ndani ya ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Polepole anafahamu mengi ndani ya CCM tumsikilize kwa makini

    Polepole anaendelea kulifungua Taifa polepole. Polepole ni kada wa juu wa CCM na anafahamu mambo mengi sana ya ndani kuhusu CCM. Ni vyema tukampa nafasi apate kutufahamisha mengi tusiyoyajua kuhusu uhuni wa CCM katika nchi hii. Karibu ndugu Polepole tunakusikiliza kwa makini.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Pole pole napigania NRNE au kuwaondoa wanamtandao ndani ya ccm?

    Kama kuna mtu mnafiki na basi huyu Pole pole, hutuba zake za mwanzo alikuwa anadai kurudiwa kwa mchakato wa kumpata mgombea wa uraisi kwa upande wa CCM ili waingie vizuri kwenye uchaguzi, hakuwa kinyume na uchaguzi. Lengo likiwa na kufanya mabadiliko yatakayo waondoa wanamtandao ndani ya CCM...
  3. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Polepole: Nitaongea visivyostahili vinavyofanyika ndani ya CCM na Chama kitateteleka

    Nakuomba tena Mama, itisha mchakato halali wa kumpata mgombea Urais wa CCM na awe mpya fresh mwenye nguvu, kama hautafanya hivyo Nitaongea vile visivyostahili ndani ya CCM, waulize CCM hivi Polepole anajua chochote ndani ya CCM kinachoweza kutikisa Chama!? Watakwambia.
  4. 888I

    JamiiForums Tanzania Deep State: Dhana Yake, Namna Inavyofanya Kazi

    Hivi karibuni, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, amezua mjadala baada ya kudai kuwa ndani ya CCM kuna “mtandao” unaodhibiti mchakato wa uteuzi wa wagombea urais. Anasema mtandao huu umekuwa ukijitokeza mara kwa mara tangu mwaka 1995, na mara nyingine hufanikisha...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tunahamasisha maadili na uwazi ndani ya CCM

    Katika chaguzi nyingi za kura za maoni ndani ya CCM, asilimia 60 hadi 80 ya walioshinda wamekuwa ni wale walioanza kampeni miaka 2 hadi 3 kabla ya mchakato kuruhusiwa rasmi na chama. Wamewekeza siyo tu muda, bali pia wamenunua ushawishi ndani ya mfumo wa chama kuanzia ngazi ya mashina hadi mkoa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tujenge demokrasia inayozingatia uwazi, uwajibikaji na nidhamu ndani ya CCM

    Mchakato wa kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni msingi muhimu wa demokrasia ya ndani ya chama. Mwaka huu, tumeshuhudia mwitikio mkubwa wa wajumbe kushiriki, jambo linaloonesha nguvu ya chama na uaminifu wa wanachama wake katika mchakato wa kidemokrasia. Hata hivyo, yapo maeneo...
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jumaa Aweso aibuka kidedea kura za Maoni ubunge Jimbo la Pangani

    Mtia nia wa nafasi ya ubunge katika Jimbo la Pangani mkoani Tanga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jumaa Aweso, ameibuka mshindi kwa kishindo katika kura za maoni zilizofanyika jimboni humo baada ya kupata kura zote za ndiyo katika kata zote zilizopiga kura. Aweso amepitishwa na wajumbe wote...
  8. Determinantor

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mke wa Naibu Waziri, Dkt. Mollel (CCM) adaiwa kutekwa; Mgombea Udiwani ashambuliwa...

    Yanayoendelea ndani ya CCM kwa sasa yanatia wasiwasi. Kumekuwa na taarifa za vurugu, vitisho, na migogoro ya ndani ambayo inapaswa kutazamwa kwa jicho la tahadhari na huruma kwa mustakabali wa demokrasia yetu. Nashukuru sana Mheshimiwa Tundu Lissu kwa maono ya mbali – kama hali ndani ya chama...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Toa neno moja kwa wajumbe wa CCM kuelekea uchaguzi wa wagombea ubunge na Udiwani 2025 ndani ya CCM

    Kwangu mimi wale pesa kura wapeleke kwa mtu sahihi .
  10. T

    JamiiForums Tanzania Njoo tupate elimu juu ya uhalisia wa hatua za mchakato wa upatikanaji wa mgombea ubunge na udiwani ndani ya CCM

    Salaam Wengi wetu tumekuwa tukishindwa kuelewa hatua za michujo anazopitia mwanachama wa CCM kuanzia kuchukua form hadi kula za maoni na kuchaguliwa mtu mmoja kama mgombea wa jimbo au kata fulani. Tafadhari kama unauelewa juu ya hili share nasi hatua moja baada ya nyingine hasa utaratibu mpya...
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kwa huu mnyukano ndani ya CCM kama CHADEMA Ingeshiriki uchaguzi ingeshinda kwa kishindo kama uchaguzi wa 2010

    Uchaguzi wa 2010 CHADEMA ilipata matokeo mazuri sababu CCM ya wakati huo ilikuwa imepoteza imani kwa wananchi. Na kulikuwa na mpasuko na makundi makubwa. Mwaka huu kwa CHADEMA hii ambayo inakubalika na huu mparaganyiko ndani ya CCM CHADEMA wangeshinda kwa kishindo na kupata viti vingi zaidi ya CCM
  12. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais tunakuomba ufute sheria ya kututeulia wabunge na madiwani. Tayari una nguvu ya kuteua wakuu wa mikoa na wilaya

    Sheria mpya inampa mamlaka Rais ambaye ni mwenyekiti wa chama tawala kuweza kuweka wabunge wake hata kama hawakupita kura za wajumbe, Tunakoelekea sio kuzuri. Hii ina hatari hasa kwa kuweka wabunge ambao hata hawajakulia katika majimbo
  13. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ni wakati wa kufanya Siasa zenye tija, hatuwezi kufanya Siasa zenye ajenda ya kiupepo upepo, kama ni mabadiliko yatatoka ndani ya CCM

    NI WAKATI WA KUFANYA SIASA ZENYE TIJA, HATUWEZI KUFANYA SIASA ZENYE AJENDA YA KIUPEPO UPEPO. KAMA NI MABADILIKO YATATOKA NDANI YA CCM YENYEWE. Kuna watu furaha yao ni kuwa Wapinzani. Umaarufu wao ni kuwa upinzani. Na wanataka kupotezea watu muda wa kupeperusha ajenda zao maana ndio mtaji wao...
  14. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Mvutano ndani ya CCM ni alama ya kuvifungua akili vyombo vya dola. Vikiwa makini huu ndo wakati wa kusimika mifumo imara

    Siasa za Tanzania chini ya Chama cha Mapinduzi ni siasa za makundi kugombania Madaraka na Ulaji. Makundi yote yanafanana kwenye jambo kuu moja. Uchu wa madaraka ili kuila keki ya Taifa vizuri. Makundi yote haya yanaamini yakishika utawala wa nchi basi watapata hela wapendavyo, wataishi vizuri...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Makosa mawili ya rais Samia yanayotugharimu

    Mara 4R, Mara mardhiano....... haya yote ameshidwa na vigogo ndani ya CCM https://youtu.be/Ku52ZOjs0oQ?si=N3mmmLL4TrSqjbhQ
  16. Barca

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Je? Humphrey Polepole Press Yake itabadili upepo ndani ya CCM?

    Hali ndani ya CCM imebadilika baada ya press YA Mheshimiwa Balozi Humphrey Polepole. Naona vikao vimesitishwa vilivyokuwa vifanyike tarehe 18 na 19 Julai 2025 kwaajili ya teuzi mbalimbali za wabunge. Je hali inaweza kubadilika ili kufuata kile Humphrey amesema kukiukwa kwa tamaduni za CCM? Na je...
  17. Nyoka kibisa

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM wasogeza mbele Vikao vya Chama vilivyopangwa kufanyika kuanzia leo mpaka itakapotangazwa tena

  18. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania GE2025 Upinzani ndani ya CCM: Kinachompoza Samia ni kuwa mwanamke?

    Upinzani wa Ndani CCM, Kinachomponza Samia Ujanajike Wake Katika siku za hivi karibuni, tumeona kuibuka kwa baadhi ya wanasiasa waliowahi kuwa ndani ya mfumo wa utawala wa awamu ya tano—wakijaribu kuvaa joho la uanaharakati na kuunyooshea kidole utawala wa sasa. Alianza Job Ndugai kwa kauli...
  19. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Upinzani ndani ya CCM, kinachompoza samia ni ujanajike

    Upinzani wa Ndani CCM, Kinachomponza Samia Ujanajike Wake Katika siku za hivi karibuni, tumeona kuibuka kwa baadhi ya wanasiasa waliowahi kuwa ndani ya mfumo wa utawala wa awamu ya tano—wakijaribu kuvaa joho la uanaharakati na kuunyooshea kidole utawala wa sasa. Alianza Job Ndugai kwa kauli...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Balozi Polepole naye anadai reforms akiwa ndani ya CCM!

    Salaam! Kwa andiko ulilloandika Jana Mh Polepole, ni dhahiri kuwa, watanzania tumekusamehe madhambi yako yote ikiwamo Ile ya kuturingushia v8 tulliyokununulia kwa pesa zetu. Baada ya Mh Gwajima,Mpina,Padre Kitima,Lissu, sasa ni zamu yako ndugu Pole Pole, ujasiri huu ni mkubwa,tunakupongeza...
Back
Top Bottom