Bondia anayeweza kuleta heshima hapa nchini ni Hassan Mwakinyo tu

1979Magufuli

JF-Expert Member
Feb 20, 2023
439
1,756
Jana nilikesha kumcheki Jini Makata akidhalilika kwa msouth, kiukweli wote tuliocheki ile gemu tunakubali kuwa Nusu Mtu Nusu jini alipigwa, kibaya zaidi ni pale Raundi ya mwisho ilipobakia sekunde 17 gemu iishe kengele ilipigwa kuashiria mchezo umekwisha, zile sekunde msouth alikuwa anammaliza Kidunda.

Kidunda ni bondia kama Kiduku, wote wanapenda sana kuachia uso wazi raundi ya 4 tu Kidunda jicho halioni, kiukweli uzalendo umesaidia sana jana otherwise recoding ya Kidunda ingepotea jana.
Pia umri umemtupa jini makata, yule msouth ni mdogo sana, mtu sahihi kwake ni Hassan Mwakinyo tu.Wabongo lazima waelewe boxing ni mchezo mgumu sana.
Mwakinyo apewe huyu msauzi
 
Kiukweli jini makata alipigwa, yule dogo ana skills sana, style na jini makata na Kiduku ni moja, hawana fighting skills just kuvaa tu mtu, sasa akikutana na bondia mwenye skills kama bwana mdogo lazima udhalilike.
 
Hamna bondia pale
Hajawi kupigana nje ya nchi anacheza ndani anabebwa na cheo cha jeshi kwa marefa

Sent using Jamii Forums mobile app
Yule na Kiduku sijawahi kuwakubali, wanazipenda ngumu ila ngumi hawazijui, wajaribu shughuli nyingine inatosha, ata yule japhet maganga aliyepigwa na yule dogo wa mbeya, naye hamna kitu ajaribu shughuli nyingine, a boxer must possess fighting skill, sio kumvaa vaa tu mpinzani wako, na hapa ndio mwakinyo anapowashinda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom