BENCHIKA Atoweka nchini

Huyo n suala la muda tu... Hana kitu chochote Cha ziada... Timu inashinda kwa uwezo wa Chama Wala sio mbinu zake.... Ni Mara 100 na mgunda kuliko madevu... Kocha anatumia kaul za kibabe kwa wachezaji ili wafanye vizuri badala ya mbinu?.🤣🤣
 
Kocha mkuu wa simba hayupo nchini toka jana baada ya game ya prison inasemekana kaenda kwao
Inasemekana kashindwa kuingia kwenye mfumo wa chama.
Hivi kumbe hata 🐸🐸huwa wanahangaika hivi wanapotaka kutaga 😂😂

Mnahangaika tu na kupoteza nishati kila saa Simba, mkienda kulipa madeni Simba, mkikosa hela ya kula Simba 😂😂.

Mngejua Simba hula kwa kuwinda mngeenda kusaka hela mtunze majaruba yenu vyura wahed.
 
Back
Top Bottom