Hili la makonda sio kawaida. Je ni product ya mtifuano wa chini chini uliopo ndani ya CCM?

Teslarati

JF-Expert Member
Nov 21, 2019
1,735
6,796
Mimi na miaka yangu yote hii sijawahi kuona uenezi wa aina hii.

Tunavyojua bunge na serikali ni vitu viwili tofauti, kwa cheo cha makonda pale ccm inabidi adili na viongozi waliochaguliwa kwa tiketi ya chama chake na anadili nao kwenye hizohizo nyadhifa walizochaguliwa. Mfano, makonda hana mamlaka kwa waziri lkn ana mamlaka kwa mbunge. Yaan mfano mm teslarati ningekua mbunge wa JF kwa tiketi ya ccm lkn pia waziri wa starehe basi makonda anapaswa kudeal na mm kama mbunge wa jf na sio waziri.

Swali ni kwamba haya mamlaka hadi ya kupelekesha wakurugenzi na mawaziri kayatoa wapi? Nani anampa kichwa? Na katibu mkuu alishakataza (japo kwa kuogopa ogopa)

Sisi tuliofanya kazi kwenye corporates kubwa kubwa hapa duniani tunajua ule mchezo mkuu wako wa kazi anakupa maelezo fulani na kisha anasema "This conversation never happened" kwa maana kwamba amekupa maelekezo ila sio yeye aliekupa maelekezo(waliosomea cuba kama mm watanielewa)

Je huyu mwenezi na mienendo yake ni product ya mtifuano fln wa chini chini huko CCM?

Yetu macho na masikio, weekend hio imeanza.


Whiskeyyyy.........
 
Back
Top Bottom