Katika mfumo wa siasa za Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina nafasi muhimu katika mchakato wa uteuzi wa wabunge. Mfumo huu unatoa picha ya jinsi siasa za nchi zinavyoweza kuathiriwa na muundo wa chama, hasa katika muktadha wa uwakilishi wa wananchi. Katika mchakato huu, kamati za siasa za...
Ndani ya CCM Kuna mambo ya kutisha.
Henche amesema sahivi Wana CCM wanampiga simu wanasema kuwa na wenyewe wanataka reforms.
Heche amesema kuna kigogo ndani ya CCM Kwakua mfumo haumuitaji siku ya usahili aliwekwa ndani Ili hasiende kwenye usahili.
Lakini pia amebainisha ya kwamba Majaliwa...
Kujiondoa kwa Majaliwa kwenye nyazifa ya ubunge baada ya kutangaza hapo awali kuwania tena kunaonesha ndani ya CCM Kuna vita inaendelea nyuma ya pazia ?
Baada ya nape kuondolewa uwaziri tuliona viongozi wa juu wa CCM wakijiondoa pia je unafikiri Nape atakuwa upande wa Samia kwenye huu uchaguzi ?
Kada wa Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Rujifi Shaban Matwebe amejikuta katika hali ya mshangao baada ya Katibu wa Chama hicho wilaya ya Rujifi kumnyima fomu ya kukiomba Chama chake kumteua kugombea Ubunge wa Jimbo la Rufiji, Matwebe anatajiwa kuchuana na Mbunge anayemaliza muda wake Mohamed...
Hili liko wazi kabisa.
Wana CCM halisi ni wazee wale waliokosa elimu ya jamii ya kutosha.
Wale wazee waliokosa/ kunyimwa elimu wanadhani amani ni CCM na siku wapinzani wakichukua nchi watashika bunduki na mabomu na kuanza kuua wananchi.
Wengine wote ndani ya CCM wapo kutafuta ugali au kulinda...
Kitendo cha Rais Samia kulibeba suala la Gwajima yeye kama yeye bila ya kuwa sehemu ya agenda kamili ya mkutano mkuu wa ccm wa juzi na na jana, kuna leta maswali mengi juu ya uungwaji mkono ndani ya chama chake
Kwa kiswahili kisicho sawa, hapa mwenyekiti alitumia kiti chake kumhukumu Gwajima...
Nina wasi wasi wapo watu wasiopendezwa na rais Samia hasa utawala wake kuwa ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu sema wanasubiri kuona kama kuna wengine kama wao ndani ya CCM sasa wataanza kuibuka.
Je, wapo wengine ukiachana na kina mpina na gwaji boy na yule Basilla wa hawaungi mkono tena...
Wakuu
Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza anaandika kupitia ukurasa wake wa Facebook
==
Huu ni mwaka wa uchaguzi. Tamaa ya madaraka ndani ya CCM ni kama yote. Ubinafsi ndani ya upinzani ni kama wote. Nani mwathirika wa hali hii?
Mwathirika wa kwanza ni nchi/taifa. Tutakosa uwajibikaji (checks...
Balancing the equation, baadhi ya wakosoaji ni lazima watoke ndani ya ccm ili kutengeneza uwiano ulio mzuri,
#Hata Wana ccm wenyewe hili jambo linawashangaza sana juu wahalifu, katika kuendeleza ualifu wao,
Siamini ya kuwa hata chadema wenyewe wanaidadi kubwa namna hii inayodaiwa watu kupotea...
Kwa mtazamo wangu, wakati wanaangalia au wanajipanga namna ya ku'-deal na Gwajima, siku chache zijazo, anaweza kutokea kiongozi mwingine au mtu mwingine mstaafu ndani ya CCM, ambae nae atapita mule mule alikopita Gwajima
Hata hivyo, mtu huyo anaweza kuja na hoja nyingine za ziada lengo likiwa...
Ukitafakari hili la kubakwa kwa Mwanaharakati wa Uganda ni swala ambalo sio la kawaida hata Magu na Ubabe wake asingeruhusu, hata Kagame na Ubabe wake ambao Mama hajafikia hata robo asingeruhusu huu uhuni.
Muhuni kama San Abacha hakufikia hizi levo za Mama anazo fanya hizi ni hazijawa exist...
Katika miaka ya karibuni, tumeona mwelekeo mpya ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambapo watu wanaonekana kupata nafasi, madaraka, au ulinzi wa kisiasa kwa kupitia uchawa—yaani kumtumikia au kumsifia kiongozi bila kuhoji, hata pale panapohitaji hoja. Je, huu ni mkakati wa kudhibiti mfumo wa...
Duru za ndani ya CCM zinanyetisha kuwa hali ya mtafaruku na mfadhaiko mkubwa imeikumba CCM kutokana na pigo takatifu la ushindi wa Tundu Lissu na John Heche katika uchaguzi wa CHADEMA taifa.
Vikao vya wakubwa vimekuwa haviishi, na kupelekea kuleta hofu inayoweza kuzua mpasuko mkubwa wa ndani ya...
Kama kuna kiongozi aliekuwa anawakemea watawala wanapoboronga tens hadharani, basi Nyerere alikuwa kiboko.
Kama kuna kiongozi aliekuwa anakemea rushwa ndani ya chama chake(CCM) tena hadharani, basi Nyerere alikuwa hana mfano
Nyerere alikemea wala rushwa, wauza mashirika ya umma, wanauza nchi...
Leo nimekaa zangu nimetulia sitaki kuandika chochote, ghafla nakutana na kipeperushi cha polisi kwenye mitandao ya jamii. Nikadhani labda kina taarifa ya muhimu, kumbe ni upumbavu tu umejaa humo na kuparamia mambo wasiyoyajua na yasiyowahusu.
Nimejiuliza maswali mengi sana kuhusu hiki...
2015 ndio ulikuwa mwaka pekee wa upinzani kuingia Ikulu na CCM kuwekwa pembeni huku mafisadi yakisubiri kuburuzwa Mahakamani.
Lakini kinyume chake ni kwamba mafisadi walizidi kung'ara na wanaendelea kuitafuna nchi .
Mbowe ndiye aliyehakikisha kuwa mwana CCM machachari Mh. Lowasa anapeperusha...
Binafsi ninaweza nisiwe mwanasiasa mzuri lakini nionavyo mimi ni kwamba ACT na CHADEMA wananufaika na uwepo wa CCM, na CCM wananufaika na uwepo wa hawa ACT, CHADEMA.
Sasa kwa mfumo kama huu inamaana CCM itaendelea kuwepo madarakani kwa miaka mingine mingi
Sikatai kama huku CHADEMA na ACT...
1. Ficheni mipango yenu ya Kisiasa
2. Acheni kuwaamini 100% Wake zenu na hasa Madereva wenu
3. Kuweni makini na Vinywaji mnavyokunywa hasa maeneo ya Mapumziko
4. Kataa kuwa na Chawa kwani Mafia wanawatumia hao hao Machawa wenu Kuwamalizeni kiurahisi
5. Kama unasali sana, Sali Kweli na kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.