Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 3,718
- 11,708
Mwenyekiti alijaribu kuwaleta karibu team Msoga na kuwatimua team JPM, lakini akausoma mchezo kuwa vijana wa Msoga wana ambitions kubwa mno hiyo 2025, akizembea hata yeye anawekwa pembeni. Vilevile ushawishi wa JPM bado ni mkubwa mno kwenye siasa za nchi hii.
Uelekeo wa sasa ni mwenyekiti kwenda na team Lowasa plus team JPM. Kwa kuzileta hizo team mbili karibu kuna uwezekano wa team Msoga kumalizwa mazima this time.
2025 ni mtihani mzito kwa chama kuliko hata 2015.