Mtifuano ndani ya Africa

Mtifuano ndani ya Africa

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,706
Reaction score
7,913
Ndugu zangu Wazuru mtambue sisi wangoni kwa asili ni wa south tulikuja Tanzania tukapiga kambi kule Songea Nyasa

Sasa je na Wanyakyusa nao wakianza kututimua si itakuwa kasheshe naomba mtatue mambo yenu bila kubaguana sisi wote ndugu wa taifa moja Africa
 
Back
Top Bottom