Maana imesitiriwa vyema, na vazi la uaminifu,Haionekani kwa kusema, wala macho ya machafu,Ni alama ya heshima, isiyojua upungufu,
Nimechanjwa na mpenzi, siri yangu imefanaka.