ndani ya ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Namuona Dkt. Nchimbi akifanikiwa pakubwa kujenga utaasisi ndani ya CCM

    Kama Leo ingekuwa ni 2015 na Dkt.Ncimbi angekuwa ni Katibu Mkuu wa CCM naamini angepambana vya kutosha kumpambania Lowassa ndani ya CCM lakini Kwa Sasa ana mtazamo tofauti kabisa, mtazamo alionao Sasa ni maslahi ya CCM kwanza na maslahi binafsi baadaye. SG Nchimbi ana historia kubwa ndani ya...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Nchimbi: Makundi baada ya uchaguzi hayatavumiliwa ndani ya CCM

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amekemea na kuonya tabia ya baadhi ya Wana CCM wanaovunja taratibu za Chama kwa kuendekeza makundi baada ya uchaguzi, akisema haikubaliki na haitavumiliwa ndani ya CCM. Amesema kuwa ni muhimu Kiongpzi anayeshinda awe...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuna hofu gani ndani ya CCM? Hizi kauli zinaashiria mpasuko au mmeguko?

    Habari za muda huu ndugu yangu Huwa sina mtiririko mzuri wa kiuandishi, lakini napenda kujenga hoja kwa ufupi huku ikifuatiwa na maelezo mareeefu. Kauli ya Katibu Mkuu mpya wa Chama Dkt. Emmanuel Nchimbi kwamba "Utamaduni wa CCM ni Rais wa JMT kuhudumu kwa Mihula miwili hivyo nawaambieni...
  4. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini Mzee Kinana amewapiga stop wagombea Urais ndani ya CCM miaka miwili kabla ya kufika tarehe ya Uchaguzi?

    Mzee Kinana amesema chama kitatumia utamaduni na mila kupata mgombea Urais 2025. Amesema pamoja na demokrasia kuwepo ila kwa muda mrefu inapotokea kupata mgombea Urais tamaduni zinaonyesha kwamba Rais aliyepo lazima apewe nafasi yakuongoza awamu ya pili. Hii kauli ameitoa leo tarehe 2/01/2024...
  5. JamiiForums Tanzania Nani aliye Msafi ndani ya CCM??

    Nani ndani ya CCM hajawahi kutumia cheo chake kwa manufaa yake binafsi?? Nani ndani ya CCM anaona kutumia ghiliba,dhuluma, wizi au rushwa kupata ushindi kwenye chaguzi ni jambo baya?? Nani ndani ya CCM anayesikitika fedha za Umma zinavyokwapuliwa na wajanja wachache waliomo ndani ya Chama...
  6. JamiiForums Tanzania 2025 ndani ya CCM ni team Lowassa + team Magufuli vs. Team Msoga

    Mwenyekiti alijaribu kuwaleta karibu team Msoga na kuwatimua team JPM, lakini akausoma mchezo kuwa vijana wa Msoga wana ambitions kubwa mno hiyo 2025, akizembea hata yeye anawekwa pembeni. Vilevile ushawishi wa JPM bado ni mkubwa mno kwenye siasa za nchi hii. Uelekeo wa sasa ni mwenyekiti...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kumekuwepo na taarifa kuhusiana na mabadiliko ya uongozi ndani ya CCM

    Kumekuwepo na taarifa kuhusiana na mabadiliko ya uongozi ndani ya CCM hasa katika nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara na Katibu Mkuu.kuna fununu kuwa Mzee Kinana ameshaandika barua ya kuomba kupumzika na kwa upande wa Katibu Mkuu inasemekana Mama haridhishwi na utendaji wa katibu mkuu wa...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mwenezi Makonda awatibua wasaka Urais ndani ya CCM

    MAKONDA ANAWADISTURB WASAKA URAIS NDANI YA CCM NA HILI NI JAMBO JEMA Watu wengi huwa hawajui kwanini huwa tunawachapa wasaka urais.Pale tunapobaini pasi na shaka kuwa kiongozi fulani ndani ya serikali na Chama anatengeneza mtandao wa kusaka urais huwa hatumuachi salama. Wasaka urais ni watu...
  9. JamiiForums Tanzania Huenda 2024 tukawa na Waziri Mkuu mpya ili kuikamata Kanda ya Ziwa yote na kummaliza mazima Mshindani wa 2025 ndani ya CCM

    Na GENTAMYCINE naendelea Kutabiri kuwa huenda mwishoni mwa 2024 au hiyo hiyo 2024 kukatokea Msiba mkubwa au Tukio Kubwa la Kashfa ambayo itamchafua na kummaliza vibaya Mshindani. GENTAMYCINE naendelea tena Kutabiri mapema 2025 kutatokea tena Vifo vya Waandamizi wa Kati wa Chama ( CCM ) ambao ni...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Je, unamwona kiongozi mwadilifu ndani ya CCM kwa sasa?

    CCM huko nyuma imewahi kuwa na watu waadilifu kama Jaji Warioba na Mzee Butiku. Je kwa sasa kuna kiongozi mwadilifu?
  11. JamiiForums Tanzania Ujio mpya wa Ndugu Paul Makonda ndani ya CCM ni mfano wa Injili ya Mtume Paulo katika Biblia

    Kipekee kabisa natumia fursa hii tena kuutazama uteuzi wa Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM kama dhamira njema ya Rais SS Hassan kuisogeza CCM karibu na wananchi hasa katika kusimamia watendaji wa serikali ili CCM kupitia Serikali yake iweze kutimiza ahadi zake na malengo kwa...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Chuki na uhasama ndani ya CCM tusipochukua hatua watatuletea vita ya wenyewe kwa wenyewe

    Aisee hali ni tete ndani ya kile chama kilichotamba kwa miaka mingi kuwa ni chama chenye umoja, mshikamano, chenye kuheshimu utu na watu. Sasa ni mambo ya kuviziana tu. Imefika mahali mwanachama huyu anataka mwanachama mwenzake afe. Hii si jambo la kuhendekeza hata kidogo. Chuki na uhasama...
  13. JamiiForums Tanzania Ni wakati gani ndani ya CCM kulikosekana Ufisadi na mafisadi?

    Tangu mwaka 1977 CCM iko madarakani na wakati wote huo mpaka sasa ufisadi na mafisadi ndiyo mtindo wa kuendesha nchi kutoka CCM. Kama kuna mtu anaweza kutuambia kwa uhakika ni wakati gani kulikuwa hakuna Ufisadi na mafisadi ndani ya CCM, atuambie tujue!!
  14. JamiiForums Tanzania Hatari! Ndani ya CCM Ukweli ni Sumu, Inakuangamiza Msemaji

    Kama mtu mzito kama Dr Anthony Diallo ambaye alikuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa, Mbunge na waziri mwandamizi mstaafu na mmiliki wa vyombo vya habari chini ya Sahara media ambavyo ni kama ilikuwa ni mali ya CCM anaweza sema ukweli na chama kikamla kichwa wewe mwingine ni nani upone baada ya kusema...
  15. JamiiForums Tanzania Urafiki wa CHADEMA na Rais Samia; Je, anajua vita hii kwa Wahafidhina ndani ya CCM?

    Salaam, Hilo ni swali kwa wana CCM na chawa wa Rais Samia. Je, mmejipanga au mnawahadaa CHADEMA, Wahafidhina ndani ya CCM hawashindwi wanakuacha ujimwambafy kwa muda tu. Tunawacheki tu na hayo maigizo yenu ya kulambishana asali.
  16. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sisi ndani ya CCM tunaamini kwenye kukosolewa na kujikosoa

    Rais Samia amesema kwakuwa CCM ndiyo waliyoweka serikali basi wakosolewe. Asema anaamini akikosolewa anaoneshwa changamoto ilipo na akiifanyia kazi changamoto ile watu wakamuamini ataendelea kubaki. Na kutokana na hilo haviiti vyama vingine kama vyama vya upanzani bali vyama vya kumuonesha...
  17. JamiiForums Tanzania Sakata la Feisal Salum linahusiana vipi na siasa za ndani ya CCM?

    Ngoja leo niwape za ndani ndaniii kabisa. Kuna mwanasiasa mmoja ambaye kwa miaka ya hivi karibuni amejipenyeza katika mambo ya mpira ili kutafuta ushawishi wa kisiasa. Wote tunajua kuwa toka Mwendazake aondoke, kumekuwa na mtifuano wa chini chini ndani ya chama kati ya wale waliokuwa wamewekwa...
  18. JamiiForums Tanzania Uchaguzi ndani ya CCM: Je, January na Nape watakatiza mbele ya Wajumbe wenye hasira?

    Hakika kuna za chini ya kapeti kuwa wajumbe wengi wanakasirishwa na utendaji na tabia za hawa vijana wa Samia wanaowania nafasi zile 15 za kapu ndani ya Halmashauri Kuu na wameahidi kuwafundisha adabu ya utumishi ni kuheshimu walio chini. Kuna habari pia kuwa Mama Mwenyekiti anawataka hao...
  19. JamiiForums Tanzania Hakuna kundi lililo safi ndani ya CCM, kwa sasa wanachafuana wenyewe kwa wenyewe

    Sasa ni rasmi ndani ya CCM kuna makundi 2 makubwa, lililo madarakani (Team ⁉️⁉️) na lile lililoondolewa madarakani (Team JPM✔️). 🩸Bashiru akiwa katibu mkuu CCM aliweza kugundua jinsi baadhi ya wanachama wahuni walivyokua wanajinufaisha binafsi na mali za chama. 🩸Ufanisi na uzalendo uliotukuka...
  20. JamiiForums Tanzania Shaka: Mafuriko na Utitiri huu wa watu kwenye Chaguzi ndani ya CCM ni ishara ya Ushindi wa Tsunami 2024|25 na kukubalika zaidi kwa Rais Samia Suluhu

    UMATI UCHAGUZI WA CCM NI SALAMU ZA TSUNAMI 2024-2025. Shaka asema idadi hiyo kubwa inatokana na uongozi bora wa Rais Samia, Asisitiza uchaguzi wa mwaka huu umevunja rekodi kwa kuwa haijawahi kutokea ==== Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema mwitikio mkubwa wa wanachama kujitokeza katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…