nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Changamoto ya umeme nchini ilianza na Awamu ya Tatu, sasa ni mbaya zaidi. Kwanini maji ya Ziwa Victoria yasipelekwe hadi Mtera na JNHPP kupata suluhu?

    Awamu ya baba wa taifa na ile ya mzee ruhusa hakukuwa na changamoto la katika katika kwa umeme maeneo ambayo huduma hii ilikuwa imeyafikia. Ni kweli kwamba maeneo hayo yalikuwa hasa kwenye miji mikubwa ya nchi. Shughuli za kiuchumi wa viwanda hazikuwa nyingi kama ilivyo sasa ambapo tumesambaza...
  2. JamiiForums Tanzania Itachukua muda watu kugundua maafa ya wapiganaji huko Msumbiji baada ya kuunda vioja zubaishi vingi nchini

    Tusipuuze taarifa au tetesi za magaidi wa huko Msumbiji kuvamia msafara wa Wapiganaji wetu, kama ipo na ni taarifa ya kweli matukio ya spinning za akina Bashiru mkae chonjo, ziara na maandamano yote yatapofusha macho na masikio kuhusu habari za magaidi waliovamia msafara sio jambo la kuchekea...
  3. JamiiForums Tanzania TANESCO yatangaza upungufu wa Umeme kwenye Gridi ya Taifa kutokana na Ukame

    Leo tarehe 22/11/2022 TANESCO wametoa taarifa kwa vyombo vya habari kuelezea sababu za mgao unaoendelea nchini. Kwa habari zaidi soma Press release Hapa chini ==== Shirika la Umeme Tanzania limetangaza upungufu wa Megawati 155 za Umeme wa Maji uliosababishwa na Ukame kwenye Mabwawa ya Kihansi...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mikakati ya Serikali ya Rais Samia kuhusu akiba ya Chakula Nchini

    Leo Novemba 22,2022. Rais Samia Suluhu amezindua ghala lenye uwezo wa kuhifadhi nafaka tani 25,000 pamoja na vihenge vyenye uwezo wa kuhifadhi tani 15,000 ambavyo vyote kwa pamoja vina uwezo wa kuhifadhi tani 40,000. Lengo la Serikali ni kujenga maghala mengi zaidi nchini ili kuongeza uwezo wa...
  5. JamiiForums Tanzania SI KWELI Mabehewa 30 na vichwa 2 vya treni za SGR mali ya TRC kupigwa mnada nchini Ujerumani

    Inadaiwa kuwa mabehewa 30 na vichwa 2 vya treni za SGR mali ya TRC vinapigwa mnada 25/11/2022, nchini Germany kufuatia mgogoro wa TRC na EUROWAGON Railways Limited (Turkey), iliyopewa kazi ya kukarabati na kutia nakshi. TRC wamelipa Sh. 23 bilioni (35% ya kazi). Inadaiwa kuwa Mkurugenzi...
  6. JamiiForums Tanzania Toyota imetajwa kuwa gari zinazoaminika zaidi nchini Marekani ikifuatiwa na BMW, Benz ni gari isiyoaminika kabisa

    American consumer reports inasema Toyota ni gari zinazoaminika zaidi nchini Marekani zikifuatiwa na BMW. Mazda, Honda na Audi. Magari ya Kimarekani kama Ford, Tesla nk ni magari yasiyoaminika kabisa nchini Marekani.
  7. JamiiForums Tanzania Wafamasia acheni kuwa kituko, simamieni taaluma

    Inashangaza kuona taaluma ambayo pengine ingetakiwa kua msaada kwa taifa letu lakini imegeuka kua ni kichaka cha vioja. Kuna mdau alikuja kulalamika humu siku moja ya kwamba Baraza la famasia na Chama cha wafamasia wamejikita kwenye kufungia maduka ya watu na kujiwekea ubinafsi wa wao pekee...
  8. JamiiForums Tanzania Uhamiaji tusaidieni kwanini passport haitumiki kama National Identification card katika baadhi ya ofisi nchini

    Nimekwenda ofisi kama tatu za watu binafsi nimeshindwa kupata huduma kwa kutumia kitambulisho cha passport eti hakitambuliki. Yaani kitabu hakitambuliki? Ni kweli karne ya 22 kuna baadhi ya ofisi hazitambui kama passport ya kusafiria ni kitambulisho. Wananiambia hicho hakitambuliki sisi hapa...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Eneo la viwanda la Huawei lazinduliwa nchini Angola

    Hafla ya uzinduzi wa Eneo la Viwanda la Huawei imefanyika jana jumanne wiki hii katika mji mkuu wa Angola, Luanda, na kuhudhuriwa na rais wa nchi hiyo, João Lourenço. Kwenye hafla hiyo, Angola na kampuni ya Huawei zilisaini makubaliano kuhusu kuwaandaa watu wenye ujuzi wa kidigitali. Kutokana...
  10. JamiiForums Tanzania Maambukizi mapya ya VVU yazidi kupungua nchini

    Tume ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS) imesema maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi (VVU) yamepungua kutoka watu 110,000 mwaka 2016/17 hadi kufikia 54,000 mwaka 2020/2021. Hayo yamesema Mkurugenzi Mtendaji wa TACAIDS, Dk Leonard Maboko, Jumanne Novemba 14, 2022 wakati akizungumzia maadhimisho ya...
  11. JamiiForums Tanzania Wachina Wana teknolojia ya upandikizaji mawingu, tuwatumie kuondoa tatizo la maji na ukame nchini

    Ndugu zangu Poleni kwa tatizo la maji na umeme lililopo nchini kwa sasa. Wachina ni marafiki ZETU wa siku nyingi tangu enzi za baba wa taifa. Tuwatumie KWENYE hii teknolojia yao ya cloud seeding tuanze KWA mikoa yenye changamoto ya maji kama Dar es salaam baadae ienee Tanzania nzima...
  12. JamiiForums Tanzania La umeme Watanzania ni waelewa, wavumilivu na linavumilika. Assuarance hii from "The Horse's Mouth" ni toshelevu. Lakini la maji linavumilika?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za " Kwa Maslahi ya Taifa", makala ya leo ni kuzungumzia kidogo hali ya umeme nchini ambayo kwa sasa inapitia changamoto mbalimbali mojawapo ni kupungua kwa kina cha maji katika mabwawa ya uzalishaji wa umeme, hili...
  13. JamiiForums Tanzania EWURA yazitaka mamlaka za maji nchini kutoa taarifa sahihi za huduma ya maji na usafi wa mazingira

    MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji ( EWURA) Mhandisi Modestus Lumato,akizungumza wakati wa kikao kazi cha Watendaji wa Mamlaka za Maji za Mikoa na Miradi ya Kitaifa kilicholenga kuhakiki taarifa za utendaji wa Mamlaka hizo kwa mwaka 2021/22 kilichofanyika leo...
  14. JamiiForums Tanzania Kikao cha dharura cha Rais na Mawaziri kije na majibu haya kuhusu matukio ya ajali nchini

    Wakati Rais Samia akitarajiwa kufanya kikao cha Dharura na Baraza la Mawaziri kujadili suala la Ajali ya Ndege ya Precision Air iliyoua watu 19, haya ndio yanayosubiri majibu ya Serikali. Uwajibikaji wa Idara za Uokoaji nchini ukoje?, Idara hizo zina Miundombinu sahihi na inayostahimili hali...
  15. JamiiForums Tanzania Marekani: Ndege mbili zagongana angani wakati wa maonesho ya kijeshi

    Ndege hizo zilikuwa katika maonesho ya Kumbukumu ya Vita ya Pili ya Dunia (WWII) katika Jimbo la Dallas na baada ya tukio hilo zilidondoka chini na kutokea mlipuko mkubwa huku wananchi wakishuhudia. Haijaweka wazi idadi ya waliokuwemo ndani ya ndege hizo aina ya Boeing B-17 Flying Fortress na...
  16. JamiiForums Tanzania Kila vifo 33 kati 100 vinavyotokea nchini vinatokana na Magonjwa yasiyoambukiza

    Imeelezwa kuwa kila vifo 33 kati ya 100 vinavyotokea nchini vinasababishwa na magonjwa hayo na robo 3 ya wananchi hawajitambui kuwa wana tatizo hilo. Mkurugenzi Msaidizi wa Magonjwa Yasiyoambukiza Dkt. James Kiologwe amesema Mjamzito mwenye Magonjwa hayo yupo hatarini kujifungua watoto wenye...
  17. JamiiForums Tanzania PSSSF moja ya taasisi za Umma zenye Customers care bora kabisa nchini

    Wakati nafikiria kuanza michakato ya kufuatilia michango yangu kwa hawa jamaa nilikuwa nafikiria sana kwa kuwa taasisi nyingi za umma zinasifika kwa kuwa na customer care mbaya sana kwa wateja. Lakini nimefuatilia,nimeingia ofisi tofauti tofauti na itoshe tu kusema jamaa ni wakarimu na...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei nchini Marekani waathiri vibaya uchumi wa Afrika

    Ili kutatua changamoto ya mfumuko wa bei nchini Marekani, Benki Kuu ya nchi hiyo inayofahamika kama “Federal Reserve” imeongeza viwango vya riba mara sita tangu mwanzoni mwa mwaka huu, ambapo madhara yake kwa nje yameathiri vibaya uchumi wa nchi zinazoendelea hasa za Afrika, na gharama za maisha...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki mkutano wa COP27 nchini Misri. Awakutanisha marais 11 kujadili umeme

    Leo tarehe 07 Nov. 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania alishiriki mkutano wa 27 wa kujadili mabadiliko ya tabia nchi. Mkutano huo umefanyika kwenye mji wa Sharm El Sheikh. Rais Samia ameambatana na Waziri wa mambo ya nne na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dr. Stergomena Tax. --- Rais...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais wa Rwanda kufanya ziara ya ghafla nchini Tanzania

    Kutokana na kile kinachoendelea kati ya DRC & Rwanda natabiri rais mrefu kuliko wote East Afrika kufanya ziara ya ghafla sana nchini Tanzania ili kuweka mambo sawa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…