Ni sheria zipi nchini Tanzania zinazokataza Mahusiano ya Kimapenzi kati ya ndugu?

Habari za wakati huu wakuu,
Bila kupoteza muda, na kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba kujua kuhusu sheria za Tanzania zinazokataza mahusiano ya kimapenzi au kuzaliana kati ya ndugu (Ancestry).
The Law of Marriage Act inakataza ndugu kuoana na ni kosa kisheria. Nimesahau specific provision ila ipo sheria hiyo.

Hata bigamy na polyandry ni kosa kisheria. Hapa namaanisha ni kosa kisheria mtu aliyepo kwenye ndoa ambayo haijavunjika kuoa ama kuolewa na mtu mwingine.

Ama mwanamke mmoja kuolewa na zaidi ya mwanaume mmoja.
 
Sawasawa nimekupata vyema mkuu.. Na ni ndugu hasa kwa mipaka ipi? Ndugu wa familia moja au inalenga hadi ndugu kama mabinadamu pia?
 
Kwa Wagalatia kitabu cha Kumbukumbu la Torati kimeweka katazo kubwa sana kwenye hili

Back
Top Bottom