nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. olimpio

    JamiiForums Tanzania Ubora wa mawasiliano nchini umeshuka sana, TCRA fanyeni kazi yenu

    Nimepitia ripoti ya robo ya pili ya mwaka ya mamlaka ya mawasiliano Tanzania nimeona TCRA wametujulisha kuhusu kushuka kwa ubora wa mawasiliano ya simu nchini lakini hawajasema wanafanya nini baada ya mawasiliano hayo ubora wake kushuka. Ripoti imekaa vizuri sana na hawajataka kuficha kitu...
  2. PAYE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tumeiomba Uganda iunganishe SGR kuanzia Lusahunga hadi nchini mwao

    Rais Samia Suluhu, akizungumza katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam Februari 7, 2026, amesema katika mazungumzo yake na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, ameiomba Serikali ya Uganda kuendeleza ujenzi wa Treni ya Umeme (SGR) kutoka Lusahunga, Wilaya ya Biharamulo, Mkoa wa Kagera, kuelekea...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Balozi Mwamweta na Anthony Mtaka wasaka soko la parachichi nchini Ujerumani

    Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani, Hassani Iddi Mwamweta anaongoza ujumbe wa wakulima na wafanyabiashara kutoka Tanzania unaoshiriki Maonesho ya Kimataifa ya Matunda na Mbogamboga ya Fruit Logistica 2026 yanayofanyika Berlin kuanzia Februari 03 hadi 06, 2026. Ujumbe huo unajumuisha Mkuu wa...
  4. BigTall

    JamiiForums Tanzania Said Mikidadi anaomba msaada wa kupata Sh Milioni 40 akatibiwe nchini India baada ya kushindikana Nchini

    Rais Wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, viongozi mbalimbali pamoja na wananchi kwa ujumla wameombwa kujitokeza kumchangia Said Mikidadi anayesumbuliwa na uvimbe mkubwa ili apate matibabu na kuokoa maisha yake. Said Mikidadi, anakabiliwa na tatizo la uvimbe linalohitaji kufanyiwa upasuaji wa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nyaraka za Siri za Epstein: Kisiwa cha Mnemba kama 'Uchochoro' nchini Tanzania

    Februari 4, 2026 DAR ES SALAAM — Kwa muda mrefu, yamekuwepo maneno ya chini kwa chini, tetesi zilizopuuzwa kama umbea wa vijiweni. Lakini sasa, swali sio tena kama Tanzania inahusika kwenye mtandao wa uhalifu wa ngono wa Jeffrey Epstein, bali ni mizizi hiyo imechimba kirefu kiasi gani...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Festo Sanga: Rushwa imekithiri nchini, inaathiri utekelezaji wa miradi ya maendeleo

    Mbunge wa Jimbo la Makete (CCM), Festo Sanga, amesema kuwa utekelezaji wa miradi ya maendeleo nchini hauwezi kufanyika kwa wakati iwapo tatizo la rushwa litaendelea kushamiri. Kauli hiyo alitoa leo Jumanne, Februari 3, 2026 alipokuwa akichangia Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Profesa Mkumbo: Pato la mtu mmoja nchini laongezeka karibu mara tatu

    Tathmini ya utekelezaji wa mipango mitatu ya maendeleo ya miaka mitano imebaini mafanikio makubwa ya kiuchumi yaliyopatikana kupitia Mpango Elekezi wa Maendeleo wa Muda Mrefu (LTPP) 2025, hususan kuongezeka kwa pato la mtu mmoja mmoja. Akizungumza Bungeni jijini Dodoma leo Jumatatu, Februari 2...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=Kgl17Gp9Vec Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini, 2026, yenye kauli mbiu: “Mchango wa Mahakama katika Ustawi na Maendeleo ya Taifa.” Inafanyika leo Tarehe: 2 Februari...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Karakana ya Luban ya China yachochea maendeleo ya ujuzi kwa vijana nchini Madagascar

    Tangu warsha ya kwanza ya mafunzo ya Luban ilipozinduliwa mwezi Machi 2019 nchini Djibouti, China imeanzisha jumla ya warsha 11 za Luban katika nchi 10 za Afrika. Kwa kuzingatia falsafa ya “kuwapatia nyavu na kuwafundisha uvuvi badala ya kuwapa samaki”, warsha za Luban zimejitahidi kuendeleza...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Starmer nchini China yaongeza wimbi la washirika wanaoiamini China na kuja kujadili kuimarisha uhusiano wao

    Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer wiki iliyopita alikuja China ikiwa ni ziara ya kwanza ya kiongozi huyo wa Uingereza ndani ya kipindi cha miaka minane. Kupitia ziara hii Starmer anafanya juhudi za kurekebisha uhusiano wa Uingereza na China, nchi yenye uchumi wa pili kwa ukubwa duniani...
  11. McLaren

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa madini kati ya mfalme Lobengula na Serikali ya Uingereza ulivyoleta hekaheka nchini ufalme wa Matebele nchini Zimbabwe

    Wakuu, Mkataba wa Rudd ulikuwa makubaliano muhimu ya haki za madini yaliyosainiwa mnamo Oktoba 30, 1888, kati ya Mfalme Lobengula wa Matabeleland na mawakala waliomwakilisha mfalme wa kikoloni wa Uingereza, Cecil Rhodes. Hati hii ilikua msingi wa kisheria wa ukoloni wa Uingereza katika eneo...
  12. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Marejesho ya VAT kwa watalii wa kigeni yaongezeka kwa kiasi kikubwa nchini China

    Takwimu zilizotolewa hivi karibuni na Idara Kuu ya Kodi ya China zinaonesha kwamba, mwaka 2025, idadi ya watalii wa kigeni walioomba marejesho ya kodi ya nyongeza ya thamani (VAT) iliongezeka kwa asilimia 305, huku marejesho ya VAT yakiongezeka kwa takriban asilimia 96. Siku hizi watalii kutoka...
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu nchini afghanistan atangaza rasmi marufuku ya utoaji wa elimu kwa wanawake

  14. N

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya Kijamii na Majukwaa ya Mtandaoni ni chachu ya ukuaji wa elimu ya Demokrasia Nchini

    Licha ya Mitandao ya Kijamii kurahisisha mawasiliano na kupatikana kwa taarifa katika jamii, imesaidia pia kukuza demokrasia kwa kuwawezesha wananchi kutoa maoni, kuhoji viongozi, na kushiriki mijadala ya kidemokrasia. Kupitia majukwaa ya mitandao hayo kama WhatsApp, X (zamani Twitter)...
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Sasa naelewa kwanini UAE wamepiga marufuku harakati za itikadi kali nchini mwao, kuanzia misikitini hadi mitaani. Hii imepelekea nchi kufaidi amani

    Hata siku moja hauwezi kuona dubai imeingilia mgogoro wowote hapo mashariki ya kati. Hata siku moja hauwezi kuona maandamano ya kuunga mkono palestina na hamas nchini mwao Hata siku moja hauwezi kuona dubai inaendekeza itikadi na sera za MUSLIM BROTHERHOOD zilizoleta maafa mashariki ya kati...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (wa pili kushoto) akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi (wa pili kulia) p

    Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (wa pili kushoto) akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi (wa pili kulia) pamoja na Mkurugenzi wa Huduma za Kinga na Elimu ya Afya wa Wizara ya Afya ya SMZ, Dkt. Salim Slim (kushoto), na Mkurugenzi Mkuu wa Jumuiya ya Afya...
  17. John Sin

    JamiiForums Tanzania Halmashauri nchini zimejipanga kumchafua Rais Samia kwenye ahadi yake ya siku 100 kada ualimu na afya

    Habari za asubuhi Katika hali ya kushangaza halmashauri karibu zote Tanzania zinataka kuchafua jitihada kubwa za Mh Rais Dr Samia Hassan Suluhu alizoweka kwa kutoa ajira takribani 12,000 kama ahadi yake ya siku 100 alivoitoa na kwa asilimia 100 kaitekeleza. Kipembepembe kinakuja kwa hawa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Hapa nchini kama kila wanandoa wakifanya Dna test 70% ya wanaume wanalea watoto ambao sio wa kwao.

    Nimeona Dw wanasema Zambia karibu 50% ya Dna test zinazofanyika wanakuta akina baba sio waliozalisha. Hapa Tanzania ni zaidi ya 70% kaa na akina mama au akina dada watakupa ukweli wa mambo. Hapa Bongoland hali ni mbaya zaidi kwa akina mama kupigwa nje kwa sababu mbalimbali.
  19. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Mtambo wa CathLab waleta mapinduzi ya tiba ya kiharusi nchini

    Kwa muda mrefu, tiba ya kiharusi hapa nchini ilikuwa changamoto kubwa kutokana na ukosefu wa teknolojia ya kisasa ya kuchunguza na kutibu mishipa ya damu ya ubongo kwa haraka na kwa ufasaha. Hali hiyo ilisababisha wagonjwa wengi kupoteza maisha au kubaki na ulemavu wa kudumu. Ujio wa mtambo wa...
  20. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Wananchi: Kuzimwa kwa intaneti kote nchini wakati wa uchaguzi mkuu kumeathiri vibaya uchumi na maisha

    Kuzimwa kwa intaneti kote nchini Uganda wakati wa uchaguzi mkuu kumeathiri vibaya uchumi na maisha ya wananchi, hususan wafanyabiashara na vijana wanaotegemea huduma za mtandaoni. Biashara za fedha kwa njia ya simu zilisimama, waendeshaji bodaboda waliopata wateja kupitia programu walipoteza...
Back
Top Bottom