nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Chemistry ya waandamizi wateule CCM ni moto mkali kwa upinzani dhaifu sana nchini

    Wanajuana vizuri, wana mtindo wa uongozi unaofanana, wana uwezo wa kuongea, wanaijua vyema CCM, wanawajua vyema upinzani na kwakweli wana uwezo wa kuwajibu wapinzani visingizio na malalamiko yao.. Na Chini ya Katibu mkuu DR. Emanuel Nchimbi, kiongozi mtendaji wa chama, muawajibikaji sana...
  2. B

    JamiiForums Tanzania GEF kupitia UNDP yatoa zaidi ya shilingi bilioni 4 kwa CSOs 44 nchini kutekeleza miradi ngazi ya jamii

    Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam. Mfuko wa Mazingira Duniani (GEF) kupitia Programu ya Ruzuku ndogo inayotekelezwa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) limesaini makubaliano ya kutoa sh 4.04 bilioni kwa mashirika yasiyo ya kiserikali 44 nchini ili kutekeleza miradi ya Uhifadhi wa...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Air Tanzania yakanusha ndege yake kumtelekeza Abiria nchini China

    Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL) imekanusha taarifa inayodaiwa kusamba na Mtanzania aitwaye Issa Azam aliyedai kuna raia wa Tanzania ambao walikuwa Abiria waliotelekezwa na Ndege hizo katika jiji la Guangzhou
  4. Escotter20

    JamiiForums Tanzania Mtabiri nchini Libya aitabiria Simba kuingia nusu fainali

    Mtabili maarufu wa nchini Libya Aboubakar El Han ametabili mechi za Caf champions league Huku akiwashtua watu wengi baada ya kusema Al Ahly ya Misri itatolewa na Simba kwenye mashindano hayo, Timu alizozitabilia kuingia nusu fainali nazo ni Simba Mamelody Esperance Tp mazembe Je, atafanikiwa.
  5. W

    JamiiForums Tanzania Davido akanusha mzaha wa tuhuma za kukamatwa na dawa za kulevya nchini Kenya siku ya wajinga

    Mwanamuziki kutokea nchini David Adeleke, maarufu kama “Davido”, amekanusha uvumi kwamba amekamatwa nchini Kenya alipokuwa katika ziara ya muziki Aprili 1, 2024 baada ya dawa za kulevya kupatikana kwenye ndege yake binafsi. Kufuata uvumi huo mwimbaji huyo wa Nigeria amesema atachukua hatua za...
  6. ze kokuyo

    JamiiForums Tanzania Iran yataka Umoja wa mataifa (UN) kulaani shambulizi la Israel nchini Syria

    Iran kupitia balozi wake wa Umoja wa mataifa umeitaka UN kulaani shambulizi lililofanywa na Israel kwa kushambulia ubalozi wake uliopo Syria. Iran imesema Israel ni tishio kubwa mashariki ya kati huku ikiapa kulipa kisasi. Hapo Jana waziri wa ulinzi wa Israel alisema Taifa hilo lipo tayari kwa...
  7. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Jamaa aliyechoma Qur'ani Tukufu Salwan Momika, amekutwa amekufa nchini Norway

    Salwan Sabah Matti Momika ni mkosoaji wa Uislamu. Anajulikana kwa kupanga maandamano nchini sweden ambapo alichoma Quran hadharani. Momika alizaliwa katika familia ya Kikristo, lakini alibadilika na kua mtu asiyeamini uwepo wa Mungu. Mnamo 2023, Momika alipanga mfululizo wa maandamano kama...
  8. Holoholo

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa wenye maduka ya spare za pikipiki nchini

    Huu ni uzi wa wenye maduka ya spare za pikipiki jumla na rejareja,tupeane connections,uzoefu,changamoto Na faida ya biashara hii. karibuni kwa mdaharo
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ninayo maswali kuhusu mazingira ya uwekezaji nchini

    Naiuliza serikali LAKINI pia wadau woote wa maendeleo; Iwapo tunamazingira mazuuuri ya uwekezaji Tanzania nikwavipi serikali inapata hasara kuuubwa tena ya aibu ya mabilioni katika uwekezaji wake? Serikali imewekeza kwenye sekta muhimu saana kama mafuta(TANOIL), MAWASILIANO(TTCL), usafirishani...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Watanzania mlioko sasa nchini Uganda naomba Majibu ya haya Maswali yangu muhimu yafuatayo....

    1. Kwa Kodi ya Shilingi Milioni Moja za Uganda ( Tanzania Shilingi Laki Tano ) nitapata Nyumba ya Hadhi gani ya Kupanga? 2. Je, mfumo wa Ulipaji Kodi huko ni kama wa huku Tanzania wa Miezi Mitatu, Sita na Mwaka au unaweza ukalipia hata Kodi ya Mwezi Mwezi? 3. Gharama za Maisha kwa sasa nchini...
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ushindani wa soka uliopo nchini uchochee kuinua ubora wa soka Tanzania

    Mathalani, Ushindani wa jadi baina ya simba na Yanga uchochee kuibua vipaji vya soka na kuinua ubora na viwango vya soka la Tanzania, kitaifa na kimataifa 🐒 Viongozi wa serikali na wasio wa serikali, wahamasishe na kusimamia ushindani huu, uwe mkubwa zaid na uwe wa amani na utulivu ili kusudi...
  12. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji yoyote Mhindi, Mchina, Mwarabu tunapalilia umasikini nchini

    Great Thinkers. Hakuna sehemu hao viumbe walishawahi kukaa pakapendeza. Ni waharibifu na wanyonyaji wakubwa. Huwezi ukategemea watu wa Asia wasukume uchumi wako mbele this is the open truth. Instead Raia watageuzwa manamba na kutumikishwa kama enzi za ujima huku wakilipwa ujira mdogo sana...
  13. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Huenda hii ndiyo ajali mbaya zaidi ya mwendesha bodaboda nchini 2024

    Imetokea jana hapa mkoani Arusha eneo karibu na kiwanda cha mbolea cha Minjingu. Hapo chini kuna pikipiki na mtu ambaye tyre ya gari imepanda kichwani na juu ya chuma jirani na kioo cha mbele na roof huyo ni afisa usafirishaji baada ya kuchapwa ndiye katulia hapo jumla. Kwa muonekano huo wa...
  14. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Wanariadha 9 Kuliwakilisha Taifa kwenye Mashindano ya Dunia ya Nyika, Belgrade Nchini Serbia

    Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania, Silas Lucas Isangi akikabidhi vifaa vya Michezo kwa nahodha wa timu Dectaforce Boniface na Msaidizi wake Hamida Nassoro Mussa Kwa niaba ya Wanariadha 9 na Kocha mmoja wanaokwenda kwenye Mbio za Dunia za Nyika Huko Belgrade, Nchini Serbia. Rais amekabidhi...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kwanini MO Dewji anataka kufunga kiwanda chake cha chai Nchini Tanzania? Bashe amgomea!

    Zipo taarifa kwamba Serikali ya Tanzania imekataa ombi la Mohamed Dewji la kutaka kufunga kiwanda chake cha chai. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amemuomba Bwana Dewji kufanya majadiliano na Serikali kwanza kabla hajachukua uamuzi huo, ambao unatarajiwa kuathiri watu wengi wanaofanya kazi kwenye...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Senegal 🇸🇳 umenifanya niwaelewe vizuri Vijana wa hapa Nchini

    Bila shaka sisi wapenda siasa tunajua kuwa kuna kijana mwenye umri wa miaka 44 ambaye anaweza kuibuka mshindi katika uchaguzi wa urais huko Senegali. Mitandaoni watu wanajadili kuhusu umri na uongozi wa nchi. Kutokana na assessment yangu ya haraka huko mitandaoni, nimeona kuwa vijana hawako...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Je, Mazingira ya kutoa na kupokea Rushwa Nchini yamebadilika?

    Mazingira ya kutoa na kupokea Rushwa yanaweza kutofautiana kulingana na Utamaduni, Mifumo ya Kisheria, na muktadha wa Kisiasa wa nchi husika. Watu au makundi yanayohisi kutengwa na Mifumo ya Kijamii au Kiuchumi wanaweza kuona Rushwa kama njia pekee ya kupata Huduma au fursa ambazo zinapaswa...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Watoto kutegeana kutunza m/wazazi na kuwatelekeza ni janga linalokua kwa kasi nchini. Wewe umejipangaje?

    WATOTO KUTEGEANA KUTUNZA M/WAZAZI NA KUWATELEKEZA NI JANGA LINALOKUA KWA KASI NCHINI. WEWE UMEJIPANGAJE? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Niliwahi andika, sio lazima (wajibu) wa mtoto kutunza wazazi wake. Nikaongeza mzazi angalau afikishe miaka 60 ndio unaweza kumfikiria kumtunza na kubeba...
  19. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Mimi naamini Ukraine na Marekani wapo juu ya huu mpango wa ugaidi nchini Urusi!!

    Kutokana na Uharaka wakujibu Zelensky anahusika moja kwa moja,pia mipango iliyoanzishwa na marekani mapema mwezi huu kuwa kunaweza kutokea shambulizi la kigaidi basi hizo zilikuwa ni propaganda zilizotengenezwa kuiaminisha jamii kuwa ikitokea wasema hata marekani alisha sema! Sasa wakasahu kuwa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Mazingira hatarishi zaidi kwa Rushwa Nchini Tanzania

    Rushwa inaweza kustawi katika Mazingira mengi ikiwemo Pale ambapo hakuna Mfumo wa Uwajibikaji unaofanya kazi kwa ufanisi, Watu wanaweza kujisikia huru kufanya vitendo vya Rushwa bila hofu ya kufuatiliwa au kuchukuliwa hatua Aidha, panapokuwa na Udhaifu wa Taasisi za Sheria Rushwa inaweza...
Back
Top Bottom