nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania January Makamba katika ziara ya inayogusa sekta kadhaa nyeti nchini Rwanda

    11 March 2024 Kigali, Rwanda Waziri January Makamba na ujumbe wake kutoka sekta za wizara za Uchukuzi, Biashara na Viwanda, TEHAMA, Kilimo, Nishati na maofisa pia wa mashirika ya umma. Ziara ya rais Dr. Samia Hassan mwezi agosti 2021 nchini Rwanda imesaidia nchi hizi mbili jirani kufahamiana...
  2. JamiiForums Tanzania SI KWELI Naibu Rais Kenya adai kusalitiwa na Rais Ruto baada ya kukutana na Odinga nchini Uganda

    Video hii kwenye Facebook imeeleza kuwa Naibu Rais wa Kenya Rigathi Gachagua amesema kuwa Rais William Ruto alimsaliti kwa kukutana na kinara wa upinzani Raila Odinga nchini Uganda. Video hiyo ilikuwa na ujumbe kuwa “Ruto amenisaliti! DP Gachagua anazungumza baada ya Ruto na Raila kukutana...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Hili tabasamu la wavuvi nchini ni matokeo ya uweledi wa Rais Samia

    Na Mwl Udadis, Nyamagana Kitendo cha serikali chini ya uongozi wa Rais Samia kutenga kiasi cha zaidi ya bilioni 11 kwa ajili ya kuboresha mazingira ya wavuvi moja kwa moja ni kitu cha kihistoria. Hatua hii inaleta matumaini makubwa kwa wavuvi wengi, ikiwemo kanda ya ziwa ambapo zaidi ya wavuvi...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Hali ya Rushwa ya Ngono Nchini

    Rushwa ya Ngono inahusisha Dhuluma na Unyanyasaji, na inakiuka Haki za Binadamu na Heshima ya Watu. Aina hii ya Rushwa hutumia nguvu ya Kisaikolojia kumshawishi Mtu kutoa Mwili wake Kingono ili kupata Upendeleo kama Safari za Kikazi, Matokeo mazuri Chuoni, Unafuu wa Kazi, Kupanda Cheo...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Ufaransa kuanza kutengeneza silaha nchini Ukraine

    Katika hali inayoonyesha kwamba vita nchini Ukraine bado vitaendelea kupiganwa na kwamba fikra ya taifa la Russia kwamba inaweza ikakalia tu ardhi ya Ukraine kwa raha inaonekana ni jambo ambalo kamwe halitawezekana. Ufaransa inapanga kuwa na baadhi ya watengenezaji wake wa silaha wanaozalisha...
  6. JamiiForums Tanzania Ni sheria zipi nchini Tanzania zinazokataza Mahusiano ya Kimapenzi kati ya ndugu?

    Habari za wakati huu wakuu, Bila kupoteza muda, na kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba kujua kuhusu sheria za Tanzania zinazokataza mahusiano ya kimapenzi au kuzaliana kati ya ndugu (Incest).
  7. JamiiForums Tanzania Motivational speakers hawahitajiki nchini kwasababu matatizo tuliyo nayo yanatosha kutukumbusha kufanya kazi kwa bidii na maarifa

    Ukifuatilia wengi wao hakuna biashara wanazofanya na hata wanachohamasisha ni copy & paste kutoka google na vitabuni. Hawa watu hawahitajiki. Ni upuuzi wa hali ya juu kumlipa pesa Motivational speaker ili akuhamasishe kufanya biashara. Matatizo tuliyo nayo yanatosha kutuhamasisha kupambana...
  8. J

    JamiiForums Tanzania UWT yazindua kundi la Samia queens linalohusisha wasanii wanawake nchini

    Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mary Chatanda , kupitia Katibu Mkuu Ndugu. Jokate Mwegelo amezindua kundi la SAMIA QUEENS ambalo ni muunganiko wa Wasanii wote wa Kike wa Sanaa ya Muziki na Uigizaji. Lengo la kundi hilo ni kuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Betting imeajiri watu elfu 25 nchini

    Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Nchini (GBT) amesema sekta ya michezo ya kubahatisha imekuwa chanzo cha ajira kwa wengi nchini akiwemo yeye mwenyewe ambapo mpaka sasa zaidi ya watu elfu ishirini na tano (25) wameajiriwa kupitia michezo ya kubahatisha. Source: #EastAfricaTV
  10. JamiiForums Tanzania BENCHIKA Atoweka nchini

    Kocha mkuu wa simba hayupo nchini toka jana baada ya game ya prison inasemekana kaenda kwao Inasemekana kashindwa kuingia kwenye mfumo wa chama.
  11. JamiiForums Tanzania Shirika la FCS: Tunapongeza usimamiaji na kuheshimu misingi ya Demokrasia Nchini chini ya Rais Samia

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la The Foundation For Civil Society (FCS), Francis Kiwanga amesema Shirika hilo linajivunia miaka mitatu ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan katika kuheshimu na kusimamia misingi ya Demokrasia. Kiwaga amesema kuwa FCS inajivunia uongozi wa Rais Samia...
  12. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Tunaanzisha wiki ya Maandamano kwenye Makao Makuu yote ya Mikoa nchi nzima

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema chama hicho kitaingia kwenye awamu nyingine ya Maandamano yatakayofanyika kwenye makao makuu yote ya mikoa nchini, maarufu kama wiki ya Maandamano yatakayofanyika kuanzia Aprili 22-30, 2024. Aidha, amewatangazia Diaspora kufanya maandamano makubwa...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete alikuwa akikimbia nchi kila inapopata skendo, Rais Samia anarudi nchini kila hali inapotaka kuwa ngumu

    Mfumo wa Utawala wa JK ulikuwa wa safari nyingi nje. Nyingi ya safari zake zililenga zaidi kukimbia presha ya kisiasa ndani ya nchi sambamba na ugumu wa maisha. Pale alipobaini patatokea hoja ngumu ya yeye kusimama kama mwenye nchi kuamua alifafanya vyovyote iwezekanavyo awe nje ya nchi kupisha...
  14. JamiiForums Tanzania Bashungwa Awapa Siku 4 kwa TANROADS Kukagua Barabara na Madaraja Yote Nchini

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa siku nne kwa Mameneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS) nchi nzima kufanya tathmini na ukaguzi wa madaraja, makalvati na barabara kuu zote ambazo zimekuwa zikifanyiwa matengenezo ya mara kwa mara na kuwasilisha taarifa hizo kwa wakuu wa Mikoa ili...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Kumbi za Starehe kuaanza kukagua Vitambulisho vya wateja Nchini

    Siku hizi idadi ya watoto wanaokwenda kumbi za starehe ni wengi mno. Na utawakuta wanakunywa pombe, kutumia madawa ya kulevya, kujiuza, kuvuta sigara, kufanya biashara haramu na mambo mengine yanayokiuka jamii. Tatizo hili tunaweza tusione madhara yake sasa hivi lakini ndo tunavyokuza kizazi...
  16. F

    JamiiForums Tanzania "Viumbe wasioonekana" wajenga Msikiti wa kisasa nchini Comoro. Maneno haya ya Sheikh Al hajj Dr sulle ni ya kweli?

    Majini yamejenga msikiti yameweka Hadi grill🙌🙌 siment sijui yametumia ya dangote , au ya pakistani 😂 Mungu atusamehe Majini wamejenga jengo mpaka vioo vya aluminium wameweka
  17. JamiiForums Tanzania Raia sita wa Morocco wahukumiwa adhabu ya kifo Nchini Somalia

    Mahakama ya kijeshi Kaskazini mwa Somalia imewahukumu kifo raia sita wa Morocco ikielezwa kuwa wana uhusiano na kundi la kigaidi. Majina ya wahusika ni Mohamed Hassan, Ahmed Najwi, Khalid Latha, Mohamed Binu Mohamed Ahmed, Ridwan Abdulkadir Osmany na Ahmed Hussein Ibrahim, wana nafasi ya kukata...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Bondia anayeweza kuleta heshima hapa nchini ni Hassan Mwakinyo tu

    Jana nilikesha kumcheki Jini Makata akidhalilika kwa msouth, kiukweli wote tuliocheki ile gemu tunakubali kuwa Nusu Mtu Nusu jini alipigwa, kibaya zaidi ni pale Raundi ya mwisho ilipobakia sekunde 17 gemu iishe kengele ilipigwa kuashiria mchezo umekwisha, zile sekunde msouth alikuwa anammaliza...
  19. JamiiForums Tanzania Uzalendo nchini Tanzania: Upendo, Uaminifu au Dhima?

    Nilijikuta kwenye mbio za kutembeza Twitter siku nyingine. Ndio, bado unaiita "Twitter." Baadhi yenu waimbaji wa teknolojia wanaweza kuiita X, Y, au nani-anajua-nini-kifuatacho, lakini nivumilie. Kuingia kwenye tweets za kisiasa ni kama kuchimba kwenye mfuko wa chips mbalimbali - baadhi...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Hali ya kiwango cha Rushwa nchini Tanzania

    Kuna vigezo kadhaa vinavyotumiwa kuangalia kiwango cha rushwa katika nchi. Hizi ni pamoja na: Transparency: Kiwango cha uwazi katika shughuli za serikali na taasisi za umma ni kigezo muhimu cha kuangalia rushwa. Nchi ambazo zina mfumo mzuri wa kufanya maamuzi kwa uwazi na kuchapisha taarifa za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…