January Makamba katika ziara ya inayogusa sekta kadhaa nyeti nchini Rwanda

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,305
24,200
11 March 2024
Kigali, Rwanda

Waziri January Makamba na ujumbe wake kutoka sekta za wizara za Uchukuzi, Biashara na Viwanda, TEHAMA, Kilimo, Nishati na maofisa pia wa mashirika ya umma.

Ziara ya rais Dr. Samia Hassan mwezi agosti 2021 nchini Rwanda imesaidia nchi hizi mbili jirani kufahamiana zaidi hivyo kuimarisha mahusiano ambapo mikataba ya makubaliano katika Uhamiaji, elimu na uthibiti wa bidhaa za madawa n.k yalisainiwa.

Nchi hizi zina miradi ya ushirikiano ya katika reli SGR Isaka Tanzania hadi Kigali Rwanda , Nishati bwawa la umeme la Rusumo 27 MW lenye thamani ya US Dollar 340,000,000 lililopo katika mpaka wa nchi tatu Tanzania, Rwanda na Burundi linalotegemewa kuingiza umeme ktk gridi ya umeme mwishoni mwa mwezi March.

Tanzanian foreign minister embarks on multisectoral visit to Rwanda​

Tanzania’s Minister of Foreign Affairs and East African Cooperation January Makamba. Courtesy

Moise M. Bahati
Monday, March 11, 2024
Tanzania’s Minister of Foreign Affairs and East African Cooperation January Makamba said on Monday, March 11 he would be traveling to Rwanda on a bilateral visit.

In a post on X, Makamba said he would bring along senior officials from Ministries of Transport; Trade and Industry; ICT; Agriculture; Energy; and from key parastatals.

“I am keen to partner with colleagues in Rwanda to strengthen relations between our two countries.”

During a visit to Rwanda by Tanzania’s President Samia Suluhu in August 2021, the two governments signed bilateral agreements on ICT, immigration, education and regulation of medical products.

The two countries have cooperation in multiple sectors such as agriculture, transport and energy.

In January, Rwanda’s Minister of State in charge of Regional Cooperation James Kabarebe and Tanzania’s Minister of Livestock and Fisheries Abdallah Hamis Ulega signed an agreement of cooperation in the development of the dairy industry.

The two countries have a plan to build a railway from Isaka in Tanzania to Kigali.

Rwanda, Tanzania and Burundi have collaborated on the construction of Rusumo Hydropower plant, which is set to produce 27MW.

The $340 million plant built on the three countries borders, is expected to be opened in late March.

Source: New Times Rwanda
 
Hiyo Reli ya Isaka Rusumo ni muhimu hata kwa Mkoa wa Geita na Kagera.
 
11 March 2024
Kigali, Rwanda

Waziri January Makamba na ujumbe wake kutoka sekta za wizara za Uchukuzi, Biashara na Viwanda, TEHAMA, Kilimo, Nishati na maofisa pia wa mashirika ya umma.

Nchi hizi zina miradi ya ushirikiano ya katika reli SGR Isaka Tanzania hadi Kigali Rwanda , Nishati bwawa la umeme la Rusumo 27 MW lenye thamani ya US Dollar 340,000,000 lililopo katika mpaka wa nchi tatu Tanzania, Rwanda na Burundi.

ndiyo,
abane apo apo right left and center wameanza kusema 🐒

well done ndugu waziri
 
Huo mradi umeshabuma katembelea mzee wa deal!
 
11 March 2024
Kigali, Rwanda

Waziri January Makamba na ujumbe wake kutoka sekta za wizara za Uchukuzi, Biashara na Viwanda, TEHAMA, Kilimo, Nishati na maofisa pia wa mashirika ya umma.

Ziara ya rais Dr. Samia Hassan mwezi agosti 2021 nchini Rwanda imesaidia nchi hizi mbili jirani kufahamiana zaidi hivyo kuimarisha mahusiano ambapo mikataba ya makubaliano katika Uhamiaji, elimu na uthibiti wa bidhaa za madawa n.k yalisainiwa.

Nchi hizi zina miradi ya ushirikiano ya katika reli SGR Isaka Tanzania hadi Kigali Rwanda , Nishati bwawa la umeme la Rusumo 27 MW lenye thamani ya US Dollar 340,000,000 lililopo katika mpaka wa nchi tatu Tanzania, Rwanda na Burundi linalotegemewa kuingiza umeme ktk gridi ya umeme mwishoni mwa mwezi March.

Tanzanian foreign minister embarks on multisectoral visit to Rwanda​

Tanzania’s Minister of Foreign Affairs and East African Cooperation January Makamba. Courtesy

Tanzania’s Minister of Foreign Affairs and East African Cooperation January Makamba. Courtesy

Moise M. Bahati
Monday, March 11, 2024
Tanzania’s Minister of Foreign Affairs and East African Cooperation January Makamba said on Monday, March 11 he would be traveling to Rwanda on a bilateral visit.

In a post on X, Makamba said he would bring along senior officials from Ministries of Transport; Trade and Industry; ICT; Agriculture; Energy; and from key parastatals.

“I am keen to partner with colleagues in Rwanda to strengthen relations between our two countries.”

During a visit to Rwanda by Tanzania’s President Samia Suluhu in August 2021, the two governments signed bilateral agreements on ICT, immigration, education and regulation of medical products.

The two countries have cooperation in multiple sectors such as agriculture, transport and energy.

In January, Rwanda’s Minister of State in charge of Regional Cooperation James Kabarebe and Tanzania’s Minister of Livestock and Fisheries Abdallah Hamis Ulega signed an agreement of cooperation in the development of the dairy industry.

The two countries have a plan to build a railway from Isaka in Tanzania to Kigali.

Rwanda, Tanzania and Burundi have collaborated on the construction of Rusumo Hydropower plant, which is set to produce 27MW.

The $340 million plant built on the three countries borders, is expected to be opened in late March.

Source: New Times Rwanda
Ukisikia huyo mtu ni kichwa maji au jasusi usishangae. Nchi ya rwanda kwa sasa nchi za sadc ikiwemo tanzania tunakabiliana nayo kijeshi kwenye uwanja wa vita kule kivu congo kwa uvamizi wa nchi hiyo congo. Huku huyu waziri anaongoza ujumbe mkubwa eti wa kibiashara na huku majeshi yetu yanapigana sijui ni sawa au kuna njama. Ujue kagame ni kiongozi mwenye hila za kutisha. Je januari anacheza kwenye mikono yake?
 
Rais Paul Kagame wa Rwanda akutana na waziri January Yusuf Makamba aliyeongozana na ujumbe wa maofisa kadha wa Tanzania

View: https://m.youtube.com/watch?v=p2crOtCjynA

Waziri Makamba na ujumbe wapo nchini Rwanda kwa ziara ya siku 4.

Waziri January Makamba siku ya jumanne walikutana na waziri wa mambo ya nje wa Rwanda bw. Vincent Biruta na kukubaliana kufungua mpaka wa pili uliopo Kyerwa wilaya ya mkoa wa Kagera, Tanzania hivyo kuwa na milango miwili ya mipakani mmoja upo Rusumo kiasi cha kilometa 142.3 kusini mashariki kutoka Kigali.

Kituo hicho cha pili cha kuvuka mpaka, Kyerwa kitaongeza biashara na uvukaji mpaka kwa wakaazi wa hizi nchi mbili majira, mawaziri wa nchi hizi jirani wamesema.

Tanzania yenye bahari na bandari imekuwa njia muhimu ya Rwanda kupeleka bidhaa nje na kupokea, kwa sasa asilimia 80 ya mizigo ya Rwanda inatumia bandari ya Dar es Salaam.

Pia Rwanda inatumia bandari kavu za Tanzania zilizopo nje ya mkoa wa Dar es Salaam zilizopo Isaka na Kwala kwa mizigo yake kwa njia ya barabara na reli.
 
Back
Top Bottom