Ufaransa kuanza kutengeneza silaha nchini Ukraine

Imeloa

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
12,902
15,333
Katika hali inayoonyesha kwamba vita nchini Ukraine bado vitaendelea kupiganwa na kwamba fikra ya taifa la Russia kwamba inaweza ikakalia tu ardhi ya Ukraine kwa raha inaonekana ni jambo ambalo kamwe halitawezekana.

Ufaransa inapanga kuwa na baadhi ya watengenezaji wake wa silaha wanaozalisha vifaa vya kijeshi katika ardhi ya Ukraine. Reuters inaripoti.

Uzalishaji wa silaha za kijeshi unapaswa kufanyika katika ardhi ya Ukraine, kwa kuwa hii itasaidia kupeleka idadi inayofaa ya makampuni ya biashara na kuvutia idadi kubwa ya watalaam.

Huyu Macron hajakomaa kifikra! Angetulia kwanza hasira zimuishe baada ya kuipoteza africa magharibi! No more free lunches from there! Kujipeleka UKRAINE nikulitia hasara zaidi taifa lake maana atapoteza tu! Hiyo plan alipoitangaza tu na uhakika RUSSIA wako kazini kuitengenezea chanjo yake!
 
Rusia alichukulia poa kuwa angeweza kuishinda Ukraine kirahisi mbele ya NATO, kuishinda Ukraine maana yake USA na NATO zilikuwa zinaenda kupoteza umaarufu na nguvu, kitu hiki kingesababisha nchi nyingi zijiunge na Rusia kwa kutafuta usalama, hapo vita itaendelea mpaka miaka 10 ili Rusia ianguke kiuchumi.
 
Ndugu pamoja na kuwa sizijui sana siasa za Ufaransa lakini naamini kabisa wanajua wanalolifanya ktk hilo maana hawa jamaa hawapangi mpango wa muda mfupi hata muda wake ukiisha madarakani lakini mwendelezo unakuwepo maofisini mwao. Kwahiyo inakuwa ni Vision ya nchi sio ya anaetawala muda huo.
 
Rusia alichukulia poa kuwa angeweza kuishinda Ukraine kirahisi mbele ya NATO, kuishinda Ukraine maana yake USA na NATO zilikuwa zinaenda kupoteza umaarufu na nguvu, kitu hiki kingesababisha nchi nyingi zijiunge na Rusia kwa kutafuta usalama, hapo vita itaendelea mpaka miaka 10 ili Rusia ianguke kiuchumi.
Na NATO walikuwa wazi kabisa kwamba nia yao ni kuiangusha Russia kiuchumi, kwahiyo Russia aandae pesa tu ya vita.
 
Katika hali inayoonyesha kwamba vita nchini Ukraine bado vitaendelea kupiganwa na kwamba fikra ya taifa la Russia kwamba inaweza ikakalia tu ardhi ya Ukraine kwa raha inaonekana ni jambo ambalo kamwe halitawezekana.

Ufaransa inapanga kuwa na baadhi ya watengenezaji wake wa silaha wanaozalisha vifaa vya kijeshi katika ardhi ya Ukraine. Reuters inaripoti.

Uzalishaji wa silaha za kijeshi unapaswa kufanyika katika ardhi ya Ukraine, kwa kuwa hii itasaidia kupeleka idadi inayofaa ya makampuni ya biashara na kuvutia idadi kubwa ya watalaam.

Wakati huo Russia kalaa!!
 
Rusia alichukulia poa kuwa angeweza kuishinda Ukraine kirahisi mbele ya NATO, kuishinda Ukraine maana yake USA na NATO zilikuwa zinaenda kupoteza umaarufu na nguvu, kitu hiki kingesababisha nchi nyingi zijiunge na Rusia kwa kutafuta usalama, hapo vita itaendelea mpaka miaka 10 ili Rusia ianguke kiuchumi.
Ndugu yangu najua hupendi kuukubali ukweli kwamba hii vita tayari Ukraine Kwa msaada wa NATO wameshapoteza.
Wakuu wa nchi za west na majenero wa majeshi ya west tayari wanalijua hilo.

Kama ni uchumi nadhani huna taarifa kua uchumi wao tayari umeshayumba sana.

Ukiona wanataka kuingiza majeshi Yao,ujue Ile misaada waliyokua wakitoa mwanzo haijaleta matokeo chanya,ndio maana wanataka wakajaribu kuingia west wote mazima.

Pokea ukweli huo mchungu..
 
Huyu Macron hajakomaa kifikra! Angetulia kwanza hasira zimuishe baada ya kuipoteza africa magharibi! No more free lunches from there! Kujipeleka UKRAINE nikulitia hasara zaidi taifa lake maana atapoteza tu! Hiyo plan alipoitangaza tu na uhakika RUSSIA wako kazini kuitengenezea chanjo yake!
alitulia na aliona kila siku anapoteza , bora astuke mapema kuliko kuendelea kulala
 
Ndugu yangu najua hupendi kuukubali ukweli kwamba hii vita tayari Ukraine Kwa msaada wa NATO wameshapoteza.
Wakuu wa nchi za west na majenero wa majeshi ya west tayari wanalijua hilo.

Kama ni uchumi nadhani huna taarifa kua uchumi wao tayari umeshayumba sana.

Ukiona wanataka kuingiza majeshi Yao,ujue Ile misaada waliyokua wakitoa mwanzo haijaleta matokeo chanya,ndio maana wanataka wakajaribu kuingia west wote mazima.

Pokea ukweli huo mchungu..
huez hata endesha bandar upo busy kuzungumzia Ukraine , shenz kbs
 
Huyu Macron hajakomaa kifikra! Angetulia kwanza hasira zimuishe baada ya kuipoteza africa magharibi! No more free lunches from there! Kujipeleka UKRAINE nikulitia hasara zaidi taifa lake maana atapoteza tu! Hiyo plan alipoitangaza tu na uhakika RUSSIA wako kazini kuitengenezea chanjo yake!
Huyu mwamba ni kiazi sana..Putin kamuonesha kuwa anaweza kumunyang'anya ugali mdomoni na asifanye kitu chochote.

Inshort ni kwambwa Russia anaweza kukuneutralize kwa namna nyingine kabisaa ambayo hukutegemea ukabaki umetoa mimacho yako mikubwa.

hapa ndo unakumbuka ule usemi kuwa kiongozi ambaye kapitia mafunzo ya ujasusi ni bora zaidi kuliko kiongozi ambaye anapitishwa na Raia kwa mihemuko ya utajiri na mali.

Natamani nchi yangu ilione hilo kwa jicho la tatu kabla ya kuweka watu kwenye madaraka.
 
Ni raha sana kummaliza adui taratibu kuliko kumfyeka fasta,,,mara ya kwanza alitaka hivyo ila baadae akaona akienda taratibu anaua ndege wengi kwa jiwe 1, kuanzia uchumi,kijamii na hadi mengine hapohapo anakuza influence ya BRICS , Putin akili kubwa
Unamtilia putini maneno mdomoni, kwisha jamaa yako alisema atamaliza kazi within 72hrs sasa mwaka 3 unaingia
 
Na wa 5 utaingia ,nikuulize hadi sasa nani anaumia na hivyo vikwazo? Na tokea vita ianze uchumi wa nani umepanda na wa nani umeshuka? Putin akili kubwa ma LGBT kazi imekua ngumu
ungekuwa na akili timamu ungejiuliza kwann Urusi miaka yote hakujihusisha na Africa ila sasa hv anakimbilia Afrika , hali ngumu anatafuta pa kupumulia hadi kuuza bidhaa zake kwa nusu bei unafikir mchezo , UKIWA NA AKILI NDOGO HUEZ ELEWA
 
Back
Top Bottom