Nani mwenye nguvu anayeruhusu 'Mauaji ya Sumu' ndani ya CCM?

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,987
20,271
Hii ni kauli rasmi ya Chama cha Mapinduzi kinachoongoza serikali toka kwa msemaji wake Paulo Makonda kwamba ndani ya CCM kuna shughuli za mauaji ya SUMU!

Rejea nyuma Kwamba Mzee Mangula alilishwa/alinyweshwa sumu, Na leo Kwamba Makonda anataka kuuawa kwa sumu? Hii ni taarifa rasmi kwamba CCM ni genge la maauji!

Hili ni ingizo jipya katika jamii japo kijasusi si jambo geni. Nachojiuliza maswali bila majibu ni kwamba, Bado Mkuu wa Jeshi la Polisi yupo tu?, Bado Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa yupo tu? Usiseme hayo ni mambo ya wanaccm na kwamba hayakuhusu, Amini nakuambia, Wakimalizana huko ccm, hawa makada wataanza kutembea na vichupa vya sumu mitaani kuwinda wapinzani na wakosiaji.

Naomba nikurejeshe katika Kitabu pendwa cha Taifa cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi juu ya Mbinu za kijasusi za mauaji ama kudhoofisha afya ya mlemgwa na hasa mbinu ya kumpulizia sumu adui.

Mnamo mwaka 1997, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyau akishika hatamu katika muhula wake wa kwanza aliruhusu kufanyika kwa misheni ya kumuaa Bw. Khaled Meshaal katika mji mkuu wa Jordan Amman, Bwana Khaled Meshaal alikuwa kiongozi wa mamlaka ya ndani ya Palestina. Mawakala watano wa ujasusi wa shirika la Mossad la Israel waliingia nchini Jordan kwa kuigiza kama watalii kutoka Canada. Walimvamia Bw. Meshaal katika mitaa ya jiji la Amman na kumpulizia sumu sikioni. Kisha walimuacha akiwa hajitambui wakiamiani angekufa ndani ya masaa 48. Lakini Bw. Meshaal hakufa.

Katika tukio lingine, mtu mmoja aliyeitwa Bohdan Mykolayovych Stashynsky, aliyekua muuaji wa shirika la kijasusi la muungano wa soviet, KGB, aliwaua viongozi wawili wa Ukraine; Lev Rebet na Stephan Bandera. Baada ya kupokea agizo la kutekeleza mpango huo kutoka kwa Mwenyekiti wa halmashauri ya mawaziri wa Soviet, Bw. Bohdan alitumia mbinu ya kumpulizia sumu mlengwa wa kwanza na kuhakikisha anapoteza maisha mnamo mwaka 1957. Miaka miwili baadae, yaani 1959, Bohdan alimuua Bw. Stephan Bandera kwa mbinu ileile. Ndipo alipopewa tuzo ya Order of the Red Banner kutoka Moscow. Katika mbinu hiyo, sumu ya Cyanide hutumiwa mara nyingi. Cyanide huweza kuandaliwa kama unga na kuchanganya na manukato au maji na kuwekwa katika kipulizo kama manukato au bunduki ya kupuliza.

Aina ya sumu za maaji ya kiserikali ziko nyingi lakini kwa uwezo wa uhifadhi na uwezo wa kiinchi, Nchi nyingi za afrika zinamiliki zaidi sumu ya cyanide ambayo kimsingi ni sumu ya kale ya kisoviet ambayo hata Urusi wenyewe na Ulaya hawatumii katika dunia ya leo.

Swali tunalotakiwa kuwauliza Wanaccm na serikali yao, Ni nani anayeruhusu matumizi ya mauaji ya sumu katika nchi yetu? Nani anadhibiti ghala la silaha za kibaolojia na kikemia katika nchi yetu?

Kwenye mashirika ya kijasusi yaliyostaarabika na yanayoheshimu misingi ya ujasusi, maghala ya silaha zote za kimaabara huwa chini ya mamlaka ya mkuu wa nchi mfano Rais, Waziri Mkuu, Mfalme au Malkia inategemeana na aina ya mfumo wa taifa hilo. Panapohitajika matumizi ya sumu hizi mwenye mamlaka ya kuruhusu matumizi hayo ni rais wa nchi, waziri mkuu wa nchi, mfalme au malka ambao kwa lunga ya kijasusi huitwa “sponsor”. Hili inategemeana na muondo wa nchi na shirika/idara husika.....

Kwaundani, Soma Kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi kwa +255715865544 au +255755865544

IMG_0278.png

IMG_0274.jpeg

IMG_0275.jpeg
 
Polisi na usalama wa taifa nao ni sehenu ya hilo genge, hivyo sitegemei kuona wakifanya jambo lolote kukabiliana na hiyo hali, siku zote wametulia wanasubiri maelekezo toka kwa hao hao wanaopeana sumu.

Hii kauli ya Makonda imenifanya nianze kujiuliza mara mbili kuhusu kile kifo cha Ole Mushi, sioni yule jamaa alikuwa anahatarisha kitu gani huko chamani kwao, kuna watu hawana hofu yoyote ya Mungu, maslahi ya kisiasa yamewapofua macho hawaoni mbele tena.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Tanzania ni lazima watanzania wafanye push backs kwa hawa politicians wetu waliotufanya tuwe waoga wenye uzuzu, nchi inahitaji diligent leaders n sio robust criminals, hii sera ya ccm ya Cadre deployment ndio imetuletea uozo mkubwa nchini, na inaonekana tuna short supply ya viongozi wenye leadership with integrity, its time we vote wisely
 
Hii ni kauli rasmi ya Chama cha Mapinduzi kinachoongoza serikali toka kwa msemaji wake Paulo Makonda kwamba ndani ya CCM kuna shughuli za mauaji ya SUMU!

Rejea nyuma Kwamba Mzee Mangula alilishwa/alinyweshwa sumu, Na leo Kwamba Makonda anataka kuuawa kwa sumu? Hii ni taarifa rasmi kwamba CCM ni genge la maauji!

Hili ni ingizo jipya katika jamii japo kijasusi si jambo geni. Nachojiuliza maswali bila majibu ni kwamba, Bado Mkuu wa Jeshi la Polisi yupo tu?, Bado Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa yupo tu? Usiseme hayo ni mambo ya wanaccm na kwamba hayakuhusu, Amini nakuambia, Wakimalizana huko ccm, hawa makada wataanza kutembea na vichupa vya sumu mitaani kuwinda wapinzani na wakosiaji.

Naomba nikurejeshe katika Kitabu pendwa cha Taifa cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi juu ya Mbinu za kijasusi za mauaji ama kudhoofisha afya ya mlemgwa na hasa mbinu ya kumpulizia sumu adui.

Mnamo mwaka 1997, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyau akishika hatamu katika muhula wake wa kwanza aliruhusu kufanyika kwa misheni ya kumuaa Bw. Khaled Meshaal katika mji mkuu wa Jordan Amman, Bwana Khaled Meshaal alikuwa kiongozi wa mamlaka ya ndani ya Palestina. Mawakala watano wa ujasusi wa shirika la Mossad la Israel waliingia nchini Jordan kwa kuigiza kama watalii kutoka Canada. Walimvamia Bw. Meshaal katika mitaa ya jiji la Amman na kumpulizia sumu sikioni. Kisha walimuacha akiwa hajitambui wakiamiani angekufa ndani ya masaa 48. Lakini Bw. Meshaal hakufa.

Katika tukio lingine, mtu mmoja aliyeitwa Bohdan Mykolayovych Stashynsky, aliyekua muuaji wa shirika la kijasusi la muungano wa soviet, KGB, aliwaua viongozi wawili wa Ukraine; Lev Rebet na Stephan Bandera. Baada ya kupokea agizo la kutekeleza mpango huo kutoka kwa Mwenyekiti wa halmashauri ya mawaziri wa Soviet, Bw. Bohdan alitumia mbinu ya kumpulizia sumu mlengwa wa kwanza na kuhakikisha anapoteza maisha mnamo mwaka 1957. Miaka miwili baadae, yaani 1959, Bohdan alimuua Bw. Stephan Bandera kwa mbinu ileile. Ndipo alipopewa tuzo ya Order of the Red Banner kutoka Moscow. Katika mbinu hiyo, sumu ya Cyanide hutumiwa mara nyingi. Cyanide huweza kuandaliwa kama unga na kuchanganya na manukato au maji na kuwekwa katika kipulizo kama manukato au bunduki ya kupuliza.

Aina ya sumu za maaji ya kiserikali ziko nyingi lakini kwa uwezo wa uhifadhi na uwezo wa kiinchi, Nchi nyingi za afrika zinamiliki zaidi sumu ya cyanide ambayo kimsingi ni sumu ya kale ya kisoviet ambayo hata Urusi wenyewe na Ulaya hawatumii katika dunia ya leo.

Swali tunalotakiwa kuwauliza Wanaccm na serikali yao, Ni nani anayeruhusu matumizi ya mauaji ya sumu katika nchi yetu? Nani anadhibiti ghala la silaha za kibaolojia na kikemia katika nchi yetu?

Kwenye mashirika ya kijasusi yaliyostaarabika na yanayoheshimu misingi ya ujasusi, maghala ya silaha zote za kimaabara huwa chini ya mamlaka ya mkuu wa nchi mfano Rais, Waziri Mkuu, Mfalme au Malkia inategemeana na aina ya mfumo wa taifa hilo. Panapohitajika matumizi ya sumu hizi mwenye mamlaka ya kuruhusu matumizi hayo ni rais wa nchi, waziri mkuu wa nchi, mfalme au malka ambao kwa lunga ya kijasusi huitwa “sponsor”. Hili inategemeana na muondo wa nchi na shirika/idara husika.....

Kwaundani, Soma Kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi kwa +255715865544 au +255755865544

Chama Cha Mashetani. Ka mtu humo anatamani kumuua mwenzake
 
Wacha yauane bwana yamalizane, unayahurumia mambuzi?

Halaf Bashite anateswa tu na dhambi zake, na ni mbinu ya kutaka apewe walinzi wa kikosi rasmi cha kumlinda Rais kama wale aliokuwa nao kipindi cha mwendawazimu (Makirikiri)
 
Kwanza mtafute mtu ambaye yupo na mwenye nguvu toka kipindi wakina Mangula, JPM na Mwakyembe wanalishwa masumu hadi leo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom