nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Makumbusho ya kijiolojia yaliyojengwa na China yachochea ukuaji wa sekta ya utalii nchini Tanzania

    China ni nchi kubwa inayoendelea ambayo imekuwa ikisaidia nchi nyingine zinazoendelea, zikiwemo za Afrika, kufikia maendeleo kulingana na mazingira halisi ya nchi husika. Juhudi hizo za China zinaonekana katika maeneo mbalimbali ikiwemo sekta ya kilimo, afya, uchumi na biashara, na ujenzi wa...
  2. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Show ya jana ya Marioo nchini kenya

    https://x.com/Ulimwengu01/status/2003003287298326658?s=20
  3. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Mwaka huu ndo nimejua kuwa CCM ni chama pekee kinachosimamia agenda ya Amani ya Tanzania yetu. Hongera CCM kwa hili

    Kuna vyama nchini vinatumwa na mabeberu kuharibu amani ya Tanzania yetu, wanahangaika kwa mabeberu mpaka wameitwa masokwe lakini bado. Mfano; Hiki chama cha Chadema ndicho chama cha vurugu nchini, kipo radhi kikeshe bunge la ulaya kwa lengo la kuhatarisha amani ya Tanzania yetu. Ni vema wakajua...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini masheikh wa BAKWATA hawasapoti demokrasia, utawala bora na haki nchini?

    Demokrasia na haki ni kinyume na mafundisho ya dini ya Uislamu? Kwa nini masheikh wa BAKWATA na taasisi zao marafiki kama umoja wa wahadhiri hawajihusishi kudai uwepo wa Demokrasia, utawala bora kudumishwa kwa haki sambamba na kupinga matendo maovu ya utekaji, ukandamizaji na uporaji wa haki...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ona mzaha mwingine: MJUMBE maalum wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Dk. Naledi Pandor, aliyeshughulikia mgogoro nchini Tanzania, ameti

    MJUMBE maalum wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Dk. Naledi Pandor, aliyeshughulikia mgogoro nchini Tanzania, ametinga nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … Dk. Pandor, aliteuliwa na SADC kuwa mwalikishi wake maalum wa kushughulikia mgogoro wa kisiasa nchini Tanzania...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mambo yaliyotikisa 2025 nchini Tanzania, namba 8 ni maajabu

    Hapa ni orodha ya matukio yaliyotikisa nchini tanzania 2025 Maandamano na Mauaji ya Raia (Oktoba 29) Maandamano makubwa dhidi ya serikali, ambapo maelfu ya raia waliuawa au kujeruhiwa baada ya polisi kutumia nguvu kupita kiasi. Samia Kutangazwa Mshindi wa Uchaguzi Bila Kura kuhesabiwa...
  7. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Hali ya usalama nchini inazidi kuwa tete

    Kilichokuwa kiwe uchaguzi mkuu Tanzania kwa mujibu wa katiba yake, kimepita na yaliyotokea sote tunayafahamu! Bado taifa halijatulia, bado fukuto lipo, la dhuluma, la maumivu, la ukatili mkubwa uliitokea nknk Hofu kwa upande wa pili ni kubwa zaidi.. Nadhani intelijensia inawapenyezea hali...
  8. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda kuiongoza Taifa Stars AFCON 2025 nchini Morocco

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda ndiye ataongoza msafara wa Tanzania katika Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) zitakazofanyika Morocco kuanzia Desemba 21, mwaka huu hadi Januari 18, mwakani. Hilo limethibitishwa leo na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na...
  9. ormystatus

    JamiiForums Tanzania Fursa ya kuingiza Pweza, Kamba, Ngisi na Dagaa wakavu (uono) Tanzania

    Habari Jamii Forums PART 1 Ninataarifa A to Z kuhusu biashara ya kuimport Pweza, Kamba, Ngisi na Dagaa wakavu (UONO) Tanzania lakini ninamtaji mdogo sana nahitaji Mtu wa kushirikiana nae. ZINAKOPATIKANA BIDHAA KWA BEI RAHISI. Hizo bidhaa zinapatikana kwa bei ya Chini Mozambique 🇲🇿 katika...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Ufadhili wa Masomo ya Shahada ya Uzamili kwa Mwaka 2026/2027 Nchini Sweden

    Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Sweden unapenda kuutaarifu umma kuhusu fursa za ufadhili kamili wa masomo ya Shahada ya Uzamili unaotolewa na Taasisi ya Sweden (Swedish Institute – SI). Ufadhili huu unatolewa katika zaidi ya programu 400 za masomo katika nyanja za utawala...
  11. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Tamko kuhusu JamiiForums kuendelea kuzuiliwa kupatikana nchini Tanzania

    TAARIFA KWA UMMA Mnamo Septemba 6, 2025, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilisitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums na kuzuia upatikanaji wa jukwaa kwa siku 90, kwa madai ya ukiukwaji wa Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta. Pamoja na kutambua athari kwa haki ya...
  12. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maandamano yanaendelea huko nchini Ujerumani wanauliza " Samia who are you"

    "Tumekuja kuchukua miili ya ndugu zetu tukazike, Samia ondoka Ikulu hatukutaki WHO ARE YOU" Eva Shayo
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya neno “MAMA” kwa makabila mengi hapa nchini ni "NYOKO"

    Neno mama:- 1. Kwa kiha (watu wa Kigoma) ni "nyoko". Mfano. (a) Ndamhamagala nyoko wawe (namuita mama yako). (b) Jewe ndi nyoko wawe (mimi ni mama yako). 2. Kwa lahaja nyingi za kiswahili; neno "mama" ni nyoko. Mfano. K*ma"nyoko" ni tusi la kiswahili lenye muunganiko wa maneno mawili; "k*ma" na...
  14. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Mitambo ya lopolopo ziko mbili nchini, Chala na sigwa

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Nchi hii Kuna mitambo miwili ya lopolopo Yaan hawa jamaa ukiwasikikiza mpaka unajiuliza hivi hawa wako timamu kweli? Hawa Kinacho watoka midomoni mwao ni lopolopo lopolopo tu Changamoto kubwa sana LONDON BOY
  15. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Kutoka “Shithole” hadi “Takataka”: ubaguzi wa rangi dhidi ya wahamiaji wa Afrika nchini Marekani wazidi

    Rais wa Marekani Donald Trump hivi karibuni kwenye Kwenye mkutano wa baraza la mawaziri uliotangazwa moja kwa moja kwenye televisheni, aliwataja wahamiaji wa Somalia kama “takataka”, na kuelezea hamu yake ya kuwarudisha “walikotoka”. Baadaye alizidisha kauli hii, akiwaambia waandishi wa habari...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Wanariadha 10 bora wa muda wote nchini Tanzania

    Mambo ni mengi muda hautoshi. Twende kwenye orodha moja kwa moja bila kupoteza muda. 1. FILBERT BAYI Mzee wetu kaongelewa kwenye makala mengi mno duniani kiasi kwamba shirikisho la ridha duniani limehifadhi kumbukumbu zake kwenye makumbusho ya shirikisho huko Ufaransa. Mzee Filbert Bayi...
  17. Papaaa mukuubwaaa

    JamiiForums Tanzania Mambo 7 yanayotabiri uwezekano wa maandamano makubwa nchini yoyote (kwa mtazamo wa utafiti, si vitendo)Nchi za kiarabu zilivyodondoshwa

    ‎1. Legitimacy Collapse (Kupoteza Uhalali) ‎Wananchi wengi wanapoamini kuwa serikali: ‎Haitetei maslahi yao ‎Imekosa uadilifu ‎Imeshindwa kiuchumi ‎utawala hupoteza msingi wake. 2. Economic Trigger (Msukumo wa Kiuchumi) ‎Bei ya chakula, mafuta, ukosefu wa ajira — huwa chanzo kikubwa. 3. Mass...
  18. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa MAKOMBORERO upigwe Marufuku nchini

    Huu wimbo una viashiria vya ukombozi na uvunjifu wa amani. Hivyo ingefaa upigwe Marufuku na BASATA kuleta utangamano wa kitaifa
  19. MendeOLD

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Benin watangaza mapinduzi ya kijeshi nchini humo

    Kikundi cha wanajeshi kilionekana kwenye televisheni ya taifa ya Benin kikitangaza kuvunjwa kwa serikali katika kile kinachoonekana kuwa mapinduzi nchini humo, iliyopo Afrika Magharibi. Mapinduzi hayo yametangazwa leo siku ya Jumapili kumng’oa madarakani Rais Patrice Talon, ambaye ameiongoza...
  20. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Kombo akutana na Balozi wa India nchini Tanzania Bishwadip Dey

    Waziri Kombo akutana na Balozi wa India nchini Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa India nchini, Mhe. Bishwadip Dey, katika ofisi ndogo za Wizara, jijini Dar es Salaam, tarehe 06...
Back
Top Bottom